In Edward Lowassa, I trust...

niliwah sema hizi habari zitapoteza fursa ya huyu mzee kuwa rais. Ikulu kuna nini? Hili swal litamtesa sana, pili J. K. Nyerere aliwah sema mtu anaetaka kwenda ikulu mkimbieni kama ukoma. Hapa ndipo ngondo nyingine imekaa.
 
Sauti inasikika ya anayelia nyikani,Yanyoosheni mapito yake,bwana anakuja.
 
niliwah sema hizi habari zitapoteza fursa ya huyu mzee kuwa rais. Ikulu kuna nini? Hili swal litamtesa sana, pili J. K. Nyerere aliwah sema mtu anaetaka kwenda ikulu mkimbieni kama ukoma. Hapa ndipo ngondo nyingine imekaa.

Kwani Nyerere ndiye Mungu?
 
You have said it all
 
Huyu mshikaji anahonga wazi, sijui watanzania hilo hawalioni.. Inakuaje sasa hivi anajitokeza anamwaga hela..
Nlikua nadhani ni mtu mwenye akili ila jamaa jinga.. Moja kwa moja inaonyesha anachotaka ni urais tu arudishe hela, nothing more. Hii nchi imekaa sana kwenye siasa kuliko vitu vingine vya msingi, sio viongozi sio raia..
 
niliwah sema hizi habari zitapoteza fursa ya huyu mzee kuwa rais. Ikulu kuna nini? Hili swal litamtesa sana, pili J. K. Nyerere aliwah sema mtu anaetaka kwenda ikulu mkimbieni kama ukoma. Hapa ndipo ngondo nyingine imekaa.

Hayo ni mawazo yake na sisi tuna mawazo yetu,hatuna muda wa kufanyiakazi mawazo ya walio makaburini.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
Slaa raisi tanganyika lowasa raisi jamhuri ya muungano!!Halafu muone kama nchi haitobadilika ndani ya mwaka
 
Acha ujinga ww nan hajui kua politics n mchezo mchafu naomba tu ifahamike hivi urais kwake ni ndoto isiyokujatimia kwake haiwezekani tukatoa nchi mikonono mwake nan asiye jua ukwel?????????
 
Lowassa ndio habari ya mujini,wengine wanasindikiza
 
Lowassa ndiyo kiboko ya Chadema.
 
amekuhonga wewe ushaid unao? Kama ccm ikipita 2015 bac bora huyo kuliko type ya akina cta, kinene, na wengine wabovbov kama wa zamani ya sasa.
 
KAMA AKIPATIKANA MWENYE SIFA KAMA ZA EDO KABLA YA 2015 TUTAMJADILI. ILA KWA SASA LOWASSA HANA MPINZANI KWA WATZ WAPENDA MAENDELEO. Lowwasa juuuuuuuuu sanaaaaaaa.
 
Unasahau makusudi sifa zake nyingine
-anahusika na RICHMOND
-aliwahi kupora kiwanja cha kanisa Mbezi Beach
-sakata la utajiri wake usioelezeka
-suala la jengo la UVCCM nalo je?

Nivyema kama unampenda ukanywe naye chai!!

haya yote hayaoni
 
kila mtu ataongea lake
lkn ukweli ni kuwa el hawezi kuwa rais wa Tz

ni suala la muda tu, tusikimbuabe hapa na tuombe Mungu atupe uzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…