Knowing Rev. Kishoka very well I make the following observation::
Rev. Is trying to invoke debate so we can discuss who is capable of leading TZ.
He picked EL knowing very well this will make the most bang and will force people to really question the crisis in leadership we are facing in Dar and what needs to be done in 2010 and 2015.
Binafsi, nasema EL is a no no lakini swala je huyu Jk naye vipi?? Nani mwingine ambaye anaweza kutuongoza watanzania tukatoka kwenye hili giza nene la umaskini, magonjwa na matatizo lukuki???[/QUOTE]
Yale yale....kuzungumzia watu badala ya sifa...hata Idd Amini alikuwa mtendaji, lakini kwa faida gani? Acheni kutaja majina, semeni sifa za viongozi. Endapo mtu atatokea kuomba kama Shibuda alivyodhamiria, then tuanze kumjadili kwa vigezo tunavyoamini vinatahili. Lowasa is Gone , just bury the bug!
Ni mchapakazi, mfuatiliaji na mkali asiye na masikhara na walioko chini yake si kuwa wanamheshimu tuu, wanaogopa kushukiwa na zali kutokana na ukali na ufuatiliaji wake.
Kazi ipi alipewa na ikafanyika bila hilaKila kazi aliyopewa, kaifanya kwa bidii na kwa ufanisi. Kuna tofauti kubwa sana za kiutendaji kati yake na wenzake walioshika nafasi za uongozi ambazo alizishikilia.
This is a joke!!!!! Think twice, out of 40m Tanzania there are many for sure.Naamini kwa dhati kuwa ili Tanzania iweze kuamka na kurudi katika mstari ulionyooka wa kujituma, kufanya kazi kwa bidii na maarifa bora na la zaidi kwa nidhamu ili tuendelee vyema na safari yetu ya kujijenga kiuchumi na kijamii ili kuleta maendeleo ya kweli, basi hakuna mwingine zaidi ya Lowassa!
Mh kama unampenda "Kampikie Chai"hii ndio Tanzania bana Mijizi inaabudiwa,na inajifanya michapa kazi kweli kweli,Uchapakazi wa kutuibia hauna tija na unakuwa kisingizio mbele ya watu kuonekana ''watu wema kumbe si watu"pole bw mdogo TP
Jamani sasa nani atafaa?
lakini Rev kasema huyo na mimi namuunga mkono ,sasa let say tumemkataa sasa yupi atafaa?
I concur Pastor. That guy was keeping us on our toes. And we were also keeping him in his toes. This dialectical relationship between 'us' and 'him' would have propelled our development much further. Uchumi wetu ungeendelea kupaa badala ya kutua. I say better fight the devil you know - Bring him back on board!
"Tupo Tumejaa Tele" - Edward Lowassa, the then PM
'Sitaki Longolongo!'
'Udini Mwiko'
'Najali Muungano'
'Siogopi Kuwajibishwa'
'Navutia wawekezaji'
'Nina ushawishi'
'Naona mbali'
'Nachapa kazi'
'Najali wananchi'
'Nasaidia maskini'
'Sitaki mchezo'
'Nazingatia elimu'
'Nahamasisha maendeleo'
'Natumia mamlaka'
'Ndio nitawaongoza'
'Nitakuwa Rais'
'Sitacheka cheka'
'Nitailinda Katiba'
'Nitaleta mvua'
'Nitaondoa njaa'
'Mgao utaisha'
'Nitapaisha uchumi'
'Nitawasikiliza wananchi'
John Pombe Magufuli anaweza kutuweka sawa... Hana makashafa kila leo kama huyo ambaye ni muasisi wa falsafa ya UFISADI KUPITIA UONGOZI.
Appetite ya kujilimbikizia mali ya muasisi wa UFISADI KUPITIA UONGOZI ni insatiable. Jamaa hata leo hii apewe migodi yote ya dhahabu iwe anaimilkika na familia yake. Ikitokea kuna kuibinafsisha Tanesco, atafanya hila aimiliki yeye, akijua kuna account ingine design ya EPA pale BoT, atachora mpaka waichote... Jamaa imefikia mahali ni kama ana ugonjwa wa akili when it comes to opportunity ya ufisadi inapomtokea.
Ukitazama estates zake Dar es Salaam na Arusha, Ranchi kubwa za taifa za NARCO alizokomba wakati yupo maji na mifugo, investment ya Vodacom, investment ya Safaricom Kenya, Ardhi ya General Tyre Arusha anayoizungukia kila kukicha(na hapo ana ardhi nyingi tu), no wonder kile kiwanda kinakufa sababu watu wanataka wagawane properties. Yani the list is endless...Na miaka yote hiyo tangu ujana wake ni mtumishi wa umma.
Mwenyewe kama kweli ni mcha mungu kama anavyopenda kujiportray, basi nafsi yake itakua inamsuta kama bado anataka uongozi wa nchi hii ya watu masikini wa hali na akili.
Kuwa na mali si dhambi bali dhambi ni kuwa na mali iliyopatikana ktk njia ambazo si halali, bahati mbaya ni kwamba kwa sasa uongozi na mali vinaenda kwa pamoja na huko ndio kuna viashiria vya rushwa...Yeye kuwa na mali ambazo kazinunua ni kosa lake binafsi? Je ni wapi imeandikwa katika Sheria za Tanzania na kanuni za maadili kuwa ni mwiko kwa kiongozi kuwa na mali?
Kwani mali alizonazo si zimeandikishwa kule tume ya maadili na Serikali inajua? kama sivyo basi ni jukumu la nani kumweka kitanzi imhoji jinsi alivyojipatia mali?
Rev. Ningekushauri uyahusianishe mabaya na mazuri yake ndo ujaribu kupiga campaign! Inawezakana huyajui mabaya yake yote aliyoyafanya! Fanya comparative analysis iyo halafu urudi utueleze!
Yes, I have said it. Ili tuendelee, tunamhitaji Edward Ngoyayi Lowassa!
Kama unaye wa kwako, tupe jina na umnadi, wangu miye ni Lowassa!
Nakuunga mkono Rev. Kuna tangible results za juhudi za Lowasa nyingi sana, sijaona matokeo ya juhudi binafsi za Kikwete hata moja.
Rev.
Hiyo nimetoa kama stratergy ya ku achieve lengo hilo hilo ulilonalo. Madhara ya kutongoja ni kuwa, kama akijitosa sasa wakati public opinion juu yake si nzuri na akashindwa basi ajue kuwa atakuwa amepoteza nafasi hiyo for good. Kuepusha hilo, ni vema akajiwekea mkakati wa muda in order to cover enough ground kwa Chama na pia wapiga kura.
Unajua hizo kwa nini nyingi nyingi ulizoziltoa ni lazima tukubali ukweli kuwa wanaochagua viongozi sio mimi na wewe au watu ambao wana think staight. Kuna clique ambayo tukubali tusikubali ndio king makers na baadaye wapigakura ambao nao pia huwa influenced na clique hiyo hiyo.
Sasa kama kweli EL anafaa basi naye atafute njia ya aidha kuungana na clique hiyo,(kama alivyofanya rafiki yake JK) au atafute clique mbadala.