Inabidi Watanzania tumuombe msamaha Rais Magufuli

MAJIBU:
-Chama tawala kipo ni CCM
-Vyama vingi vipo mfano CHADEMA, CCM, CUF nk
-Ila kuamini kama kuna vyama vya upinzani inabidi mtu awe na akili kama ZAKO.

Hahahahahaha mie navyoona CCM ndiyo chama cha Upinzani na CDM ndiyo chama tawala.

Mambo wanayofanya Watawala as if wao ndiyo Chama Cha Upinzani ni aibu.Baada ya miaka mitano tutakutana na Tanzania ya Vi-wonder
 
Pro-JPM bhana... maneno meeeeeengi wala hufahamu kwamba hapo amekejeliwa!!!KUna mwenzako mmoja kaongea sawa na ulivyoongea hapo juu! Kuna maswa;i nikamuuliza ameshindwa kunijibu basi nisaidie wewe hapa:

Kufanya usafi ni pamoja na kuzoa matakataka na kwenda kuyatupa mbali jalalani!!!!

Nisaidie wewe sasa... hadi sasa ni matakataka yapi yameshatupwa jalalani! Au angalau yaliyo kwenye gari tayari kwa kwenda kumwaga jalalani!! Na kama sivyo, basi angalau yaliyo tayari kwenye mapipa yakisubiri gari za taka hili yakatupwe jalalani!!

Nisaidie kwanza hapo....

Akikujibu njoo nikupe Dompo.Hayo matakataka yanaitwa Makaburi hayafukuliwi.Sana kinachofanyika ni kuwasafisha Wapinzani kwamba ni bora zaidi kuliko Chama Cha Masogange.

Like KABURI la Kivuko kibovu nasikia nimependa kuzikwa Lugalo ili kisionekane kabisa na huyo Marehemu akiguswa tu basi Jeshi lifanye yake
 
c.c Mama Obama
 
Huwezi kuomba msamaha kama hujuwi kosa lako. Baba anaweza kukasilika kama watoto hawana shukrani. Baba kajitolea kuisafisha nchi ili watoto wake tuishi vizuri, lakini hatuna shikrani. Baba yetu aliyeondoka alikuwa hatujali sana, tukipiga kelele, yeye anapiga suit anaenda zake Marekani, akituacha huku tunavaa mitumba. Watoto wake alitubaguwa, akachaguwa wachache akawapa uhuru wa kutumia Mali za wengi. Hawa wachache, walipeleka watoto wao kusoma kwenye shule za gharama, na kutuacha watoto wake wengi watoto wetu kukaa chini bila madesiki. Akabaguwa watoto wake wachache wakiuguwa anawapeleka Appolo India, akaacha watoto wake wengi kutibiwa hospitali hazina vifaa, AKIWA yeye anapiga safari kila kona ya dunia. Sasa tumepata baba mwenye kutupenda wote, ikiwa tutavaa mitumba basi tuko pamoja naye, safari haendi tuko pamoja naye, baba anataka haki kwa watoto wake wote sawa, lakini Sasa wake watoto waliokuwa wakipendelewa wamelemaa, hawawezi kuuishi bila ya kuwadhulumu NDUGU zao, tamaa imewashika wanafanya mpaka BIASHARA za uwovu. Baba huyu ana haki kuwa na hasira kwani watoto hawana shukurani, anafanya wema bado mnataka zaidi na yeye hawezi tufanye kazi, tuache kuuza madawa na wizi baba atatupenda bila ya msamaha.
Sasa huyu baba mpya ndio anawavalisha suit?
 
Pumbaaaaasas
Huyo the so called Mama Obama ufahamu wake ni mdogo!!! Anadhani JPM atakuwa bora kwa kulinganisha na madhaifu ya Kikwete!! Fuatilia posts zake nyingi tatizo lake yeye ni Kikwete... unajua kila utawala kuna waathirika! Huyu anaonesha wazi ni muathirika wa utawala wa JK na ndio maana kila penye mada ya JPM yeye ataleta habari za Kikwete!!! Anachosahau ni kwamba JK na JPM wote ni marais kutoka CCM wakiongoza serikali zilizojaa ufisadi since then!!!
 
