Hukumbuki hata takwimu za Forbes PoY tulipika chamani, itakuwa vijimaelezo viwili vitatu hivi ilhali wanafahamu hatuna kwa kuwapata hao IMF tukawaulize?Nimeshangaa hawa IMF wanasema uchumi wa Tanzania unakua wakati watanzania wanakosa milo miwili,Nchi imekumbwa na baa la njaa,wafanyabiashara wanafunga biashara zao,wafanyakazi wamepigika kutokana na vyakula kupanda bei.
Sijawahi kuwaelewa hawa IMF hivi wanajua Tanzania siyo Dar tu waende vijijini wakaone akina mama wanavyotumia muda mwingi kutafuta MAJI, wanavyoshindia matunda hata kulala njaa pamoja na familia.
Wazungu hawa wanatuona wa Afrika wajinga,Njooni wataalamu wa uchumi tujadili uchumi wa nchi yetu siyo hawa wawaakilishi wa IMF wanaojifungia offisini mwao kwa kuspin data.
Wanafikia kwenye mahotel ya five star lazima waseme uchumi unakua! Waende meatu au nkasi namanyele watajua maisha ya mtzNimeshangaa hawa IMF wanasema uchumi wa Tanzania unakua wakati watanzania wanakosa milo miwili,Nchi imekumbwa na baa la njaa,wafanyabiashara wanafunga biashara zao,wafanyakazi wamepigika kutokana na vyakula kupanda bei.
Sijawahi kuwaelewa hawa IMF hivi wanajua Tanzania siyo Dar tu waende vijijini wakaone akina mama wanavyotumia muda mwingi kutafuta MAJI, wanavyoshindia matunda hata kulala njaa pamoja na familia.
Wazungu hawa wanatuona wa Afrika wajinga,Njooni wataalamu wa uchumi tujadili uchumi wa nchi yetu siyo hawa wawaakilishi wa IMF wanaojifungia offisini mwao kwa kuspin data.
Maisha ya mtanzania hayajawahi kuwa mazuri toka nchi iumbwe lkn kuna bidii za kujaribu kuyafanya yawe mazuri kwahiyo kukua kwa uchumi kunamaanisha harakati za kujarubu kuwasaidia wananchi wa kawaida zinaendelea na kwa kiwango gani japo bado bidii hizo haziwafikia wananchi. Labda kwa mfano rahisi kuwa tupo kwenye nyumba mbovu tunajengewa nyumba nzuri ili tuhamie je nyumba hiyo bado inajenwa imesimama au inabomoka?Wanafikia kwenye mahotel ya five star lazima waseme uchumi unakua! Waende meatu au nkasi namanyele watajua maisha ya mtz
wangesema uchumi umeporomoka mngesemaje?Kama Twaweza
Mkuu.....Nimeshangaa hawa IMF wanasema uchumi wa Tanzania unakua wakati watanzania wanakosa milo miwili,Nchi imekumbwa na baa la njaa,wafanyabiashara wanafunga biashara zao,wafanyakazi wamepigika kutokana na vyakula kupanda bei.
Sijawahi kuwaelewa hawa IMF hivi wanajua Tanzania siyo Dar tu waende vijijini wakaone akina mama wanavyotumia muda mwingi kutafuta MAJI, wanavyoshindia matunda hata kulala njaa pamoja na familia.
Wazungu hawa wanatuona wa Afrika wajinga,Njooni wataalamu wa uchumi tujadili uchumi wa nchi yetu siyo hawa wawaakilishi wa IMF wanaojifungia offisini mwao kwa kuspin data.
kilimo cha kutegemea mvua sio kilimo cha uhakikaNimeshangaa hawa IMF wanasema uchumi wa Tanzania unakua wakati watanzania wanakosa milo miwili,Nchi imekumbwa na baa la njaa,wafanyabiashara wanafunga biashara zao,wafanyakazi wamepigika kutokana na vyakula kupanda bei.
Sijawahi kuwaelewa hawa IMF hivi wanajua Tanzania siyo Dar tu waende vijijini wakaone akina mama wanavyotumia muda mwingi kutafuta MAJI, wanavyoshindia matunda hata kulala njaa pamoja na familia.
Wazungu hawa wanatuona wa Afrika wajinga,Njooni wataalamu wa uchumi tujadili uchumi wa nchi yetu siyo hawa wawaakilishi wa IMF wanaojifungia offisini mwao kwa kuspin data.
Mimi sijaelewa kabisa, labda uchumi wa serikali lakin uchumi wa mwananchi mmoja mmoja bado sana
Mkuu.....
Ebu tuanze na wewe ulie leta hii mada.
Huo uchumi unao uzungumzia kushuka umesababishwa na nini?
Kama ni shida ya maji vivijini, hii imekuepo hata kabla ya Pombe kuingia madarakani.
Kama ni njaa, mbona kwanza ndio tupo kwenye msimu wa kilimo?
Tena hata muda wa kilimo hauja fika.
Kubwa tujadili hili la uchumi, lakini kwa hizo sababu ulizo zitaja, hapana sijakubaliana na sababu ulizo ziahinisha