IMF wathibitisha, Serikali imeishiwa!

FaizaFoxxy;

Hoja zako kuhusu nchi nyingine za nje kuwa na deficit na mambo kama hayo sio sababu ya kutumia kwamba serikali ya sasa ipo makini kiuchumi na kwamba haipo peke yake katika msuko suko huu; kuna mambo mawili lazima uyaelewe - fiscal issues zina sheria zake ambazo wenzetu wanazifuata, na hata wakiyumba, wanajitahidi and over time wanakuwa ndani ya hizo rules; Sisi hakuna hayo zaidi ya uchumi uchwara wa ndullu na Mkullo;
Two fiscal rules followed by nchi zenye fiscal discpline:
1. The Golden Rule - ambayo inatamka kwamba - katika financial period, the government will borrow only for investment purposes and not to finance its current spending; angalia kwetu, almost 60% of bajeti ni kwenye matumizi ya kawaida (posho, mishahara...), only 40 goes to spending, na ukiangalia fedha nyingi Mkullo anazokopa Benki kama zio zote ni za kwenda kulipa posho na mishahara;

2. The sustainable investment rule- ambayo inatamka kwamba during the financial period, uwiano wa net public debt to GDP will be set as a stable and sustainable level, mfano UK wao wame set at 40% of GDP lakini Maastricht Treaty (EU) inawaruhusu UK kuwa na hii figure up to 60%; na hata kama huwa wanavuka,they strive to return back to sustainable levels, na walioharibu kama waziri mkuu wa Greece, Italy, wanakubali kuwajibika;

Sababu kubwa ya kuwa na hizi rules ni kwamba, by adopting them, inasaidia mzigo wa public spending to fall fairly across generations/vizazi. Kwahiyo, serikali za wenzetu wanahakikisha kwamba all public consumption benefiting the current generation should be paid for by that
Generation!! Kwa kufanya hivyo – serikali inaamua kwamba whenever it borrows money, then it borrows for investment, not for to fund current spending – mishahara na posho;

Kazi ya sustainable investment rule ni to supplements the golden rule, ambayo inajaribu to avoid the creation of an excessive burden of debt repayments kwa vizazi vijavyo; Kwahiyo unakuta the sustainable investment rule aims to keep debt at a level that does not prove unsustainable or unfair to future generations. Subiri utaona how these countries will bounce back kwani hawafanyi mzaa na fedha za walipa kodi;

Serikali ya CCM is supposed to spend most of its budget, especially borrowed finance – to spend money more productively in things like roads, electricity, communication networks, railways; kwani investment in capital infrastructure such as these always leads to higher economic growth & output - sio hii yetu ya wizi wa madini; Such investments would help facilitate trade and promote economic activity in the private sector (including rural areas) where most of our country's wealth resides; kwa kufanya hivi, it means Borrowing to produce can pay for itself!;
But kwa sasa ni uchumi uchwara kwani we are doing the opposite; matumizi ya serikali yamepitiliza na kama tulivyokwisha ona, only a small chunk is associated with capital investment, especially in the rural areas; na nyingi kabisa ni dead money of debt interest – debt ambayo haikidhi the rules outlined above; ndio maana unakuta about 60% of the budget, most of which the government is willfully borrowing to fund yet unproductive consumption in our economy;

Dada yangu, kawaambie Mkullo na Ndullu kwamba borrowing to consume means that once that cash is spent, we have to borrow more just to stay afloat; no wonder the national debt is getting out of hand; Mkullo and Ndullu have to get a grip on public spending so that we start living within our means;
 

Mtazamaji, my position ni kama yako - ya kushangaa huko CCM kama wana think tanks etc; all i know ni kwamba wana empy tanks that needs to be filled by reckless government spending;
 

Mimi nawashangaa mnaposoma lakini hamuelewi, mnaambiwa uchumi umekuwa 6.3% miezi sita ya mwanzo, ni nini kigumu hapo kuelewa? mnaambiwa kuna reserve ya kuagiza bidhaa nje Tanzania kwa miezi zaidi ya minne ijayo, ni nini hapo kigumu kuelewa? mnaambiwa yamezugumzwa mambo ambayo yanabidi yafanyiwe kazi, ni nini hapo mnachoshindwa kuelewa? mnakwepa hoja mnakimbilia CCM.

Nimewaambia, wadanganyeni wale ambao hawajaenda shule. Poleni sana, hapa ndio FF orijino.
 
Mtazamaji, my position ni kama yako - ya kushangaa huko CCM kama wana think tanks etc; all i know ni kwamba wana empy tanks that needs to be filled by reckless government spending;

Inabidi ushangae sana, hayo ma "empty tanks" kuwaongoza ma "think tank", kuna kitu kiko "very right".
 

Unashangaza sana pale FF anapofananisha nchi za nje kama kigezo unamponda, lakini wewe mfano wote ulioutolea vigezo ni wa hukohuko nje! Unanchekesha!
 