Nimejaribu muda sasa kuchunguza jinsi kiongozi wetu mkuu wa nchi alivyo na hasira mara zote aongeapo na sisi wanachi wake ni kama kuna kitu kikubwa sana kipo ambacho sisi wa tz tulimkosea maana
Najiuliza 1)tulipata tetemeko akaongea nasi kwa hasira sana; kwani mimi ndo nilileta tetemeko? Najua wengi mnakumbuka speech ile.
2)Watanzania tuna uwawa msumbiji bado yuko kimya!
3) juzijuzi tu anasema tukikamatwa huko nje na madawa tunyongwe wewe hebu baba yako anasema ukikamatwa kokote kule unyongwe! Si dariri nzuri kabisa maana yake baba yako kakuchoka
4) tunapata janga la njaa lakini baba yeye bado yuko tayari tufe eti hakuna kutangaza njaa kutangaza tu??
Jamani list ni ndefu mno! Nauliza tulimkosea nini huyu baba yetu sisi?? Hivyo nashauli kama watoto tuulizane kisha tumwombe msamaha labda chuki hii kali dhidi yetu itaisha!
Wewe pia ni shida kwake maana humuelewi.
 
Hata mimi najiuliza, no answer
 
Kuficha ficha wakati wote si vizuri-JPM hafichi anakwambia tu ukweli na mimi naungana nae kwa hili ukikamatwa na madawa unyongwe, tena wakunyonge mapema.
Kuhusu wanakagera wanajuana wanataniana yeye anawafahamu na wao wanamfahamu lakini licha ya utani kweli serikali haikuleta tetemeko na haiwezi kuleta tetemeko.
Wanaolia njaa nao wakumbuke serikali haijaleta njaa.
 
Huyo the so called Mama Obama ufahamu wake ni mdogo!!! Anadhani JPM atakuwa bora kwa kulinganisha na madhaifu ya Kikwete!! Fuatilia posts zake nyingi tatizo lake yeye ni Kikwete... unajua kila utawala kuna waathirika! Huyu anaonesha wazi ni muathirika wa utawala wa JK na ndio maana kila penye mada ya JPM yeye ataleta habari za Kikwete!!! Anachosahau ni kwamba JK na JPM wote ni marais kutoka CCM wakiongoza serikali zilizojaa ufisadi since then!!!
...JK alipokkuwa Mkuu,JPM alikuwa mmoja wa washauri wake.
 
Nimejaribu muda sasa kuchunguza jinsi kiongozi wetu mkuu wa nchi alivyo na hasira mara zote aongeapo na sisi wanachi wake ni kama kuna kitu kikubwa sana kipo ambacho sisi wa tz tulimkosea maana
Najiuliza 1)tulipata tetemeko akaongea nasi kwa hasira sana; kwani mimi ndo nilileta tetemeko? Najua wengi mnakumbuka speech ile.
2)Watanzania tuna uwawa msumbiji bado yuko kimya!
3) juzijuzi tu anasema tukikamatwa huko nje na madawa tunyongwe wewe hebu baba yako anasema ukikamatwa kokote kule unyongwe! Si dariri nzuri kabisa maana yake baba yako kakuchoka
4) tunapata janga la njaa lakini baba yeye bado yuko tayari tufe eti hakuna kutangaza njaa kutangaza tu??
Jamani list ni ndefu mno! Nauliza tulimkosea nini huyu baba yetu sisi?? Hivyo nashauli kama watoto tuulizane kisha tumwombe msamaha labda chuki hii kali dhidi yetu itaisha!
Kosa mlimnyima kura pamoja na pushapu zote mkamtosa.,kwa hisani ya Lubuva akachomoka .Ngoja awanyooshe na nyinyi ,nyie si mlimpigisha pushapu halafu mkamtosa !!! Zamu yenu sasa kupiga pushapu za kila aina na kuishi kama mashetani.
Just kidding
 
224b717ec3650e5faa92c9a913c317f3.jpg

Kwa kula pesa za rambirambi kagera au?

Au una Arosto?
 
Back
Top Bottom