kilambalambila
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 9,295
- 8,627
Unga wa mwenyekiti umewalevya vijana WAKAWA
Sasa huyu baba mpya ndio anawavalisha suit?
MAJIBU:
-Chama tawala kipo ni CCM
-Vyama vingi vipo mfano CHADEMA, CCM, CUF nk
-Ila kuamini kama kuna vyama vya upinzani inabidi mtu awe na akili kama ZAKO.
Jaman tumuombee wapi sasa wakati katukosea sisi jaman alafu na time inavyokimbia nasubiri 2020 sjui atakua anamsakizia nani kama 2015 yote yalikua ni utawala uliopita kila akili ni nchi imeharibiwa na wenzie utadhani miaka 20 alikua anaishi nje ya nchi.... ogopeni sana kuwa na baba ndani ya familia nashindwa kufanya maendeleo kwa kuleta visingizio eti mjomba mara baba mkubwa au shangazi wamefanya hili mara lile ili tusiendelee.... na baba wa kulia matatzo kwa wanae kila mara apate huruma ya kundelea kuitwa baba huyo haifai familia yenu.... NATABIRI 2020 ataomba kula kwa namba tu nasio mengne mfn nimetumbua watu 2000 nimepandisha maisha kutoka 7.9 mpk 7.2.... manji alikua na bilion 80 sasa ana bilion 1 muda utaongea wana jamvi
Nimejaribu muda sasa kuchunguza jinsi kiongozi wetu mkuu wa nchi alivyo na hasira mara zote aongeapo na sisi wanachi wake ni kama kuna kitu kikubwa sana kipo ambacho sisi wa tz tulimkosea maana
Najiuliza 1)tulipata tetemeko akaongea nasi kwa hasira sana; kwani mimi ndo nilileta tetemeko? Najua wengi mnakumbuka speech ile.
2)Watanzania tuna uwawa msumbiji bado yuko kimya!
3) juzijuzi tu anasema tukikamatwa huko nje na madawa tunyongwe wewe hebu baba yako anasema ukikamatwa kokote kule unyongwe! Si dariri nzuri kabisa maana yake baba yako kakuchoka
4) tunapata janga la njaa lakini baba yeye bado yuko tayari tufe eti hakuna kutangaza njaa kutangaza tu??
Jamani list ni ndefu mno! Nauliza tulimkosea nini huyu baba yetu sisi?? Hivyo nashauli kama watoto tuulizane kisha tumwombe msamaha labda chuki hii kali dhidi yetu itaisha!
HahahahaHuenda mwandishi anatoka kule ambako nusu ya eneo la kijiji linatumika kulima yale majani.
Ana hasira kwa sababu he knows kuna viongozi wa juu walioguswa na utumbuaji majipu na uuzaji madawa ya kulevya ambao wanataka kuharibu jitihada za rais wetu kipenzi na Malaika wetu. Hivyo anatukemea kuonyesha kuwa yuko serious na hii issue. atayekaidi atakiona cha mtema makuni.
Nimejaribu muda sasa kuchunguza jinsi kiongozi wetu mkuu wa nchi alivyo na hasira mara zote aongeapo na sisi wanachi wake ni kama kuna kitu kikubwa sana kipo ambacho sisi wa tz tulimkosea maana
Najiuliza 1)tulipata tetemeko akaongea nasi kwa hasira sana; kwani mimi ndo nilileta tetemeko? Najua wengi mnakumbuka speech ile.
2)Watanzania tuna uwawa msumbiji bado yuko kimya!
3) juzijuzi tu anasema tukikamatwa huko nje na madawa tunyongwe wewe hebu baba yako anasema ukikamatwa kokote kule unyongwe! Si dariri nzuri kabisa maana yake baba yako kakuchoka
4) tunapata janga la njaa lakini baba yeye bado yuko tayari tufe eti hakuna kutangaza njaa kutangaza tu??
Jamani list ni ndefu mno! Nauliza tulimkosea nini huyu baba yetu sisi?? Hivyo nashauli kama watoto tuulizane kisha tumwombe msamaha labda chuki hii kali dhidi yetu itaisha!
Ukibeba madawa utanyongwa huo ndio ukweli.Nimejaribu muda sasa kuchunguza jinsi kiongozi wetu mkuu wa nchi alivyo na hasira mara zote aongeapo na sisi wanachi wake ni kama kuna kitu kikubwa sana kipo ambacho sisi wa tz tulimkosea maana
Najiuliza 1)tulipata tetemeko akaongea nasi kwa hasira sana; kwani mimi ndo nilileta tetemeko? Najua wengi mnakumbuka speech ile.
2)Watanzania tuna uwawa msumbiji bado yuko kimya!
