IMF warns Tanzania of downside economic growth risks!

IMF warns Tanzania of downside economic growth risks!

KUNAWATU WANAISHI KAMA MALAIKA NATAKA NIWASHUSHE WAISHI KAMA MASHETANI

Yaani Malaika aishi kama Shetani? na pia pesa za kumakanisani yaani masadaka kupungua ambako pia kazi ya Bwana itapungua wajameni? Yaani tunapunguza kimwili na kiroho wajameni?.

Mie nangependa niishi kama Malaika wa MUNGU na sio kama shetani wa naniii.

Msinitukane mie
 
Kukaa 5 star hotel, wine pembeni, vyakula kibaoo, snacks za kumwaga na kusema UCHUMI mzuri, all targets were met, mentally & psychologically with regard to human nature, hapo WANAKULA RAHA, allowances $ 1,000 per day, ulitegemea waandike MISENYI HAKUNA CHAKULA, au kuna tishio la baa la njaa wakati meza zao zimejaa mafood yote, au waandike hali ni ngumu sana sana mitaani.. NO, NEVER..

Those are human beings, ni wanyama kama wanyama wengine, watandika kutokana 70% ya hali yao wao hapo hotelini na matumbo yao, hiyo 30% ndio watasema ukweli kidogo...

Hali ni ngumu sana sana kwa sasa.. huhitaji IMF or World Bank to tell this, utakuwa bwe.ge na mpuuzi kusubiria report ya mzungu anaishi ULAYA NA U.S.A, na waafrika walioajiriwa huko kukwambia hali halisi ya nyumbani kwako, ni uwendawazimu na utahira mkubwa, tutakuwa wapuuzi sana, sbb hali halisi iko wazi, acheni utani plse..!!
Ila wangesema magufuli dictator hapo ungeeapongeza na kuwaita wakweli sio?
 
IMF wakitaka kukukopesha hela ndio wanakuja na ripoti kama hizi. Wakisha kupa, utaona repoti nzuri nzuri zina sambazwa. We're trying to received the trend, badala ya mizigo itoke nje n kuingi ndani (bandarini), tuna taka mizigo itoke ndani kwenda nje.
 
Uchumi utakuwa kwa kasi kubwa sana, baadae. Hali hii inayoonekana sasa ni kweli, sababu tupo kwenye mabadiliko. Pesa zinatoka kwa wachache kwenda kwa wengi. Yaani, huduma zinapelekwa kwa jamii.

Kuhamia Dodoma ndio kuta push hata mikoani kutakuwa na ungezeko la uchumi. Dodoma ni katikati ya Tanzania na from Dodoma co-ordinations zitawezekana kwenda pande zote hata mpaka Chato na Kilimanjaro, Kenya na Yuganda, Malawi hadi Rwanda na Ulaya, India na Venezuela hadi kwa Trump tutashirikiana nao yaani toka huko Idodomya, Tanzania.

Tusiogope Watanzania, mambo ndio yameanza tu majuzi juzi. MUNGU aliumba Dunia kwa siku saba, hadi sasa matekenolojia yanaendelea kuumbikaga. Sasa na hii Selikali yetu pia itafanyaga uchumi wetu ku progressigi. Tuna gas, tuna madini na makampuni yake, tuna vifaru na wanyama kibao, tuna ardhi tena ya kijani, mvua ndio ameanza kunyeshaga. Mamito ya maji, maziwa hadi Bikitoria, masamake. Utajiri wote huo wajameni.

Angalizo: Tuji control tuwe na population ndogo ndio tunaweza kujimudu. Sasa watu tunaongezeka kwa haraka hapo ndipo tutakosa kujiendesha na uchume utadodora mwana wane. Too muchi is harmufulu.

Angalieni tu musinitukane mie.
kama kuna ardhi ya kutosha kwa nini watu wasizae
 
serikali iagize vipimo vya uchumi ili kila mmoja wetu aweze kupima aone kwa macho maana tukisema hali mbaya unaambiwa ulikuwa mpiga dili lazima utakuwa tu shetani.......duuuh na badooo...tuvumilie tu hiki ni kipindi cha mpito
 
Yaani Malaika aishi kama Shetani? na pia pesa za kumakanisani yaani masadaka kupungua ambako pia kazi ya Bwana itapungua wajameni? Yaani tunapunguza kimwili na kiroho wajameni?.

Mie nangependa niishi kama Malaika wa MUNGU na sio kama shetani wa naniii.

Msinitukane mie
1. malaika waishi kama mashetani. 2. Sadaka zipungue ili neno la Mungu lisihubiriwe shetani atawale zaidi.
We have the antichrist on the stirling!!
 
Wameanza tena ujinga wao, Dunia ya leo nani anaweza kuwachukulia seriously wapuuzi hawa? Nchi nyingi za Dunia ya tatu zime pay a very high price kwa kusikiliza ushauri potofu wa jamaa hawa - kumbuka nao wana ajenda zao za siri zenye lengo la ku-instigate raia wa nchi masikini wali-revolt dhidi ya Serikali zao.

Siku hizi kuna taasisi nyingi za kupata mikopo/misaada without strings attached mfano: China na Scandinavian Countries.
 
TANZANIA ITABADILIKA PINDI TU IWAPO RAISI MAGUFULI ATARIDHIA KUBADILIKA, NA HILO LA YEYE KUBADILIKA KWASASA LIWEZEKANI ILA NI GUMU SABABU KIPAWA CHA UONGOZI NA KUKUBALI KUJIFUNZA KWA WENGINE SI HURKA YAKE.

