Ina maana Katiba haijafuatwa?

Ina maana Katiba haijafuatwa?

Kwa hiyo mkuu hapo unaonaje.

Katiba imefuatwa au haijafuatwa?

Nakubali mimi sina ufahamu kwenye maswala ya kisheria.
Nimelizungumzia hili kwenye uzi wangu namba #13 kwamba Katiba inasema Mawaziri wote nchini hufanya kazi kwa matakwa ya Raisi (At the Pleasure of the President). Hivyo baraza hili linafanya kazi kutokana na kiapo cha walichoapa mbele ya Raisi Magufuli, hivyo yeye akiwa hayupo basi ni lazima waape tena kwa Raisi mpya ambaye watafanya kazi kufuata matakwa yake (At her pleasure).

Kisheria, hili ni tukio la aina yake kuwahi tokea tangu kuzaliwa kwa Jamhuri: Hivyo Katiba iko kimya juu ya utaratibu ambao ungepaswa kufuatwa kuhusu mustakabali wa Baraza la Mawaziri. TLS walichofanya ni kutoa maoni yao kisomi wakitimiza majukumu yao kisheria ya kuishauri serikali (Hivyo sioni kosa lolote lile) kwasababu sheria iko kimya. Lakini wengine wanaweza kusema Baraza litaendelea kuwepo, kitu ambacho kipo kwenye maamuzi na mamlaka ya Raisi mpya (Within the discretionary power of the new President): Hivyo hata hili kundi nalo linaweza kuwa sahihi kwasababu sheria iko kimya juu ya huu utaratibu. Wengine wanaweza kuiga kanuni na utaratibu wa nchi za nje, hili nalo ni sawa lakini (It's not binding).

Japo, kitu ambacho nina uhakika ni kwamba Baraza la Mawaziri ni lazima liape kiapo kipya cha utii kwa Raisi mpya, kwasababu watafanya kazi kufuatana matakwa yake: Angeamua kuwarudisha wote nyumbani na kusema naanza upya nalo ni sawa kwasababu Tanzania tuna Uraisi wa Kifalme (Imperial Presidency).

Kitu ambacho mimi nakereka ni hichi kitabia cha BUSH-LAWYERS na WANAHARAKATI kujifanya wao ndiyo watafasiri wa Katiba na kuanza kupinga kila kitu bila kuleta hoja zenye mantiki kisheria. Hawajaridhika waende Mahakama Kuu wafungue kesi ya Kikatiba kuomba tafasiri, maana kile ndiyo chombo cha mamlaka ya mwisho kuhusu kutafasiri katiba na siyo hizi blah, blah, blah za hapa mitandaoni.
 
Katiba ndio ina mkanganyiko

Ibara ya 51(2), ina mtaka Rais mara baada ya kushika madaraka kumteua PM.

Sasa haijaeleza je kama Rais ameshika Madaraka baada ya Rais aliyepita kufariki.
Inakuwaje.

Katiba ndio ina mkanganyiko.
Isome vizuri- iko sawa ni mataminio yako tu ndiyo yanakufanya uone mkanganiko
 
Nimelizungumzia hili kwenye uzi wangu namba #13 kwamba Katiba inasema Mawaziri wote nchini hufanya kazi kwa matakwa ya Raisi (At the Pleasure of the President). Hivyo baraza hili linafanya kazi kutokana na kiapo cha walichoapa mbele ya Raisi Magufuli, hivyo yeye akiwa hayupo basi ni lazima waape tena kwa Raisi mpya ambaye watafanya kazi kufuata matakwa yake (At her pleasure).

