Inadaiwa Pauline Zongo amerudia kutumia madawa ya kulevya

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,194
4,116
Pauline Zongo alipelekwa Sober house ili kwa ajili ya kuachana na madawa ya kulevya.

Lakini Mange Kimambi aneandkika kuwa baada ya kutoka Sober amerudia tena na sasa hali yake ni tia maji tia maji.

20220114_145124.jpg
 
Pauline hatumii Unga ila Pombe zilizopitiliza, kwa hali yake ile asingeweza kunawiri ndani ya mwezi mmoja, Cocaine na Heroine zisikieni hivyo hivyo,

Mange yupo right tho, mtu akienda Sober kipindi cha chini sana cha matazamio ni miezi sita hadi mwaka sasa huyo mwezi mmoja katolewa ndio maana karudia.
 
Pauline inaonesha ana stress za maisha sana sasa ili aache kbs inabid na yy akubal kubadirika
 
Ni ngumu mpaka pale atakapopata mtu wa kumjali ambaye atagusa hisia zake za ndani

Daah anasikitisha sana halaf ukiangalia hizo videoclip zinazotamba naona kama anazid kudata tuu na hizo dred sasa inahuzunisha sana,mpenz wake mwenyewe alikuwa nae sober house sio sir huyu anahitaj uangalizi wa karbu sana
 
Walimuogesha wakamvalisha nguo nzuri wakasema tayari ameacha unga amebadilika/ameanza kupendeza
Nkashangaa mwezi tu tayari mnasema amebadilika na kuacha unga!!
Hamko serious
Swala hilo inabidi watu wafanyekazi kweli kumuokoa mtu siyo kirahisi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ni ngumu mpaka pale atakapopata mtu wa kumjali ambaye atagusa hisia zake za ndani
Yule mumewe inaonekana anampenda, niliona kwenye interview akilia machozi kwasababu ya hali aliyo nayo mkewe. Anasema mkewe Ana stress sababu ameshindwa kukubali matokeo kwamba wamedrop. Ni mume wa kanisani
 
Back
Top Bottom