WE WERE VERY NAIVE BY THE THOUGHT OF SEEN THE RIGHT AT THE END OF THE TUNNEL JUST FEW MONTHS AFTER GENERAL ELECTION BUT IN REALITY IT WAS A HEADLIGHT OF AN ONCOMING TRAIN.

ANAJUA KILA KITU NA HANA CHA KUJIFUNZA KUTOKA KWA YEYOTE ANAMEPEWA SIFA KUWA AMEKAA SERIKALINI ZAIDI YA 20, SIFA ZIMEFANYA MPAKA MGEMA POMBE KAONGEZA MAJI.

SASA NANI KUMFUNZA KITU KIPYA KUHUSU KUENDESHA SERIKALI? HAJUI KUWA ANASAHAU "SOCRATIC PARADOX"

VYETI VYA SHULE NA POWER KUNA NYAKATI VINAWAFANYA WENGI WETU KUWA NA KIBURI BILA KUFAHAMU ELIMU NA MAISHA NI VITU VIWILI TOFAUTI.

BUSARA INAJENGWA NA TABIA NA TABIA NI KITU KIGUMU SANA KWENYE ULIMWENGU KUJIFUNZA ILI MTU UBADILIKE, KIKUBWA ELIMU INAWEZA KUMTOA MTU KIJIJINI NA ISIWEZA KUTOA ULE UNAAKIJIJI AKILINI MWAKE.

TUNAJUA TU KUNA SERA ZA VIWANDA, LAKINI HAKUNA ANAYEJUA MKAKATI WA KUTIMIZA HIYO SERA YA VIWANDA? ITATUMIA MUDA GANI? MATARAJIO YAKE NI NINI?

HUKU KUNA SERA ZA MILENIA 2020, SIJUI ZINAENDELEAJE? SERIKALI HII IMEJIPANGA VIPI?

LEO HUYU KASEMA HILI, KESHO HUYU ANASEMA HILI, MAMBO NI KAMA KICHWA CHA MWENDAWAZIMU.

WATU WANAFUNGISHA MIKANDA KWENYE MATUMIZI ILI TUJIKIMU NA KUPUNGUZA MATUMIZI YA SERIKALI LAKINI HALI NI TOFAUTI NA MATARAJIO: DENI LA TAIFA LINAZIDI KUPAA, UCHUMI UNAYUMBA, AJIRA INACHECHEMEA, UHAKIKA WA ELIMU YA JUU UNAFIFIA. N.K.

TATIZO NI NINI? TATIZO NI NANI? TATIZO LIKO WAPI? TUTALITATUA VIPI HILI? KWANINI HALI NI HIVI?


TANZANIA IKO KIZANI NA SIYO TOTORO LA KUSUBIRI KUCHWA NDIYO KWAANZA TUNAINGIA KIZANI.

HAIHITAJI SAYANSI YA ROCKETI KUJUA HILO, NAWATAKIA WATU MAISHA MEMA KWENYE KIPINDI HIKI KIGUMU.


​
 
The International Monetary Fund has warned Tanzania that the country's economic policies threaten its forecast for growth in fiscal year 2016/17 (July-June) of around 7 percent.

President John Magufuli promised when he was elected last year to reform an economy hobbled by red tape and corruption and begin a programme to develop public infrastructure.

But the IMF said progress has been slow and lack of public spending is curtailing liquidity.

"There are risks that could adversely affect economic growth going forward, arising from the currently tight stance of macroeconomic policies, the slow pace of credit growth that may become protracted, slow implementation of public investment, and private sector uncertainty about the government's new economic strategies," the IMF said late on Monday in its latest review.

Tanzania projects growth of 7.2 percent for 2016, up from 7.0 percent in 2015, led by mining, telecoms, construction and financial services.

"Monetary policy should be eased to address the tight liquidity situation and support credit to the private sector," said the IMF.

Tanzania's economy grew 6.2 percent in the third quarter of 2016, compared with 6.3 percent in the same quarter of 2015.

Reuters
 
Tunaomba tuwekee habari ya mwananchi inayosema " IMF yaionya Tanzania kuhusu kubana matumizi" ili tuoanishe ni hii habari.
IMG_2325.JPG
 
Nimeona kwenye magazeti hapa IMF yaionya Tanzania kubana matumizi.
 
-ataka azikwe na mill. 200 akamhonge Mungu-
Hii ni kali ya millenium
 
Nimeshangaa hawa IMF wanasema uchumi wa Tanzania unakua wakati watanzania wanakosa milo miwili,Nchi imekumbwa na baa la njaa,wafanyabiashara wanafunga biashara zao,wafanyakazi wamepigika kutokana na vyakula kupanda bei.

Sijawahi kuwaelewa hawa IMF hivi wanajua Tanzania siyo Dar tu waende vijijini wakaone akina mama wanavyotumia muda mwingi kutafuta MAJI, wanavyoshindia matunda hata kulala njaa pamoja na familia.

Wazungu hawa wanatuona wa Afrika wajinga,Njooni wataalamu wa uchumi tujadili uchumi wa nchi yetu siyo hawa wawaakilishi wa IMF wanaojifungia offisini mwao kwa kuspin data.
 
Back
Top Bottom