Kwenye hili la Richmond, mmesahau kuwa alimfuata Rais alipogundua kosa na kutaka mkataba usitishwe na kufutwa na ni Rais aliyekataa ushauri wa Lowassa kwa kisingizio eti tutapelekwa mahakama ya dunia ya biashara bila hata kuwasiliana na Wanasheria kujua tukivunja mkataba tungepata hasara gani?
Rev. unamtaka Lowassa katika nafasi gani?
Nilikuwa nawaza sisi ni watu wa aina gani? sasa naamini kuwa viongozi tulio nao ni image yeu. sasa kama sisi wenyewe vigeugeu leo lowasa hafai tukatukana hapa, ushahidi ukaletwa, tukashangilia alipojiuzulu na kunywa mvinyo, leo thithi thithi tunasema anafaa. acheni tu tuwe maskini maana kwa jinsi hii ni ngumu kuendelea.Kweli Tanzania ndio maana bado Masikini ikiwa hadi baadhi ya members wa Home Of Great Thinkers wanashindwa kung'amua ni nani asiefaa kwenye uongozi Tanzania, hivi mnategemea mtu wa kijijini ambaye si msomi na wala hana muda wa kufuatilia maadili ya viongozi mbalimbali achague mtu anaefaa. Kweli nchi yetu imeishiwa. Ukweli ni kwamba Edward Lowassa ni mmoja wa Jambazi na Fisadi Mkuu Nchini Tanzania. Hafai kwenye Uongozi si uraiani pekee hata huko jela hafai kupewa hata Unyapara.
Pia alivunja mkataba wa DARCITY WATER bila kuogopa eti wawekezaji watafungua kesi !!. Sasa hivi kuna mikataba kibao inaendeshwa kinyume na mikataba inavyotaka, lakini hakuna jasiri anayesimama kufuta mikataba hiyo, kisa JK anaogopa kesi, EL siyo muoga hivyo, love him or hate him, the guy got balls !! which is what this country needs, strong leadership.
Nyani,
Lowassa ndiye mtu mwenye sifa ambazo Mwanakijiji anasema tunahitaji mtu fyatu.
He never begs for accountability, he demands it. He is not soft on addressing malaise and irresponsibility, he takes action and people are not only fearful of him but the repurcussions of not doing what they are supposed to do.
Look at Kikwete, he begs for people to go to work, he begs for people to be acountable.
Look at Pinda, always whining like a Sissy with no authority behind his oath.
Let Lowassa take over 2010 and you will see safari ya maendeleo. I tell you kwanza Ubangaizaji utakoma, mipango ya maendeleo itafufuka na hakutakuwa na Uongozi ulioko Likizo the way Tanzania imekuwa likizo tangu February 2008!
Nilikuwa nawaza sisi ni watu wa aina gani? sasa naamini kuwa viongozi tulio nao ni image yeu. sasa kama sisi wenyewe vigeugeu leo lowasa hafai tukatukana hapa, ushahidi ukaletwa, tukashangilia alipojiuzulu na kunywa mvinyo, leo thithi thithi tunasema anafaa. acheni tu tuwe maskini maana kwa jinsi hii ni ngumu kuendelea.
Kweli Tanzania ndio maana bado Masikini ikiwa hadi baadhi ya members wa Home Of Great Thinkers wanashindwa kung'amua ni nani asiefaa kwenye uongozi Tanzania, hivi mnategemea mtu wa kijijini ambaye si msomi na wala hana muda wa kufuatilia maadili ya viongozi mbalimbali achague mtu anaefaa. Kweli nchi yetu imeishiwa. Ukweli ni kwamba Edward Lowassa ni mmoja wa Jambazi na Fisadi Mkuu Nchini Tanzania. Hafai kwenye Uongozi si uraiani pekee bali hata huko jela hafai kupewa hata Unyapara.
GQ,
Tatizo lenu/letu ni kutafuta Yesu au Mohammed. Hao kamwe hawatatokea.
Kwanza tunadai tunataka msomi, wako kina Chenge, Mkapa, Lipumba, Marehemu Balali, na wengine wengi waliosoma vyuo nondo kuliko kina Nagu, Kamala na Matayo na Udakitai wao.
Lakini mpaka leo hii, [amoja na usomi wao, matokeo ya kazi zao ni karibu sifuri, hayana long term impact katika jamii au mfumo wa kujiendesha au uzalishaji mali!
