Kunitukana mimi kunathibitisha zaidi uelewa mdogo ulio nao. TLS hawana mamlaka ya kutafasiri Katiba, wewe (Layman) wala mimi hatuna mamlaka ya kutafasiri Katiba. Mwenye hiyo mamlaka ni MAHAKAMA KUU tu (Keep this in your head). Moja ya majukumu ya TLS ni kuishauri serikali kwenye mambo mbalimbali ya sheria, hivyo serikali inaweza kufuata huo ushauri au kuacha.
Article 56 of the Constitution of the United Republic of Tanzania says:
"A Minister or a Deputy Minister shall not assume office until he has first taken and subscribed before the President, the oath of allegiance and such other oath relating to the execution of the functions of his office as may be prescribed by an Act of Parliament"
Katiba inasema wanaapa kiapo cha utii (Oath of allegiance) kwa Raisi kama mtu (As a natural person) na siyo Raisi kama taasisi (Not as an Institution). Waziri lazima ale kiapo cha utii kwa Raisi mpya, pamoja na viapo vingine. Nadhani uko na tatizo sehemu.
Article 58 of the Constitution of the United Republic of Tanzania says:
"Ministers and Deputy Ministers shall hold office during the pleasure of the President"
Hapa katiba inamuongelea Raisi (As a natural person) na mawaziri watafanya kazi kwa matakwa yake yeye binafsi na siyo vinginevyo. Hivyo angeamua kusema Baraza la Mawaziri halina uhalali kwasababu hawajaapa kiapo cha utii kuna mtu angepinga ???
Haya maneno machache yamenithibitishia naongea na mtu asiye na ufahamu lakini anajitia ujuaji mwingi.
Katiba yetu imekuwa na mianya mingi tu, na Mahakama Kuu imesaidia sana kutoa tafasiri ili kuiziba. Rejea kesi ya mtikila ya mwaka 1994 kuhusu mgombea binafsi (Independent Candidate). Ilifahamika kabisa kwamba kwenye hili suala Katiba iko kimya (The constitution was silent) hivyo kupelekea wakina Mzee Chenge kwenda kufanya marekebisho ya haraka bungeni wakati kesi iko mahakamani, na kuongezea kifungu kisemacho mgombea wa Uraisi lazima atoke kwenye chama cha siasa. (Sasa wewe kilaza unakomaa hapa kusema Katiba haina kimya)
Haya leta matusi, mengine........