Kisheria, hili ni tukio la aina yake kuwahi tokea tangu kuzaliwa kwa Jamhuri: Hivyo Katiba iko kimya juu ya utaratibu ambao ungepaswa kufuatwa kuhusu mustakabali wa Baraza la Mawaziri. TLS walichofanya ni kutoa maoni yao kisomi wakitimiza majukumu yao kisheria ya kuishauri serikali (Hivyo sioni kosa lolote lile) kwasababu sheria iko kimya. Lakini wengine wanaweza kusema Baraza litaendelea kuwepo, kitu ambacho kipo kwenye maamuzi na mamlaka ya Raisi mpya (Within the discretionary power of the new President): Hivyo hata hili kundi nalo linaweza kuwa sahihi kwasababu sheria iko kimya juu ya huu utaratibu. Wengine wanaweza kuiga kanuni na utaratibu wa nchi za nje, hili nalo ni sawa lakini (It's not binding).

Japo, kitu ambacho nina uhakika ni kwamba Baraza la Mawaziri ni lazima liape kiapo kipya cha utii kwa Raisi mpya, kwasababu watafanya kazi kufuatana matakwa yake: Angeamua kuwarudisha wote nyumbani na kusema naanza upya nalo ni sawa kwasababu Tanzania tuna Uraisi wa Kifalme (Imperial Presidency).

Kitu ambacho mimi nakereka ni hichi kitabia cha BUSH-LAWYERS na WANAHARAKATI kujifanya wao ndiyo watafasiri wa Katiba na kuanza kupinga kila kitu bila kuleta hoja zenye mantiki kisheria. Hawajaridhika waende Mahakama Kuu wafungue kesi ya Kikatiba kuomba tafasiri, maana kile ndiyo chombo cha mamlaka ya mwisho kuhusu kutafasiri katiba na siyo hizi blah, blah, blah za hapa mitandaoni.
Nimekuelewa vizuri,

Hoja yangu ni kwenye huo UKIMYA wa Sheria unausema.
Mimi naona ndio unaleta mkanganyiko.
 
Kwa kauli ya Kassim Majaliwa leo kwamba hajaamini kama Rais ameendelea kumuacha katika nafasi yake ni wazi Katiba ilimtaka Rais kuunda serikali upya kwa kuvunjwa cabinet. Lakini yote kheri Rais anapewa mamlaka makubwa na katiba iliyopo. Tumpe nafasi mama Suluhu afanye kazi.
 
Watetezi wa status quo wanasema PM aliapa kwa Taasisi ya Urais na Mama habanwi kumtumbua na kuchagua mwingine

Pia hakuna haja maana kama ni lazima kila mtu aape kwake kama Rais mpya then hiyo ingewagusa wateule wote walioapa kwa late President ukianza na Mwanasheria Mkuu

Lakini pia hakuna sheria inayombana Mama kutovunja baraza lote au kumtumbua yeyote
 
Mimi ni mtu ninayefuata falsafa ya ‘keep it simple’.

Sikuona sababu yoyote ile ya Rais Samia kulivunja baraza lote la mawaziri na kulisuka upya.

Mabadiliko madogo kama aliyoyafanya ni ya kawaida na niliyategemea.

Lakini tuliambiwa na watu mbalimbali kuwa eti baada ya Rais Magufuli kufariki, basi kwa mujibu wa katiba baraza nalo linavunjika na waziri mkuu anakoma kuwa waziri mkuu.

Nilipovisoma hivyo vifungu vya katiba walivyokuwa wanavitumia hao watu kusema kuwa baraza zima lazima livunjwe, sikushawishika hata kidogo.

Huu ni mwendelezo wa serikali ileile aliyoiacha Rais Magufuli.

Mambo ya kuvunja baraza zima ya nini? Just keep it simple na kazi ziendelee. Tweaks za hapa na pale, hizo ni sawa.

Sasa, mbona waziri mkuu anaendelea tu na nafasi yake? Hajateuliwa upya kama walivyokuwa wanadai hao wataalamu wa sheria. Hajaapa tena. Au ameapa upya?

Je, ina maana Mama Samia kaanza utawala wake kwa kuvunja katiba?
Katiba ndio ina mkanganyiko wale walikua wanatoa maoni yao kama unavyotoa yako, walichokuzidi ni kwamba walitoa hoja zao waki-refer na vifungu vya katiba.
 
