Huku mitaa yetu ya mbagala kuna kitongoji kinaitwa Nzasa ..Wazazi wake walimpa jina la Nzasa maana yake "asiyekaukiwa"
Pengine huyu mtoa mada ni graduate wa chuo kikuu lkn ndiyo hivyo kichwani hakuna kitu..Enzi zile Mwl. akisena YES who will go against? Muwe mnaelewa historia ya nchi yenu sio kupenda kuvaa vikuku na kata k; daily kuangalia michezo ya kijinga kwa ma-tv na kusikiliza upuuzi kwenye viredio gani sijui! Vijana jitambueni!
Morogoro mjiniDuh
Nyerere alikuwa mbunge wa wapi kihistoria?
Nyerere alikuwa mbunge, usingeweza kuwa waziri mkuu bira kuwa mbunge.Duh
Nyerere alikuwa mbunge wa wapi kihistoria?
AsanteKwani kigezo ni kuwa mbunge.?
Na kilishika utamu hasaEnzi zilikuwa enzi za chama kushika hatamu
Rais hatokani na wabunge na si lazima awe aliwahi kuwa mbunge, shule ya msingi umemaliza lini?Habari.
Jana nimefatilia historia ya mzee Mwinyi, sikuona sehemu yeyote alipogombea ubunge. Amefanikiwa kuwa Rais wa Zanzibar na Tanzania bila kugombea ubunge wa Jimbo sehemu yeyote ile.
Huyu mzee alikuwa na bahati sana
Nawasilisha
Duh
Nyerere alikuwa mbunge wa wapi kihistoria?
Wee bira, Nyerere alikuwa mbunge wa wapi mura?Nyerere alikuwa mbunge, usingeweza kuwa waziri mkuu bira kuwa mbunge.
Kifungu gani cha katiba kinasema rais wa muungano agombee ubunge?Habari.
Jana nimefatilia historia ya mzee Mwinyi, sikuona sehemu yeyote alipogombea ubunge. Amefanikiwa kuwa Rais wa Zanzibar na Tanzania bila kugombea ubunge wa Jimbo sehemu yeyote ile.
Huyu mzee alikuwa na bahati sana
Nawasilisha
Huyo unamsema Hussein Mwinyi sio Ally Hassan MwinyiAlikuwa mbunge kisalawe awamu mbili baadae akaenda kuwa mbunge zanzibar au nadanganya??