Tafadhali, kuna mkopo usioelezwa ni wanini siku hizi? IMF wana sheria zao za mikopo, na la kwanza inabidi wakupe masharti ambayo kama huyatimizi hawakupi, sasa wewe unaleta habari za kufikirika, mashangi sijui nini, wewe barabara alizotuwachia Nyerere hapa bila magari kama yale unafikiri kuna sehemu utazipita? wachaaa, usione sasa hivi Kikwete anajitahidi kutandaza mabarabara ukadhani ndio kote kupo hivyo.
Halafu unaongelea safari za kikwete, unafikiri anakwenda kucheza huko anakokwenda? ni nani anaetaka kusafiri kila siku? inafaa umpe sifa Kikwete kwa kufanya kazi kwa bidii usiku na mchana. Wewe hii Tanzania ya Kikwete leo ndio Tanzania ilivyokuwa hapo nyuma? maendeleo kila pembe lakini mnajidai kuyafumbia macho. Kikwete ndio Rais pekee wa Tanzania aliotangaza rasmi "hafi mtu kwa njaa hapa" na kweli, ni nani mwingine ambae hawajafa watu kwa njaa Tanzania hii.
Unaujuwa wakati wa Nyerere wewe> au unausikia tu? tulikuwa hatujui cha kukila kesho nini, unapanga foleni hjui kinachotolewa leo nini> kama ni mchele au unga au sukari. Leo unakwenda kuchaguwa untaka mchele wa wapi? Mbeya, Shinyanga, Ifakara, Mwanza, Pakistan, Thailand, India? yalikuwepo hayo wakati wa Mtakatifu? wacheni chuki binafsi tazameni ukweli.

Du! Yaani kweli hii ngoma kuiamsha itachukua miaka kibao. Kweli we should never undestimate the predictability of stupidity.
Hii nchi ilifilisika wakati wa NYERERE, wakaja kutuokoa hao hao IMF cha ajabu ni nini? leo Tanzania tuna reserve ya kututosha miezi sita na uchumi umepanda mpaka UN wametambuwa hilo na kutupandisha chart.
Nyie mnakuja na sijui nini sijui nini, IMF hata nchi za magharibi wanakwenda, tazama Ugiriki kuna nini sasa hivi? msituletee porojo za mitaani.
Faiza Foxy said:Tafadhali, kuna mkopo usioelezwa ni wanini siku hizi? IMF wana sheria zao za mikopo, na la kwanza inabidi wakupe masharti ambayo kama huyatimizi hawakupi, sasa wewe unaleta habari za kufikirika, mashangi sijui nini, wewe barabara alizotuwachia Nyerere hapa bila magari kama yale unafikiri kuna sehemu utazipita? wachaaa, usione sasa hivi Kikwete anajitahidi kutandaza mabarabara ukadhani ndio kote kupo hivyo.
Du! Yaani kweli hii ngoma kuiamsha itachukua miaka kibao. Kweli we should never undestimate the predictability of stupidity.
Labda hujasoma haya maandishi za Zambarau. This is a warning FROM IMF kuwa matumizi ya serikali yanazidi hata makusanyo ya kodi, na misaada ya wafadhili na hilo linapelekea kukua kwa DENI LA SERIKALI!!!!!
Merekani wanakopa itakuwa Tanzania? mnanchekesha!
Usijali. Watahalalisha ushoga wapewe £ na bwana Cameron!
Sawa sawa mkuu. Ebu tusaidiane kuchambua hili:
Mkullo June 2011
Mheshimiwa Spika, kwa upande wa matumizi, katika mwaka 2011/12 Serikali imepanga kutumia jumla ya shilingi
bilioni 13,525.9 kwa matumizi ya kawaida na maendeleo. Kati ya fedha hizo, kiasi cha shilingi bilioni 8,600.3 kimetengwa kwa ajili ya matumizi ya kawaida, ikijumuisha shilingi bilioni 3,270.3 kwa ajili ya mishahara ya watumishi wa Serikali, taasisi na wakala za Serikali na shilingi bilioni 1,910.4 kwa ajili ya Mfuko Mkuu wa Serikali.
Aidha, jumla ya shilingi bilioni 4,925.6 zimetengwa kwa ajili ya miradi ya maendeleo, ambapo shilingi bilioni 1,871.5 ni fedha za ndani na shilingi bilioni 3,054.1 ni fedha za nje.
Mapato:
A: Mapato ya Ndani 6,775,952
(i) Mapato ya Kodi (TRA) 6,228,836
(ii) Mapato Yasiyo ya Kodi 547,116
B: Mapato ya Halmashauri 350,496
C: Mikopo na Misaada ya Nje 3,923,551
D: Mikopo ya Ndani 1,204,262
E: Mikopo ya Masharti ya Kibiashara 1,271,634
JUMLA YA MAPATO YOTE 13,525,895
F: Matumizi ya Kawaida 8,600,287
(i) Mfuko Mkuu wa Serikali 1,910,376
(ii) Mishahara 3,270,292
(iii)Matumizi Mengineyo 3,419,619
Wizara 2,727,472
Mikoa 49,981
Halmashauri 642,166
G: Matumizi ya Maendeleo 4,924,608
(i) Fedha za Ndani 1,871,471
(ii)Fedha za Nje 3,054,137
JUMLA YA MATUMIZI YOTE 13,525,895
---
Ukisoma katika ufunguzi utaona kuna takwimu zimefinywa finywa, hazielezwi zimeenda wapi na mantiki yake ni matumizi ya kawaida in the form of posho, mishahara, repairs za majengo haya na yale, dhfa za kitaifa n.k - kwa ufupi i still hold kwamba 60% of the budget goes to other things than maendeleo ya Mtanzania. Thats the bottomo line.
| Year | Country GDP ($$$) | Foreign debt (%of GDP) | Foreign Debt ($$$) | Total debt service as % of GDP | Total debt service as % of exports of goods and services | Total reserves as % of total exports | GDP growth (annual) |
| 2009 | 21.3 trillion dollars | 34% | 7.2 trillion | 0.76% | 3.5% | 47% | 6.3% |
| 2008 | 20.7 | 28% | 5.7 trillion | 0.31% | 1.3% | 48% | 7.4% |
| 2007 | 16.8 | 29% | 4.8 trillion | 0.38% | 1.2% | 57% | 7.1% |
| 2006 | 14.3 | 28% | 3.9 trillion | 0.60% | 2.4% | 55% | 6.7% |
| Year | Food imports as % of merchandise imports |
| 2009 | 8.9% |
| 2008 | 7.7% |
| 2007 | 11.7% |
| 2006 | 12% |
| Year | Fuel imports as % of merchandise imports |
| 2009 | 22% |
| 2008 | 29% |
| 2007 | 29% |
| 2006 | 24% |
Labda hujasoma haya maandishi za Zambarau. This is a warning FROM IMF kuwa matumizi ya serikali yanazidi hata makusanyo ya kodi, na misaada ya wafadhili na hilo linapelekea kukua kwa DENI LA SERIKALI!!!!!
kwahiyo marekani hali yao sawa kabisa na tanzania eh?Merekani wanakopa itakuwa Tanzania? mnanchekesha!
Mkishindwa hoja huwa mnaanza fujo, hata hapa unaanzisha hayohayo, hamna cha kusema;
Weka idadi ya barabara za lami kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Shule kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Waalimu kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Zahanati kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Viwanda kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Utalii kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Umeme kabla ya Kikwete
Weka idadi ya Maji kabla ya Kikwete
Weka idadi ya kazi kabla ya Kikwete
Weka idadi ya biashara kabla ya Kikwete
Weka idadi ya umaskini kabla ya Kikwete
Weka idadi ya kilimo kabla ya Kikwete
Weka idadi ya bidhaa zinazopita bandari zetu kabla ya Kikwete
Weka akiba ya fedha tulokuwa nayo kabla ya Kikwete
Ukimaliza weka na idadi ya wakati huu wa Kikwete, itayokuwa zaidi ya leo hii wakati wa Kikwete, mimi naihama CCM leo hii.
Unakopa ili katika matumizi ya bajeti yako ya trilioni 13.5, over 8 trillioni goes to posho na mishahara and the rest ndio kwenye shughuli za maendeleo ya walipa kodi? Come on now. Angalia Marekani wanapokopa wanafanya nini na matumizi yao. Kukopa kwa serikali yoyote sio tatizo, unakopa kwenda kufanyia nini? na unachokifanya kitasaidia kuweza rudisha
mkopo au atleast punguza mkopo in the future parallel to
lifting the rural mass?
Merekani wanakopa itakuwa Tanzania? mnanchekesha!