Mimi ni mtu ninayefuata falsafa ya ‘keep it simple’.

Sikuona sababu yoyote ile ya Rais Samia kulivunja baraza lote la mawaziri na kulisuka upya.

Mabadiliko madogo kama aliyoyafanya ni ya kawaida na niliyategemea.

Lakini tuliambiwa na watu mbalimbali kuwa eti baada ya Rais Magufuli kufariki, basi kwa mujibu wa katiba baraza nalo linavunjika na waziri mkuu anakoma kuwa waziri mkuu.

Nilipovisoma hivyo vifungu vya katiba walivyokuwa wanavitumia hao watu kusema kuwa baraza zima lazima livunjwe, sikushawishika hata kidogo.

Huu ni mwendelezo wa serikali ileile aliyoiacha Rais Magufuli.

Mambo ya kuvunja baraza zima ya nini? Just keep it simple na kazi ziendelee. Tweaks za hapa na pale, hizo ni sawa.

Sasa, mbona waziri mkuu anaendelea tu na nafasi yake? Hajateuliwa upya kama walivyokuwa wanadai hao wataalamu wa sheria. Hajaapa tena. Au ameapa upya?

Je, ina maana Mama Samia kaanza utawala wake kwa kuvunja katiba?

TLS walifanya makusudi wakiwa na sababu zao, sio kosa la bahati mbaya lile
 
Hii ni awamu ya 6

Kila zama na kitabu chake!
 
in Tanzania Ministers work at the Pleasure of the President to whom they swore an oath. When the incumbent dies, resigns or becomes incapable of fulfilling his duties, then they are automatically released from their oath. Some like TLS would argue that with Imperial President gone, the cabinet automatically dissolves. Now at the Pleasure of the President, Ministers would again have to swear an oath of fidelity and allegiance.

This is a new experience for the republic and the law is silent on procedures, so everything is left at the discretion of the President. So Tanganyika Law Society was right in light of their opinion, based on Constitutional Principles and Practice from another jurisdiction. Take an example in Republic like America, especially after the death of F.D.Roosevelt: President Truman had a discretion to appoint a new Government ASAP, or continue with the current Government left by his predecessor. He told Secretaries/Ministers to remain in their posts, meanwhile he was figuring out other options.

Remember, one of the basic feature of CURT 1977 is Imperial Presidency with all Ministers working at the Pleasure of the President.

Umeamua ku complicate makusudi au kutoelewa kabisa. Na hili ndio tatizo la kuwa na akili ndogo, kushindwa kutafsiri sheria, kama TLS wanashindwa kutafsiri sheria rahisi namna hii ni aibu!!!!!

Wanaapa kwa RAIS na sio kwa JPM

Kura walipigiwa wawili, na walikuwa TWO in ONE, mmoja kaondoka mmoja kabaki, NO new votes NO what what

Acheni complication za ajabu kwa hesabu ndogo tu za aljebra

Hakuna silence ya katiba mahali, YOU HAVE DECIDED not TO UNDERSTAND or to interpret wrongly!!!

Kasimameni kwenye kioo na sema fc me!!!
 
umeamua ku complicate makusudi au kutoelewa kabisa. Na hili ndio tatizo la kuwa na akili ndogo, kushindwa kutafsiri sheria, kama TLS wanashindwa kutafsiri sheria rahisi namna hii ni aibu!!!!!
Kunitukana mimi kunathibitisha zaidi uelewa mdogo ulio nao. TLS hawana mamlaka ya kutafasiri Katiba, wewe (Layman) wala mimi hatuna mamlaka ya kutafasiri Katiba. Mwenye hiyo mamlaka ni MAHAKAMA KUU tu (Keep this in your head). Moja ya majukumu ya TLS ni kuishauri serikali kwenye mambo mbalimbali ya sheria, hivyo serikali inaweza kufuata huo ushauri au kuacha.
wanaapa kwa RAIS na sio kwa JPM

