IN PICTURES LIVE TOKA KARIMJEE - Buriani Dada Regia Mtema

Wallah kipenda roho hula nyama mbichi....mzee Makani baada ya kumuaga mjukuu wake aliishiwa nguvu na kudondoka na kubebwa na akina zitto lakini alipopuliza fegi akapata nguvu na kuamka

Kama ulikuwepo mkuu tukio lenyewe lilikuwa hivi....

attachment.php
attachment.php
 
Kweli this world is not our home,RIP Mpendwa na upumzike kwenye amani ya milele,iko siku Mungu atatukutanisha tena.We will always miss you
 
Nipo ughaibuni na marafiki zangu na wamekuwa interested kufahamu kinachoendelea nchini kwangu. Baada ya kuwapa taarifa za msiba tulio nao na kuziona hizi pics, kila mtu amebaki akishanga!! Hizi pics hazina hadhi ya JF, ni za low quality sana! kwanini hata tusingemuambia Michuzi atusaidie kwa hili?

Kama ni Issue ya Michuzi si mwende kwenye Blog yake kuziangalia. Kwa nini unawakatisha tamaa watu waliojitolea kutujuza juu ya mpendwa wetu? Ungekwenda kimya kimya wewe na hau waghaibuni wenzako mkatafute zilizo za hadhi yenu. Mbona mablog yamejaa kila kona?

Haijalishi hizi zimepigwa kwa simu au jiko la mchina mradi kwa sie tulio mbali zimetufanikishia lengo letu la kushiriki Mazishi ya mpendwa wetu kihisia.
 
SPOTTED: Our First Lady to be Josephine Slaa and President to be Dr. WPS...
Nimeipenda sana hii they both have the same Smartphones with the same color which signifies much LOVE btn them

Wote hawa ni wadau hapa JF, ila mama angevaa rangi nyingine kuashiria msiba.
 
Lema mbona Hajaonekana? Sugu naye vp? Tundu Lisu naye? mnyika????
Hili suala naona ameguswa nalo Zitto peke yake!
 
attachment.php

Mbunge wa viti maalumu kupitia CCM vijana Catherine Magige alikuwepo pia, hivi kweli haoni hata aibuu kuja msibani hivi?
 
Lema mbona Hajaonekana? Sugu naye vp? Tundu Lisu naye? Mnyika????
Hili suala naona ameguswa nalo Zitto peke yake!

Hao walikuwepo na wameshiriki kwa karibu sana Mnyika alikuwa mstari wa mbele amevaa suti ya CDM ya khaki inaonyesha wewe una matatizo ya kuona kwa kweli si buree
 
Mkuu EL Toro shukrani sana kwa picha...zinaonekana vizuri sana...picha za matukio ya huzuni hazikuhitaji ufundi wakati wa kuchukua kwani sio jambo la furaha..hakika mmetuwakilisha ipasavyo isisi tulio mikoani ambao kwa namna moja au nyingine tumeshindwa kujumuika na nyie.
 
Buriani kipenzi chetu Regia

Tangulia dada yetu na sie tunakuja

Kamwambie Mwalimu ile inchi yake bado ipoipo tu, Ni kina Cameroon tu wanainyemelea nyemelea

Tunajitahidi kuikomboa kutoka wakoloni wapya wenye rangi kama yetu na wanoabudu rangi nyeupe.

Tunahitaji ukombozi wa fikra na hisia. Maisha yanazidi kuwa magumu nabei za ajabuajabu za umeme na mafuta lakini tuko kimya kama tumepigwa nusu kaputi.

Tuna kukumbuka Regia

Kwa heri dada yetu Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom