Pamoja na ushabiki, kuna tatizo lingine la msingi......humu ndani, wengi wetu sio critical and analytical thinker bali ni political thinkers!!! Economic data zinahitaji critical and reasonable thinking na ndio maana unakuta mkuu EMT anabisha kwamba makusanyo hayaongezeki huku data alizo-quote zinaonesha kuna ongezeko!!!!! Tuliosoma A-Level mwishoni mwa miaka ya 1990 na early 2000's, watakumbuka kwamba ilikuwa ni NADRA sana, tena sana mtu kukuta amepata A or B ya Economics A-Level. Ilikuwa hata ukipata C, basi fahamu utakuwa upo kwenye 10 best students TZ !!!!! The reason behind, kulikuwa na paper 2 wakati ule(am not sure abt cku hizi). Paper I ni paper ambayo ilihitaji tu kusoma madaftari na kukariri na Paper II ilikuwa ni paper iliyohitaji zaidi critical and reasonable thinking kuliko kusoma madaftari. Kwa critical and reasonable thinker, angeweza kufanya na kufaulu Paper II hata bila ya kusoma lakini paper I ilikuwa ni lazima usome!!! More often than not, watu walikuwa wanababua sana (na kupata hata A) kwenye Paper I; lakini ilipokuja Paper II, A zote zingeweza kuwa dropped to C, or even D!!!! Economics, is all about critical and reasonable thinking, otherwise tutaishia ku-define economy in political persepectives ambazo most likely zinakuwa biased!! Lipumba, ni among the Greatest Economist in the country, lakini unatakiwa kuangalia jukwaa analotumia pale anapozungumzia masuala ya uchumi! Is it political or academic/proffesional platform!!! Atakapokuwa kwenye political platform lazima atakuwa bias as compared to professional platform.
wasomi wa tanzania-wachumi hawana nafasi, maamuzi yote ni ya kisiasa tu bila kupata ushauri wa kuaalamu
Declaration of bankruptcy is always a shame especially at the amidst of ample resources!! and rampant corruption like TZ led by Msanii.Merekani wanakopa itakuwa Tanzania? mnanchekesha!
Wachumi wetu mko wapi?mbona mambo yanazidi kuwa magumu kwa walalahoi.Haya ndiyo maisha bora kwa kila mtanzania ?
Angalia na ground za kukopa sio mtu ana panga bajeti tofauti anantumia tofauti na we unamsifu eti hata fulani anakopa tuache ushabiki tuiangalie TANZANIAMerekani wanakopa itakuwa Tanzania? mnanchekesha!
Merekani wanakopa itakuwa Tanzania? mnanchekesha!
Mkuu FF, sidhani kama kukopa ni tatizo, ni utaratibu wa kawaida tu. tatizo letu hapa ni kuwa (kulingana na taarifa nilizoziona hapa) tunatumia zaidi kuliko tunavyokusanya. Hii inamaanisha kuwa tunalazimika kukopa ili kufidia pale tunaposhindwa kukusanya. isingekuwa vibaya kama tungekuwa tunakopa kwa ajili ya midari ya maendeleo kwa sababu ingekuja kulipa hayo madeni baadaye. hatari ni kuwa tunakopa kwa ajili ya kughramia recurrent expenditure. Ukiona hali kama iyo, basi ujue kuwa tunaelekea kule kwa GreeceMerekani wanakopa itakuwa Tanzania? mnanchekesha!
Brother kila siku nawaambia watu wa humu JF kuwa achaneni na wehu wa humu, wamo wengi tu. Unapoteza nguvu nyingi kumfafanulia jambo la msingi asiyestahili. Kumbukeni kila soko lina mwehu wake!Unakopa ili katika matumizi ya bajeti yako ya trilioni 13.5, over 8 trillioni goes to posho na mishahara and the rest ndio kwenye shughuli za maendeleo ya walipa kodi? Come on now. Angalia Marekani wanapokopa wanafanya nini na matumizi yao. Kukopa kwa serikali yoyote sio tatizo, unakopa kwenda kufanyia nini? na unachokifanya kitasaidia kuweza rudisha mkopo au atleast punguza mkopo in the future parallel to lifting the rural mass?
Mkuu, umeongea point sana, ila kuna mahali umepiga msituni kidogo. Unaposema kuwa asilimia 60 ya bajeti imekwenda kwenye mishahara na Posho, na kiasi kilichosalia kikaenda kwenye maendeleo siyo kweli. Kwa heasabu nyepesi kabisa, unachotaka kuwaambia watanzania ni kwamba Bajeti ya Tanzania= Posho+ Mishahara+ Maendeleo. Kama hiyo ndiyo tafsiri yako ya Bajeti, utakuwa umepotoka. Tafsisi sahihi ni hii:
bajeti ya Tanzania= Mishahara+Posho+ Matumizi ya kawaida ( mafuta, vitabu, madawa, ukarabati nk)+ maendeleo. Kwa tafsiri halisi ya serikali( kwa mujibu wa vitabu vya bajeti) bajeti yetu = Personal Emoluments ( Mshahara na mafao)+ Other charges ( ghrama za uendeshaji) + developement Expenditure( Maendeleo). Kwa miaka mingi sasa, bajeti ya maendeleo imekuwa ni kama asilmia 20 tu ya bajeti nzima.
Kwenye tafsiri yako, utakuwa umesahau fedha za uendeshaji ( other charges ) ambazo ni karibia asilimia 40 ya pesa pesa zote za matumizi ya kwaida yaani ( recurrent Expenditure)
Viginevyo, point zako ni za msingi sana.
Mkuu, kama Serikali ingelianzisha kitu kinachoitwa "Dawati la JF" kwa maana ya kutumia michango mbalimbali inayotolewa na wanaJF na kuifuatilia na hatimaye kuitekeleza, nadhani swali hili usingeliuliza. Wana JF ina watu wa makundi tofauti, kuna vilaza, kuna waropokaji lakini kuna great thinker wa ukweli ambao wameshaishauri Serikali hii kwa namna ya kipekee tena bure kabisa, ni suala la kuchambua na kutekeleza, lakini wapi wao wanajua ku-hire ma-consultants ambao hawana lolote zaidi ya kuja na li-document kuubwa lisiloweza kusomwa na viongozi wetu vilaza hawa, na likisomwa halifanyiwi kazi.
Kwa uchache tu,
JF....
.......
.........
......
Orodha ni ndefu mkuu, cha msingi waambie kuwa wachumi wapo, ma-injia wapo, wahasibu wapo, wanasheria wapo lakini nao wako bize kwenye kufisidi mali za umma kama viongozi wao wanavyofanya.
Yea, this is impressive, but the way we are doing now, by obtaining loans to foot recurent expenditure, we are going to erode our impressive reswerves soon, and that is not health for our economy"Year","Tanzania"
"2004","2175000064"
"2005","2074000000"
"2006","2375000064"
"2007","2910000128"
"2008","2915000064"
"2009","3206000128"
"2010","3687000064"
Semeni, semeni. In US$.
Tazama ongezeko toka Kikwete aliposhika na tazama alivyokuta. Mnataka na za nyuma? Hiyo Tanzania foreign Reserves.
source: Tanzania - Reserves of foreign exchange and gold - Historical Data Graphs per Year
Hapo panaopoonekana aid as total % of budget kuwa inashuka haina maana kuwa wanakopa less,bali ni kwamba mapato ya ndani yameongezeka lakini bila kuchukua hatu yoyote ya kupunguza aid money.
Unakopa ili katika matumizi ya bajeti yako ya trilioni 13.5, over 8 trillioni goes to posho na mishahara and the rest ndio kwenye shughuli za maendeleo ya walipa kodi? Come on now. Angalia Marekani wanapokopa wanafanya nini na matumizi yao. Kukopa kwa serikali yoyote sio tatizo, unakopa kwenda kufanyia nini? na unachokifanya kitasaidia kuweza rudisha mkopo au atleast punguza mkopo in the future parallel to lifting the rural mass?
Mkishindwa hoja huwa mnaanza fujo, hata hapa unaanzisha hayohayo, hamna cha kusema;
Weka idadi ya barabara za lami kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Shule kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Waalimu kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Zahanati kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Viwanda kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Utalii kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Umeme kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Maji kabla ya Kikwete
Weka idadi ya kazi kabla ya Kikwete
Weka idadi ya biashara kabla ya Kikwete
Weka idadi ya umaskini kabla ya Kikwete
Weka idadi ya kilimo kabla ya Kikwete
Weka idadi ya bidhaa zinazopita bandari zetu kabla ya Kikwete
Weka akiba ya fedha tulokuwa nayo kabla ya Kikwete
Ukimaliza weka na idadi ya wakati huu wa Kikwete, itayokuwa zaidi ya leo hii wakati wa Kikwete, mimi naihama CCM leo hii.
By FaizaFoxy![]()
![]()
"Year","Tanzania"
"2004","2175000064"
"2005","2074000000"
"2006","2375000064"
"2007","2910000128"
"2008","2915000064"
"2009","3206000128"
"2010","3687000064"
Semeni, semeni. In US$.
Tazama ongezeko toka Kikwete aliposhika na tazama alivyokuta. Mnataka na za nyuma? Hiyo Tanzania foreign Reserves.
source: Tanzania - Reserves of foreign exchange and gold - Historical Data Graphs per Year
Sawa sawa mkuu. Ebu tusaidiane kuchambua hili:
Mkullo June 2011
Mheshimiwa Spika, kwa upande wa matumizi, katika mwaka 2011/12 Serikali imepanga kutumia jumla ya shilingi
bilioni 13,525.9 kwa matumizi ya kawaida na maendeleo. Kati ya fedha hizo, kiasi cha shilingi bilioni 8,600.3 kimetengwa kwa ajili ya matumizi ya kawaida, ikijumuisha shilingi bilioni 3,270.3 kwa ajili ya mishahara ya watumishi wa Serikali, taasisi na wakala za Serikali na shilingi bilioni 1,910.4 kwa ajili ya Mfuko Mkuu wa Serikali.
Aidha, jumla ya shilingi bilioni 4,925.6 zimetengwa kwa ajili ya miradi ya maendeleo, ambapo shilingi bilioni 1,871.5 ni fedha za ndani na shilingi bilioni 3,054.1 ni fedha za nje.
Mapato:
A: Mapato ya Ndani 6,775,952
(i) Mapato ya Kodi (TRA) 6,228,836
(ii) Mapato Yasiyo ya Kodi 547,116
B: Mapato ya Halmashauri 350,496
C: Mikopo na Misaada ya Nje 3,923,551
D: Mikopo ya Ndani 1,204,262
E: Mikopo ya Masharti ya Kibiashara 1,271,634
JUMLA YA MAPATO YOTE 13,525,895
F: Matumizi ya Kawaida 8,600,287
(i) Mfuko Mkuu wa Serikali 1,910,376
(ii) Mishahara 3,270,292
(iii)Matumizi Mengineyo 3,419,619
Wizara 2,727,472
Mikoa 49,981
Halmashauri 642,166
G: Matumizi ya Maendeleo 4,924,608
(i) Fedha za Ndani 1,871,471
(ii)Fedha za Nje 3,054,137
JUMLA YA MATUMIZI YOTE 13,525,895
---
Ukisoma katika ufunguzi utaona kuna takwimu zimefinywa finywa, hazielezwi zimeenda wapi na mantiki yake ni matumizi ya kawaida in the form of posho, mishahara, repairs za majengo haya na yale, dhfa za kitaifa n.k - kwa ufupi i still hold kwamba 60% of the budget goes to other things than maendeleo ya Mtanzania. Thats the bottomo line.
gmosha48 said:Mkuu, umeongea point sana, ila kuna mahali umepiga msituni kidogo. Unaposema kuwa asilimia 60 ya bajeti imekwenda kwenye mishahara na Posho, na kiasi kilichosalia kikaenda kwenye maendeleo siyo kweli. Kwa heasabu nyepesi kabisa, unachotaka kuwaambia watanzania ni kwamba Bajeti ya Tanzania= Posho+ Mishahara+ Maendeleo. Kama hiyo ndiyo tafsiri yako ya Bajeti, utakuwa umepotoka. Tafsisi sahihi ni hii:
bajeti ya Tanzania= Mishahara+Posho+ Matumizi ya kawaida ( mafuta, vitabu, madawa, ukarabati nk)+ maendeleo. Kwa tafsiri halisi ya serikali( kwa mujibu wa vitabu vya bajeti) bajeti yetu = Personal Emoluments ( Mshahara na mafao)+ Other charges ( ghrama za uendeshaji) + developement Expenditure( Maendeleo). Kwa miaka mingi sasa, bajeti ya maendeleo imekuwa ni kama asilmia 20 tu ya bajeti nzima.
Kwenye tafsiri yako, utakuwa umesahau fedha za uendeshaji ( other charges ) ambazo ni karibia asilimia 40 ya pesa pesa zote za matumizi ya kwaida yaani ( recurrent Expenditure)
Viginevyo, point zako ni za msingi sana.
"Year","Tanzania"
"2004","2175000064"
"2005","2074000000"
"2006","2375000064"
"2007","2910000128"
"2008","2915000064"
"2009","3206000128"
"2010","3687000064"
Semeni, semeni. In US$.
Tazama ongezeko toka Kikwete aliposhika na tazama alivyokuta. Mnataka na za nyuma? Hiyo Tanzania foreign Reserves.
source: Tanzania - Reserves of foreign exchange and gold - Historical Data Graphs per Year