IMF warns Tanzania of downside economic growth risks!

IMF warns Tanzania of downside economic growth risks!

Kwamba uchumi umekua kutoka 7.0% mwaka 2015 mpaka 7.2% mwaka 2016, na bado sijahisi hata kaupepo ka huo uchumi kukua.
Oohh hapo sawa kumbe ni katika sekta ambazo mimi wa kawaida siwezi hata kujua kama ndiyo zinapanda au zinashuka.

Labda wakianza kufanya matumizi kama IMF wanavyoshauri ndiyo nitahisi kitu.
 
Hata kusoma tu na kuelewa unashindwa? Soma tena habari inasema uchumi wa TZ yetu unakuwa kwa 7.2 (2016) ktk 7.0 (2015), sasa hapo kipi kigumu kuelewa? Ni kwamba yametolewa mapendekezo lkn uchumi unakuwa kwa kasi!
Sasa warning au onyo la IMF linasemaje jameniiiii???
 
Uchumi utakuwa kwa kasi kubwa sana, baadae. Hali hii inayoonekana sasa ni kweli, sababu tupo kwenye mabadiliko. Pesa zinatoka kwa wachache kwenda kwa wengi. Yaani, huduma zinapelekwa kwa jamii.

Kuhamia Dodoma ndio kuta push hata mikoani kutakuwa na ungezeko la uchumi. Dodoma ni katikati ya Tanzania na from Dodoma co-ordinations zitawezekana kwenda pande zote hata mpaka Chato na Kilimanjaro, Kenya na Yuganda, Malawi hadi Rwanda na Ulaya, India na Venezuela hadi kwa Trump tutashirikiana nao yaani toka huko Idodomya, Tanzania.

Tusiogope Watanzania, mambo ndio yameanza tu majuzi juzi. MUNGU aliumba Dunia kwa siku saba, hadi sasa matekenolojia yanaendelea kuumbikaga. Sasa na hii Selikali yetu pia itafanyaga uchumi wetu ku progressigi. Tuna gas, tuna madini na makampuni yake, tuna vifaru na wanyama kibao, tuna ardhi tena ya kijani, mvua ndio ameanza kunyeshaga. Mamito ya maji, maziwa hadi Bikitoria, masamake. Utajiri wote huo wajameni.

Angalizo: Tuji control tuwe na population ndogo ndio tunaweza kujimudu. Sasa watu tunaongezeka kwa haraka hapo ndipo tutakosa kujiendesha na uchume utadodora mwana wane. Too muchi is harmufulu.

Angalieni tu musinitukane mie.
Mmezoea propaganda kuwadanganya watanzania.....

Nani kakwambia kuamia Dodoma kutakuza uchumi?.....

Hivi unajua maana ya transition period?..

Au unapiga siasa unajua transition period inacgukua muda gani?.....

Kuna transition period za aina ngapi?....

Je kama tunapitia transition period yetu ni ya muda gani na strategy gani zimewekwa na Serikali nilitegemea uje nazo hapa...

Unakuja na porojo wakati ukijua tatizo sugu la Serikali hii ni kutengeneza zero net profit kwenye uchumi.

Hivi Serikali itapataje kodi wakati makampuni mengi yana operate kwenye zero net profit or loss?....

Mwambie atafute wachumi wamsaidie sio kukalia hizo porojo zenu na propaganda za ki Lumumba.......

Mnaumiza wananchi hasa wa hali ya chini.......
 
You can fool some people sometimes but not all people all the time....time will tell....
 
Sasa warning au onyo la IMF linasemaje jameniiiii???

Elewa kwamba hata kama Uchumi unakuwa kwa 15% bado IMF watatoa ripoti na mapendekezo yao, haijawahi kutokea Duniani IMF wakasifu kila kitu bila ya kutoa mapendekezo, lkn mwisho wa siku uchumi wetu umeongezeka ktk 7.0 mpka 7.2%, hivyo tunakuwa kwa kasi!
 
Hawa Jamaa wamuache Mhe Wetu atengeneze nchi yake kwa jinsi apendavyo... Tunataka uchumi wa watu na si wa Vitu!!! ...ata sijui naandika nini??Grrrr
The International Monetary Fund has warned Tanzania that the country's economic policies threaten its forecast for growth in fiscal year 2016/17 (July-June) of around 7 percent. President John Magufuli promised when he was elected last year to reform an economy hobbled by red tape and corruption and begin a programme to develop public infrastructure. But the IMF said progress has been slow and lack of public spending is curtailing liquidity.

