Video: Bosi wa madawa ya kulevya Venezuela "Taliban" auawa kikatili kwa kuzamishwa baharini akiwa hai

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,734
29,124
Mzuka wanajamvi,

Hii ni video ya bosi wa Cartel madawa ya kulevya mvenezuela Reinaldo Fuentes akitupwa na kuzamishwa katika bahari ya Caribbean akiwa hai.

Reinaldo Fuentes alijulikana kwa jina la utani Taliban kwasababu ya madili makubwa ya madawa ya kulevya na Cartel za mashariki ya kati.

Taliban alidanganya kwa kufake kifo chake kwa macartel wengine eti amekufa na kumwaga madawa ya kulevya yenye thamani ta mamilion ya dollars.

Baadaye kulipotulia alienda kuyakusanya kisiri na kuyauza.

Fuentes alibadilisha utambilisho wake na kuishi Dominican republic na kuendelea kuuza madawa.

Lakini Cartel wakamfuatilia kisiri bila yeye kujua na kumuwekea mtego ahudhurie mkutano wa madawa ya kulevya.

Ndio hapo wakamdaka na kumteka. Baada ya kumpiga wakampeleka baharini Caribbean karibu na Martinique na kumtupa majini huku wamemfunga kamba mkononi na miguuni na kufa kifo kibaya kwa kuzama.

Tahadhari Video inatisha kidogo disturbing



Soma Zaid kwa kiingereza kwa kubofya linki hapo chini.

 
Hawa watauana mpaka vizazi na vizazi.
Inawezekana huyu mwamba pia aliua jamaa wenzake na Hawa jamaa waliomtosa.

Nao wenzake na huyu nao watalipiza kiksasi,
Kwa sababu kosa walilofanya ni kuonesha rangi za boti.
Wenzake na huyo aloetoswa watafatilia rangi na aina ya hiyo boti,watachunguza kama ilikodiwa au nani mmiliki,wata peleleza Hadi kujua nani waliohusika na kifo Cha mpendwa wao,nao watalipiza kiksasi.
 
Back
Top Bottom