Never ever use logic in reality. Report tells it all, why logic? use principals.

I am a person of principals and self integrity and not of fallible logic when reality prevails.
 

Mimi ni mwana CCM, lakini i beg to differ with some of the things unavyovisema hapo; hatuja haja ya kurudia nini maana ya GDP growth katika uchumi wetu kwani kwa maana fupi ni kwamba the higher the GDP, the poorer mwanakijiji gets na tulishaongea hayo; na ushabiki wa GDP growth ni wa kijinga kwani ukitoa sekta ya madini from the GDP equation - madini ambayo faida yake sana sana ni kuunguza ndugu zetu na kemikali - kwa wale wanaotumia maji ya chem chem tangia 1961, nje ya madnini uchumi wetu hauna tofauti kubwa na ule wa mwinyi na nilishaonyesha haya kwa takwimu;
Kuhusu akiba ya taifa for 6 months, hiyo sio hoja, hoja ni kwamba je what will be our new financial position in the next 6 months especially kama tunasubiri uwezekano wa Mkullo ku submit a mini budget kwani yake ya sasa haitekelezeki na kufanya ahadi za JK uchaguzi uliopita, za magufuli iginga kuwa ndoto za alinacha? Msimpotoshe rais, mnamwangusha.
 
Du! Dada yangu "If your words are less important than silence, just keep quiet"......

Huwezi. Huna jibu, kila swali hapo linakusuta. Kama unaweza lete "data" si maneno matupu.
 
Unashangaza sana pale FF anapofananisha nchi za nje kama kigezo unamponda, lakini wewe mfano wote ulioutolea vigezo ni wa hukohuko nje! Unanchekesha!
Mfano wa FF ni wa kutufananisha na hizo nchi za nje kwamba na wao wana matatizo; mfano wangu ni wa kuonyesha kwa takwimu na hoja kwanini sisi na wao ni tofauti, hatuna tunachofanana; ebu fikiria kama - pamoja na matatizo yao, Uingereza bado wana uwezo wa kutusaidia na misaada kwa njia ya ushoga; sisi ikitokea tatizo nchi jirani tunaweza kutoa msaada wowote kama hata mishahara ya watumishi wa serikali inatokea stanbc na kwingine?
 


Wewe uwe CCM au uwe chama chochote kile haijalishi.

Hayo madini yamehusu nini, kinachoongelwa hapa ni hiyo report na hiyo report ni "green", kwa nini mnapenda kusuta nafsi zenu? unanletea habari za mwanakijiji, mwanakijiji ndio nani> what does he know about economics?

Unataka kuleta hadithi ndefu wakati mambo yako wazi kabisa, nimekuambia watu wameachana na ujinga alioufanya Nyerere wa kutaka Serikali ndio iwe mmiliki wa viwanda, mashule, mashamba, "it was a big failure".

Serikali sasa hivi inawekeza kwenye miundo mbinu, na baadae hata hiyo miundo mbinu si jukumu lao, wao wanabaki kuwa "policy makers" na kuzisimamia.

Msijidai kuandika vitu ambavyo havina mpango, ripoti iko wazi tunaongea kilichopo humo. Nimeweka list ya vitu ambavyo mpaka sasa vimefanywa na Serikali ya Kikwete mnashindwa kukijibu hata kimoja. Unaleta "theories", lets talk "reality". Huoni nini kinafanyika? basi hata huhisi?
 

Mchambuzi akiba ya 6 months ni ya kitu gani hiyo?
 

Haya dada yangu mpendwa - tusema Mheshimiwa Rais anakupa nafasi ya kumwambia kwa maneno yasiyozidi 20 kwamba:
Faizzy, hali ya uchumi huko kwa wananchi ipo vipi na ninfanye nini kuiboresha au sina haja ya kuiboresha mambo yao shwari? utamjibu nini.
 

Sisi na wao ni tofauti lakini ikija "deficit" yetu mbaya yao bora? ni nini unakisema? hebu fikiri japo kidogo. Kama vile hujasikia Membe kajibu nini. Mishahara itoke kokote itokako lakini imetoka haikutoka? Hebu kuwa "realistic" japo kidogo. Msaada nchi jirani tunatoa kila siku, au umesahau juzi Comoro? au hujui mpaka leo tunawafundisha Askari wa Somalia? au hujui mpaka leo tuna wakimbizi wa nchi jirani? ni nini unasema nakushangaa.

Ongelea mleta mada kaleta mada ya uongo, ripoti imewekwa humu ni tofauti kabisa na post yake #1. Au na hilo hulioni?

Leo hiyo hiyo nchi tunayoiponda uchumi mbaya tunaambiwa Malori ya chakula yanashikwa yakipeleka kwa jirani, haikuambii kitu hiyo> juzi tumesikia Kikwete ansema kama akiba ya chakula ipo ya kutosha watazame namna ya kuruhusu mazao yauzwe nchi za jirani, haikuambii kitu chochote hiyo?
 
Mchambuzi akiba ya 6 months ni ya kitu gani hiyo?