"There are risks that could adversely affect economic growth going forward, arising from the currently tight stance of macroeconomic policies, the slow pace of credit growth that may become protracted, slow implementation of public investment, and private sector uncertainty about the government’s new economic strategies," the IMF said late on Monday in its latest review. Tanzania projects growth of 7.2 percent for 2016, up from 7.0 percent in 2015, led by mining, telecoms, construction and financial services. "Monetary policy should be eased to address the tight liquidity situation and support credit to the private sector," said the IMF. Tanzania's economy grew 6.2 percent in the third quarter of 2016, compared with 6.3 percent in the same quarter of 2015.

Source: IMF warns Tanzania of downside economic growth risks
 
Uchumi utakuwa kwa kasi kubwa sana, baadae. Hali hii inayoonekana sasa ni kweli, sababu tupo kwenye mabadiliko. Pesa zinatoka kwa wachache kwenda kwa wengi. Yaani, huduma zinapelekwa kwa jamii.

Kuhamia Dodoma ndio kuta push hata mikoani kutakuwa na ungezeko la uchumi. Dodoma ni katikati ya Tanzania na from Dodoma co-ordinations zitawezekana kwenda pande zote hata mpaka Chato na Kilimanjaro, Kenya na Yuganda, Malawi hadi Rwanda na Ulaya, India na Venezuela hadi kwa Trump tutashirikiana nao yaani toka huko Idodomya, Tanzania.

Tusiogope Watanzania, mambo ndio yameanza tu majuzi juzi. MUNGU aliumba Dunia kwa siku saba, hadi sasa matekenolojia yanaendelea kuumbikaga. Sasa na hii Selikali yetu pia itafanyaga uchumi wetu ku progressigi. Tuna gas, tuna madini na makampuni yake, tuna vifaru na wanyama kibao, tuna ardhi tena ya kijani, mvua ndio ameanza kunyeshaga. Mamito ya maji, maziwa hadi Bikitoria, masamake. Utajiri wote huo wajameni.

Angalizo: Tuji control tuwe na population ndogo ndio tunaweza kujimudu. Sasa watu tunaongezeka kwa haraka hapo ndipo tutakosa kujiendesha na uchume utadodora mwana wane. Too muchi is harmufulu.

Angalieni tu musinitukane mie.

Uchumi hauendeshwi kwa maneno. Uchumi una njia zake na ukizikiuka lazima uporomoke.
 
Mmezoea propaganda kuwadanganya watanzania.....

Nani kakwambia kuamia Dodoma kutakuza uchumi?.....

Hivi unajua maana ya transition period?..

Au unapiga siasa unajua transition period inacgukua muda gani?.....

Kuna transition period za aina ngapi?....

Je kama tunapitia transition period yetu ni ya muda gani na strategy gani zimewekwa na Serikali nilitegemea uje nazo hapa...

Unakuja na porojo wakati ukijua tatizo sugu la Serikali hii ni kutengeneza zero net profit kwenye uchumi.

Hivi Serikali itapataje kodi wakati makampuni mengi yana operate kwenye zero net profit or loss?....

Mwambie atafute wachumi wamsaidie sio kukalia hizo porojo zenu na propaganda za ki Lumumba.......

Mnaumiza wananchi hasa wa hali ya chini.......

Tuna wakaribisha Dodoma, karibuni ili tuungane kujenga Inshi ya kwetu. Sisi tunawapendaga watu wote. Mipango ya kuja huku ilianzia toka miaka ya nyuma muno. Sasa ndio wakati muhafaka wa kujenga uchumi toka Dodoma.
 
The International Monetary Fund has warned Tanzania that the country's economic policies threaten its forecast for growth in fiscal year 2016/17 (July-June) of around 7 percent. President John Magufuli promised when he was elected last year to reform an economy hobbled by red tape and corruption and begin a programme to develop public infrastructure. But the IMF said progress has been slow and lack of public spending is curtailing liquidity.

