Watanzania
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 727
- 44
GQ,
Burden of proof iko wako maana wewe ndiye unadai eti yeye ni Jambazi, Fisadi ana majumba mengi na mali nyingi. Tuletee basi hivyo vyeti vya umiliki vya mali unazodai ni za Lowassa ndipo defense counsel wawasilishe majibu 🙂
Ina maana hatuhitaji mtu muadilifu?
Labda niseme hivi nieleweke.
Hapo pana ukweli kabisa. Tunategemea miujiza badala ya kujituma na kutumia mida wetu vizuriTatizo la Tanzania si Ufisadi, bali ni sisi watu wenyewe, tu wavivu, magoigoi na tumeridhika mno na mambo ya ajabu ajabu ambayo Serikali imelala kabisa.
Hili pia wengi huwa hatutaki kulikubali ingawa ndio ukweli halisi kuwa rushwa zipo kila angle ya maisha ya watanzania. Ukiendesha gari, ukiingia hospitali, bandarini, airport, kwenye biashara etcSi siri kila Mtanzania ni fisadi kwa namna yake moja au nyingine. Leo watu wanatoa rushwa kama ni haki yao kutoa rushwa na ni jambo la kawaida ili wapate leseni au kibali cha gari.
Yes, I have said it. Ili tuendelee, tunamhitaji Edward Ngoyayi Lowassa!
Ni mchapakazi, mfuatiliaji na mkali asiye na masikhara na walioko chini yake si kuwa wanamheshimu tuu, wanaogopa kushukiwa na zali kutokana na ukali na ufuatiliaji wake.
Kila kazi aliyopewa, kaifanya kwa bidii na kwa ufanisi. Kuna tofauti kubwa sana za kiutendaji kati yake na wenzake walioshika nafasi za uongozi ambazo alizishikilia.
Naamini kwa dhati kuwa ili Tanzania iweze kuamka na kurudi katika mstari ulionyooka wa kujituma, kufanya kazi kwa bidii na maarifa bora na la zaidi kwa nidhamu ili tuendelee vyema na safari yetu ya kujijenga kiuchumi na kijamii ili kuleta maendeleo ya kweli, basi hakuna mwingine zaidi ya Lowassa!
Kama unaye wa kwako, tupe jina na umnadi, wangu miye ni Lowassa!
Naona mapepo yamewaingilia watu hapa. Lowasa si alikuwa waziri mkuu. Na katika kipindi cha miaka miwili alichofanya ni kitu gani zaidi ambacho sasa hivi watanzania wanaki-miss???
Zakumi,Naona mapepo yamewaingilia watu hapa. Lowasa si alikuwa waziri mkuu. Na katika kipindi cha miaka miwili alichofanya ni kitu gani zaidi ambacho sasa hivi watanzania wanaki-miss???
Watanzania hawamuhitaji Lowassa labda uwe umepandwa pepo. Kuna vipimo vya maendeleo ya nchi kama vile GDP, debt ratio na mengine.
Vipimo hivi wakati wa Lowassa na wakati huu wa Pinda viko vilevile. Hivyo basi utendaji wao hauna tofauti.
Nyerere alishaonesha mashaka juu ya Lowasa..
Ni u-PM tu, hakuna nafasi nyingine inayomfaaRev. unamtaka Lowassa katika nafasi gani?
rev.nakuunga mkono,
na ukitaka kujua bongo hakuna kichwa kama lowasa linapokuja suala la utendaji,angalia majibu kwenye posts zote hizi watu hawatoi mbadala wa lowasa,yaani hawamtaki tu kwasababu hawamtaki,ila hawana mbadala,kama wangekuwa nambadala wangeitikia mwito wako wa kusema mtu aseme anaemwona anafaa,
lowasa ni kifaa angalau kwa nchi yetu hii ilipofikia,tunahitaji mtu atakaetoa amri na watendaji wake wakajua anamaanisha anachosema,nani kama lowasa kwa sifa kama hiyo kwa sasa,watu hapa wamebaki kujadili sijui kaiba,nani hajaiba?hata tufanye nini hatuwezi kupata rais malaika,lazima atatoka miongoni mwa sisi binadamu tu,ndivyo Mungu alivyoamua,alitupa nchi tuzitawale wenyewe,
wengine hapa wanaojifanya kuujua uchafu wa lowasa ndio walewale walikuwa mstari wa mbele kutuamninisha jk alikuwa ndio chaguo la Mungu[labda kwakuwa sijui ni mungu yupi walimaanisha]
NAUNGA MKONO HOJA YA KUMREJESHA MADARAKANI MHE LOWASA!THE GUY WAS VERY CREATIVE!mradi wa maji Dar,kapigana na mkataba wa mkoloni kuchukua maji ya ziwa victoria sasa maji mpaka KAHAMA AKIWA WAZIRI WA MAJI,alifukuza city water kitu ambacho KAWAMBWA KASHINDWA KWA TRL,alianzisha njia TATU wakati wa foleni DAR.Ulinza shule za sekondari zilizojengwa kila kata mpaka makongoro mahanga anamshukuru kwani alijenga shule 38 za sekondari ukonga.LOWASA NA MAGUFULI NDIO VIONGOZI TUNAOWAHITAJI
Zakumi,
Nadhani tatizo ni kwamba quality ya leadership in Tanzania has sunk so low that we are lowering the benchmark. Among the worst leaders we have Lowassa stands out as a better substitute.
Wewe kweli BONGOLALA...