Kura walipigiwa wawili, na walikuwa TWO in ONE, mmoja kaondoka mmoja kabaki, NO new votes NO what what
Article 56 of the Constitution of the United Republic of Tanzania says:
"A Minister or a Deputy Minister shall not assume office until he has first taken and subscribed before the President, the oath of allegiance and such other oath relating to the execution of the functions of his office as may be prescribed by an Act of Parliament"

Katiba inasema wanaapa kiapo cha utii (Oath of allegiance) kwa Raisi kama mtu (As a natural person) na siyo Raisi kama taasisi (Not as an Institution). Waziri lazima ale kiapo cha utii kwa Raisi mpya, pamoja na viapo vingine. Nadhani uko na tatizo sehemu.

Article 58 of the Constitution of the United Republic of Tanzania says:
"Ministers and Deputy Ministers shall hold office during the pleasure of the President"

Hapa katiba inamuongelea Raisi (As a natural person) na mawaziri watafanya kazi kwa matakwa yake yeye binafsi na siyo vinginevyo. Hivyo angeamua kusema Baraza la Mawaziri halina uhalali kwasababu hawajaapa kiapo cha utii kuna mtu angepinga ???

hakuna silence ya katiba mahali, YOU HAVE DECIDED not TO UNDERSTAND or to interpret wrongly!!!
Haya maneno machache yamenithibitishia naongea na mtu asiye na ufahamu lakini anajitia ujuaji mwingi.
Katiba yetu imekuwa na mianya mingi tu, na Mahakama Kuu imesaidia sana kutoa tafasiri ili kuiziba. Rejea kesi ya Mtikila ya mwaka 1994 kuhusu mgombea binafsi (Independent Candidate). Ilifahamika kabisa kwamba kwenye hili suala Katiba iko kimya (The constitution was silent) hivyo kupelekea wakina Mzee Chenge kwenda kufanya marekebisho ya haraka bungeni wakati kesi iko mahakamani, na kuongezea kifungu kisemacho mgombea wa Uraisi lazima atoke kwenye chama cha siasa. (Sasa wewe kilaza unakomaa hapa kusema Katiba haipo kimya)

Haya leta matusi, mengine........
 
TLS walipotoka, kwa bahati mbaya kabisa wafuasi na chadema wakalibeba Kama ilivyo wakatoa waraka kupitia katibu mkuu kuwa mama Samia anatakiwa kulivunja baraza la mawaziri
Nakumbuka siku ile humu makamanda yalijitoa akili, Ila Sasa hivi yapo kimya hata hayazungumzii tena kuvunjwa Baraza.
Hivi wewe Chadema walikufanyaga mbaya gani mbona unawawaza sana?!

Umepata anayekufaa tulia sasa achana na Chadema
 
umeamua ku complicate makusudi au kutoelewa kabisa. Na hili ndio tatizo la kuwa na akili ndogo, kushindwa kutafsiri sheria, kama TLS wanashindwa kutafsiri sheria rahisi namna hii ni aibu!!!!!

wanaapa kwa RAIS na sio kwa JPM

Kura walipigiwa wawili, na walikuwa TWO in ONE, mmoja kaondoka mmoja kabaki, NO new votes NO what what

acheni complication za ajabu kwa hesabu ndogo tu za aljebra

hakuna silence ya katiba mahali, YOU HAVE DECIDED not TO UNDERSTAND or to interpret wrongly!!!

kasimameni kwenye kioo na sema fc me!!!
Kama waliapa kwenye taasisi ya urais ni kwa nini waziri anapohamishwa Wizara nyingine lazima aape tena kwa Rais huyo huyo?

Hapa waliotunga Katiba hawakuwahi kufikiri hii hali itatokea
 
Back
Top Bottom