Tatizo si msomi au mnajimu kung'amua. Tunachohitaji ni mtu ambaye akitoa agizo au amri, litafuatwa na kutekelezwa, hata kama matokeo hatutayapenda au hatutayataka.
Leo hii tunampa Lowassa hukumu kutokana na kesi moja tuu ya Richmond, ambayo ilikuwa na Baraka za Rais.
Ilikuwaje basi tukampa nchi Mkapa ambaye alikuwa kimya kama kubwajinga akawa Rais wetu? au Kikwete ambaye tulikuwa tunajua hata kuhamasisha hana uwezo na yeye ni mkao wa kufurahisha watu kama kina Sinclair alikokufanya tangu 1988?
Edward can work his a$$ off and trust me he can deliver better than anyone who is thinking of becoming Rais wa Jamhuri.
Angalia alivyompiku Trekta ndani ya Chama n ku-mobilise CCM nzima iko nyuma yake. He is tactician, creative and persuasive ndio maana 75% ya NEC na karibu 65% ya mkutano mkuu wa Chama wako tayari kumfuata na kutii amri zake!
Tatizo si msomi au mnajimu kung'amua. Tunachohitaji ni mtu ambaye akitoa agizo au amri, litafuatwa na kutekelezwa, hata kama matokeo hatutayapenda au hatutayataka.
Awali ya yote unajua maana ya uadilifu?Ina maana hatutaki mtu muadilifu?
Awali ya yote unajua maana ya uadilifu?
Basi ka pembeni... mjadala uendelee. Anyway unaweza kupita Jukwaa la Lugha utapata maana yakeSijui
watu wanabadilika na yeye anayo nafasi ya kufanya hivyo. Kuonyesha shaka kupo kwasababu ya yale ambayo wengi wanaamini kwa kujua au kutojua ukweli halisi. Mimi nafikiri Lowasa kama walivyo watu wengine anayo nafasi ya kutuonyesha kwa vitendo kwamba ni kiongozi ambaye anaendelea kujifunza ili aweze kuwa bora kuwaongoza watu. Ni kweli kabisa kwenye safu ya uongozi wa nchi, kama baadhi ya hawa senior citizens watakaa pembeni basi kutakuwa na shughuli ya nani awe ni kiongozi wa nchi. Kuna vacuum. Hakukuwa na succession plan nzuri, kwahiyo sasa watu wenye ujanja ndani ya system wanataka kuhalalisha watu wao hata kama ni wabovu.GQ,
Tatizo lenu/letu ni kutafuta Yesu au Mohammed. Hao kamwe hawatatokea.
Kwanza tunadai tunataka msomi, wako kina Chenge, Mkapa, Lipumba, Marehemu Balali, na wengine wengi waliosoma vyuo nondo kuliko kina Nagu, Kamala na Matayo na Udakitai wao.
Lakini mpaka leo hii, [amoja na usomi wao, matokeo ya kazi zao ni karibu sifuri, hayana long term impact katika jamii au mfumo wa kujiendesha au uzalishaji mali!
Tatizo si msomi au mnajimu kung'amua. Tunachohitaji ni mtu ambaye akitoa agizo au amri, litafuatwa na kutekelezwa, hata kama matokeo hatutayapenda au hatutayataka.
Leo hii tunampa Lowassa hukumu kutokana na kesi moja tuu ya Richmond, ambayo ilikuwa na Baraka za Rais.
Ilikuwaje basi tukampa nchi Mkapa ambaye alikuwa kimya kama kubwajinga akawa Rais wetu? au Kikwete ambaye tulikuwa tunajua hata kuhamasisha hana uwezo na yeye ni mkao wa kufurahisha watu kama kina Sinclair alikokufanya tangu 1988?
Edward can work his a$$ off and trust me he can deliver better than anyone who is thinking of becoming Rais wa Jamhuri.
Angalia alivyompiku Trekta ndani ya Chama n ku-mobilise CCM nzima iko nyuma yake. He is tactician, creative and persuasive ndio maana 75% ya NEC na karibu 65% ya mkutano mkuu wa Chama wako tayari kumfuata na kutii amri zake!
Basi ka pembeni... mjadala uendelee. Anyway unaweza kupita Jukwaa la Lugha utapata maana yake