Ina maana Katiba haijafuatwa?

Ina maana Katiba haijafuatwa?

Opinion ya TLS ilikua sahihi.

Samia hajavunja katiba ana discretion ya kuendelea na aliowakuta au ateue wapya.

Ila sasa kuna Lacunae kwa maana kwamba hakuna Ibara inayotoa utaratibu wa mazingira ya kinachopaswa kufanyika kama akiopt kuendelea nao, wala hakuna sheria iliyotoa muongozo katika hilo pia.
SMART INDEED...!
UISHI MILELE NDUGU YANGU.
 
Mimi ni mtu ninayefuata falsafa ya ‘keep it simple’.

Sikuona sababu yoyote ile ya Rais Samia kulivunja baraza lote la mawaziri na kulisuka upya.

Mabadiliko madogo kama aliyoyafanya ni ya kawaida na niliyategemea.

Lakini tuliambiwa na watu mbalimbali kuwa eti baada ya Rais Magufuli kufariki, basi kwa mujibu wa katiba baraza nalo linavunjika na waziri mkuu anakoma kuwa waziri mkuu.

Nilipovisoma hivyo vifungu vya katiba walivyokuwa wanavitumia hao watu kusema kuwa baraza zima lazima livunjwe, sikushawishika hata kidogo.

Huu ni mwendelezo wa serikali ileile aliyoiacha Rais Magufuli.

Mambo ya kuvunja baraza zima ya nini? Just keep it simple na kazi ziendelee. Tweaks za hapa na pale, hizo ni sawa.

Sasa, mbona waziri mkuu anaendelea tu na nafasi yake? Hajateuliwa upya kama walivyokuwa wanadai hao wataalamu wa sheria. Hajaapa tena. Au ameapa upya?

Je, ina maana Mama Samia kaanza utawala wake kwa kuvunja katiba?
Kama ikifuatwa katiba kama ilivyo, tayari uongozi wa mama SSH rais wa JMT umeshaingia kwenye mgogoro wa ki katiba.
Lakini ni bahati mbaya/nzuri nchi hii inaongozwa kwa maamuzi ya CCM badala ya katiba.
 
Hahahaha, inawezekana....

Imagine Uhuru afe Leo, We are politically stable na mature na hili lazima tuisifu CCM na muasisi wa nchi...

Transition ya Mama Samia kuwa Rais ni ya kusifiwa sana, kama vile Sisi tumekuwepo miaka 300 kama USA
Mbona Kenyatta alifia madarakani nni kilibadilika? Kibaki alifanya kampeni akiwa ICU na aliapishwa akiwa kwenye machela kuna kitu kilifeli? Wait.... Uhuru na Ruto walikua na kesi nzito kwa mabeberu nchi ilifeli?

Kila nchi ina contingency plan na deep state ya kuangalia transition ya power in case the unexpected happens.

Na wakusifiwa kwa kuestablish hilo ni Nyerere sio CCM..... Otherwise hao CCM ni power brokers tu.
 
TLS walipotoka kisheria. Kimsingi halazamiki kuvunja Cabinet/kuteua PM. Ni discretion yake.
Hii tweak aliyoifanya, nadhani ni kuweka heshima na utii kwa Surbodinates wake.. 'hey im your boss now, i can fire you anytime i wish!'.
Ni kuashiria tu kwamba masalia siyo takwa la watu so wakatafuta usaidizi kwenye sheria. Ya kale yaishe yaje mapya. Hilo tu.
 
Kwani Pascal Njaa anasemaje ? Mkiambiwa katiba Ina mapungufu hamsikii ila ilipompa madaraka mwanamke mkafanya na uhaini kumpora madaraka mko n'nje kwa wema wake tu .
 
Walikuwa wakali humo, povu Kama lote. Ila wote leo kimyaaa
Hawa jamaa si ajabu wanaitwa nyumbu
Sawa ila kuna watu wasingependa baadhi wateule wa utawala uliopita waendelee. Wangependa hata bunge livunjwe sembuse baraza la mawaziri
 
Wewe ni sukuma gang tuliaaa

Kimeumana

Sukuma gang kwisha habari yao

Dunia hii wanafiki wapo

Refer kipindi cha Jk hawa watu kina Pasco mayala, nyaningabu,gwajima,katambi,..na wote walikua na mtazamo gani lakini after mwendazake kuchukua nchi wakageuka wakawa mbogo kusapoti juhudi kisa mwendazake ni wa kwao huko

Wakawa wanampamba

Hadi rashid akadakwa na vipeperushi vya kuunda sijui nchi yao sijui jeshi .....ukabila mtupu

Sasa hivi kimeumana.....Tanzania ni yetu sasa....tumuunge mkono mama samia ni mkomboz wa taifa

S-gang kimeumana nasema kimeumana..wapi pasco na nyani....
Mimi ni mtu ninayefuata falsafa ya ‘keep it simple’.

Sikuona sababu yoyote ile ya Rais Samia kulivunja baraza lote la mawaziri na kulisuka upya.

Mabadiliko madogo kama aliyoyafanya ni ya kawaida na niliyategemea.

Lakini tuliambiwa na watu mbalimbali kuwa eti baada ya Rais Magufuli kufariki, basi kwa mujibu wa katiba baraza nalo linavunjika na waziri mkuu anakoma kuwa waziri mkuu.

Nilipovisoma hivyo vifungu vya katiba walivyokuwa wanavitumia hao watu kusema kuwa baraza zima lazima livunjwe, sikushawishika hata kidogo.

Huu ni mwendelezo wa serikali ileile aliyoiacha Rais Magufuli.

Mambo ya kuvunja baraza zima ya nini? Just keep it simple na kazi ziendelee. Tweaks za hapa na pale, hizo ni sawa.

Sasa, mbona waziri mkuu anaendelea tu na nafasi yake? Hajateuliwa upya kama walivyokuwa wanadai hao wataalamu wa sheria. Hajaapa tena. Au ameapa upya?

Je, ina maana Mama Samia kaanza utawala wake kwa kuvunja katiba?
 
Umeelewa kweli? Kwa mujibu wa TLS wanasema raisi alitakiwa kuvunja baraza ndani ya wiki mbili tokea kuapishwa kwake.
Sasa hizo siku za usoni zinahusiana vipi na baraza kuvunjwa?

Jipe muda mkuu,,, hii nchi haiachi kukushangaza muda wowote unaeza sikia lolote..
 
Back
Top Bottom