Usisahau kumshika mkono kila mnapovuka barabara,,,,,,,, halafu mwambie asije akaenda kwa watu asubuhi asubuhi na mswaki mdomoni kusalimia majirani maana ndio tabia yake hiyo!!!!!!!!!!

Hahahaaaaa...!!! ananisumbua huyo..., akiwa anavuka barabara anashika Makobazi yake mikononi... Afu kila ghorofa analiita Bugando... nimemnunulia vocha ya simu kaiingiza na karatasi lake kwenye simu... msukuma kaja mjini, namsubiri charminglady nae aje nimuone...

kuwa uyaone jamani,maajabu ya dar nyumba za vyuma zinajengwa ktk ya barabara, Dr.zero nakushukuru sana kwa kunitambua ujue yule mzee Baba V alinitoroka akaniacha kwenye mataa
Hahahaaaaa...!!! ananisumbua huyo..., akiwa anavuka barabara anashika Makobazi yake mikononi... Afu kila ghorofa analiita Bugando... nimemnunulia vocha ya simu kaiingiza na karatasi lake kwenye simu... msukuma kaja mjini, namsubiri charminglady nae aje nimuone...
Hahahaaaaa...!!! ananisumbua huyo..., akiwa anavuka barabara anashika Makobazi yake mikononi... Afu kila ghorofa analiita Bugando... nimemnunulia vocha ya simu kaiingiza na karatasi lake kwenye simu... msukuma kaja mjini, namsubiri charminglady nae aje nimuone...
Usisahau kumshika mkono kila mnapovuka barabara,,,,,,,, halafu mwambie asije akaenda kwa watu asubuhi asubuhi na mswaki mdomoni kusalimia majirani maana ndio tabia yake hiyo!!!!!!!!!!
Kakangu mtumwa nimekumiss. Siku hizi unanitenga, usisahau hatupewi nafasi ya kuchagua familia. Nakupenda automatikale. Angalia kina Madame B wasikutapeli.