3) juzijuzi tu anasema tukikamatwa huko nje na madawa tunyongwe wewe hebu baba yako anasema ukikamatwa kokote kule unyongwe! Si dariri nzuri kabisa maana yake baba yako kakuchoka
4) tunapata janga la njaa lakini baba yeye bado yuko tayari tufe eti hakuna kutangaza njaa kutangaza tu??
Jamani list ni ndefu mno! Nauliza tulimkosea nini huyu baba yetu sisi?? Hivyo nashauli kama watoto tuulizane kisha tumwombe msamaha labda chuki hii kali dhidi yetu itaisha!
Hata baba mwenyewe tatizo kubwa lipo hapo.Hizi R na L majanga!
We umemsikiliza baba akiongea? Tatizo kubwa naye ni hilo hilo la r na l. Kwahiyo na yeye unataka kusema anahusika kulima hilo jani huko kijijini kwake?Huenda mwandishi anatoka kule ambako nusu ya eneo la kijiji linatumika kulima yale majani.
Tunamuombea Mungu na tuko nyuma yake. Hawa Viongozi wasindwe na tamaa zao za kuliangamiza taifa hili. MUNGU hawezi kuluhusu
kwa bongo hii hata angetawala issa bin msriam bado mngemkosoa vikali Go magu Go hawa ndio binadamuNimejaribu muda sasa kuchunguza jinsi kiongozi wetu mkuu wa nchi alivyo na hasira mara zote aongeapo na sisi wanachi wake ni kama kuna kitu kikubwa sana kipo ambacho sisi wa tz tulimkosea maana
Najiuliza 1)tulipata tetemeko akaongea nasi kwa hasira sana; kwani mimi ndo nilileta tetemeko? Najua wengi mnakumbuka speech ile.
2)Watanzania tuna uwawa msumbiji bado yuko kimya!
3) juzijuzi tu anasema tukikamatwa huko nje na madawa tunyongwe wewe hebu baba yako anasema ukikamatwa kokote kule unyongwe! Si dariri nzuri kabisa maana yake baba yako kakuchoka
4) tunapata janga la njaa lakini baba yeye bado yuko tayari tufe eti hakuna kutangaza njaa kutangaza tu??
Jamani list ni ndefu mno! Nauliza tulimkosea nini huyu baba yetu sisi?? Hivyo nashauli kama watoto tuulizane kisha tumwombe msamaha labda chuki hii kali dhidi yetu itaisha!
Mwenyezimungu pekee ndiye wa kuombwa na kutegemewa magufuli ni kiumbe tuKuficha ficha wakati wote si vizuri-JPM hafichi anakwambia tu ukweli na mimi naungana nae kwa hili ukikamatwa na madawa unyongwe, tena wakunyonge mapema.
Kuhusu wanakagera wanajuana wanataniana yeye anawafahamu na wao wanamfahamu lakini licha ya utani kweli serikali haikuleta tetemeko na haiwezi kuleta tetemeko.
Wanaolia njaa nao wakumbuke serikali haijaleta njaa.
Nakubaliana na wewe! Duh kazi kweli kweli!Hata baba mwenyewe tatizo kubwa lipo hapo.
Kosa lenu ni kumpigisha push-ups na kuzunguusha mikono wakati wa kampeni.Nimejaribu muda sasa kuchunguza jinsi kiongozi wetu mkuu wa nchi alivyo na hasira mara zote aongeapo na sisi wanachi wake ni kama kuna kitu kikubwa sana kipo ambacho sisi wa tz tulimkosea maana
Najiuliza 1)tulipata tetemeko akaongea nasi kwa hasira sana; kwani mimi ndo nilileta tetemeko? Najua wengi mnakumbuka speech ile.
2)Watanzania tuna uwawa msumbiji bado yuko kimya!
3) juzijuzi tu anasema tukikamatwa huko nje na madawa tunyongwe wewe hebu baba yako anasema ukikamatwa kokote kule unyongwe! Si dariri nzuri kabisa maana yake baba yako kakuchoka
4) tunapata janga la njaa lakini baba yeye bado yuko tayari tufe eti hakuna kutangaza njaa kutangaza tu??
Jamani list ni ndefu mno! Nauliza tulimkosea nini huyu baba yetu sisi?? Hivyo nashauli kama watoto tuulizane kisha tumwombe msamaha labda chuki hii kali dhidi yetu itaisha!
mwenye nyumba hii akapimwe akili. Huwezi kufanya jambo kama hili kwenye nyumba kama hii. VINGINEVYO atakuwa analima bangi au anaua wananyamapori.
Kwa kula pesa za rambirambi kagera au?
Au una Arosto?
Ushindi wa mezani unamuuma sana anashindwa kujizuia kuficha hasira yake.Ana hasira kwamba hakupata kura za kutosha mpaka ikabidi apewe ushindi wa mezani.
Tumuache andelee na hasira zake ili ifikapo 2020 awe anachukiwa zaidi na awe hajafanya lolote la maana zaidi ya kukimbizana na wapinzani.