Mtazamaji,
Anamaanisha tuna akiba tosha kuagiza vitu muhimu kutoka nje - mafuta, chakula etc; in other words, tuna uwezo wa ku finance our imports ambayo depends on dollars ambayo thamani yake by january inaweza kabisa kuwa 1 USD = 2,000, na hayo mahesabu yao pengine yanategemea hesabu za exchange rate tofauti na ya hali ya sasa na hali inavyozidi kuwa mbaya; pia sijui kama inazingatia ukweli kwamba our exports zinazidi kushuka na ni hizi exports which provide use with dollars to finance hizo imports anazosema tunao uwezo for 6 months; je after that? sikatai uwezo huo wa miezi 6, ninacho hoji ni je, katika mazingira ya ku stabilize shillingi versus dollar?Je, yanaangalia sustainability au uwezo tu wa ku finance imports for 6 months; kuwa kwenye gari na dereve kusema mafuta yetu yana uwezo wa kutufikisha morogoro sio lazima kukupe usingizi; baada ya morogoro je, especially since haijulikani kama after morogoro tunaelekea kiteto au mikumi, na hatujui hata kama kuna vituo vya mafuta huko, let alone fedha za kunulia mafuta;
 
....... Nimeweka list ya vitu ambavyo mpaka sasa vimefanywa na Serikali ya Kikwete mnashindwa kukijibu hata kimoja. Unaleta "theories", lets talk "reality". Huoni nini kinafanyika? basi hata huhisi?

HuyuRais wa CCM unayemsfia aliyefanya hivyo
  • Kajenga Km ngapi za barabara. Na katika hizo ni shilingi ngapi ni mkopo na shilingi ngapi ni fedha zetu wenyewe.Liganisha Kikwete na Mkapa.
  • Je kiwkete aliaachiwa Benki kuu ikiwa iko hoi au hai kiasi gani?
  • Je Kikwete wakati anaingia madeni ya Nje na ndani ya taifa yalikuwaje. Na sasa yakoje.?
  • Je serikali ya kikwete imelipa madeni ya shilingi ngapi? Liganisha na serikali ya Mkapa amabayo ililipa madeni kiasi cha kufanya serikali yetu iwavutie hata wakopeshaji.
Faiza Foxy Majibu ya maswali kama hayo ndiyo utajua tunarudi nyuma sio kwenda mbele.

Atleast Kikwete angefanyia kazi ufisadi may be watu wangesema amefanya alichoshinwdwa fisadi Mkapa. . Ni huku kwenye ufisadi ndio alikokuwa anategemewa kumzdi Mkapa. Lakini kumbe na huko kwenye kushughulikia ufisadi nako anafanya maigizo tu. Sasa msomi wa uchumi kasahau uchumi.
 
Haya dada yangu mpendwa - tusema Mheshimiwa Rais anakupa nafasi ya kumwambia kwa maneno yasiyozidi 20 kwamba:
Faizzy, hali ya uchumi huko kwa wananchi ipo vipi na ninfanye nini kuiboresha au sina haja ya kuiboresha mambo yao shwari? utamjibu nini.

Maboresho yapo kila siku na hayataisha leo wala kesho, ni nchi ipi isiyofanya maboresho? nani anaesema kuwa anhaaaaa, hapa sasa tumefika?

Ntamwambia kwa maneno mchache chini ya ishirini; weka sheria ya kupiga risasi hadharani watuhumiwa wote wa "corruption" wanaokutwa na hatia.
 


Jibu maswali yangu huko juu. Kabla hujaanza kuuliza yako.
 


"Reserve" kwani ipo kwa shillingi? Unanchekesha, ipo kwa dhahabu au fedha za kigeni hususan US$.
 

Moja, data anazopewa rais kikwete nyingi sio sahihi na hatuna haja ya kulijadili hilo kwani sote tunajua yaliyomsibu huko nyuma kwani kwa mfano wa haraka haraka alitamka kwenye television kwamba msuko suko wa dunia hautaikumba Tanzania - Ndullu, Mkullo na wengineo wakiwa wamemzunguka kama washauri;
Mbili, ishu sio mleta mada kaleta nini, ishu ni kwamba what discussion does it stimulate in terms of a further understanding of our economic situation, na je hoja zinajengwa pamoja na facts na takwimu?

Tatu, kuhusu ubora wa deficit katika ya nchi kama UK na sisi nadhani mimi nimefikia kikomo katika huo mjadala, kikubwa ni kwamba waliokuelewa wewe wamekuelewa, na walionielewa mimi wamenielewa, hiyo ndio maana ya mjadala na kueleweshana, sio ushindani;

Nne, i reserve myself kujadili masuala ya kijeshi kwani mimi kwanza sio mwanajeshi, na pili hawa watu sio wa kuwajadili ovyo kwani ni walinzi wa mipaka yetu na mijadla na watu wenye hulka yako inaweza kuishia kuonekana hatuwajali;
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…