"There are risks that could adversely affect economic growth going forward, arising from the currently tight stance of macroeconomic policies, the slow pace of credit growth that may become protracted, slow implementation of public investment, and private sector uncertainty about the government’s new economic strategies," the IMF said late on Monday in its latest review. Tanzania projects growth of 7.2 percent for 2016, up from 7.0 percent in 2015, led by mining, telecoms, construction and financial services. "Monetary policy should be eased to address the tight liquidity situation and support credit to the private sector," said the IMF. Tanzania's economy grew 6.2 percent in the third quarter of 2016, compared with 6.3 percent in the same quarter of 2015.

Source: IMF warns Tanzania of downside economic growth risks
Nafikiri ni vizuri TUTAFAKARI tahadhari walioitoa IMF na tuangalie ni WAPI tumekosea TUJIREKEBISHE!

Katika macroeconomic/ ukuaji wa kiuchumi kwa ujumla ikiwa ni pamoja na riba miongoni mwa mambo mengine ndo MWANZO wa shida hii kubwa iliyoleteleza hata kuathiri MZUNGUKO wa kifedha nchini na hivyo kuathiri NYAJA nyingi kiuchumi kama taifa.

Kusema kweli TIGHT stance on MACROECONOMIC Policies/ Misimamo MIKALI ya SERA za kifedha ndo zitatufanya tuumie.

Hatuwezi kuendelea namna hii na ku weka vichwa vyetu mchangani/ burrying our heads in sands as if nothing happens- Hakuna kina chotokea, Ni makosa makubwa.

The government has to act on this REPORT NOW. And if it not now then it shoudl be RIGHT NOW.
Otherwise we all SINK/ Serikali ni lazima ilivalie njuga jambo hili na kuitendea kazi RIPOTI hii HARAKA na kama si haraka basi iwe HARAKA SANA.

La SIVYO wote TUTAZAMA!!
Tuziangalie UPYA SERA zetu za kifedha kama je zinainua uchumi wetu ama ZINASHUSHA na KUUA uchumi wetu?
 
IMF Executive Board Completes the Fifth Review Under the Policy Support Instrument for Tanzania

January 9, 2017

Most program assessment criteria and indicative targets were met, though implementation of structural measures lagged

Recent economic performance has been strong with high growth, moderate inflation, and a narrowing of the external current account deficit

Authorities should ease the current tight stance of macroeconomic policies and redouble reform efforts to achieve targets in the medium-term development plan

On January 9, 2017, the Executive Board of the International Monetary Fund (IMF) completed the fifth review of Tanzania’s economic performance under the program supported by a three-year Policy Support Instrument (PSI). [1] The Board’s decision was taken on a lapse of time basis. [2]

In completing the review, the Board also granted waivers for the non-observance of the end-June 2016 assessment criteria on the overall fiscal deficit and the non-accumulation of domestic expenditure arrears on the grounds that the slippages were minor. The PSI for Tanzania was approved by the Board on July 16, 2014 (see Press Release No. 14/350).

Tanzania’s macroeconomic performance remains strong. Economic growth was robust during the first half of 2016 and is projected to remain at about 7 percent this fiscal year. Inflation came down below the authorities’ target of 5 percent and is expected to remain close to the target, while the external current account deficit was revised down on account of lower imports of capital goods. Nevertheless, there are risks that could adversely affect economic growth going forward, arising from the currently tight stance of macroeconomic policies, the slow pace of credit growth that may become protracted, slow implementation of public investment, and private sector uncertainty about the government’s new economic strategies.

Program performance was broadly satisfactory and most assessment criteria for June 2016 and all indicative targets for September 2016 were met. While progress in structural reforms identified under the program has been generally slow, the authorities have recently stepped up efforts to advance them. These include measures taken to strengthen public financial and debt management, modernize the monetary policy framework, and improve monitoring of parastatal enterprises. The authorities have committed to further reforms in these areas.

UNA MAANA GANI NA HII HABARI ULIYOLETEA HAPA? FAFANUA TAFADHALI MWANANDUGU​
 
Uchumi hauendeshwi kwa maneno. Uchumi una njia zake na ukizikiuka lazima uporomoke.
Ukitaka jiwe liende mbali sharti urudishe mukono nyuma ndio utupe mbele. Hata kwa manati ni hivyo hivyo.

Kiukweli, hali ya sasa ni ngumu sana. Hatuna pesa, hatuna chakula, pakulala ndio usiseme. Sijui kweli tunaelekea wapi wajameni, mbona na mie nalia sana. Sibitali hakuna pesa ya kupata madawa, sijui nichemushe muti wa muharobaeni?
 
KUNAWATU WANAISHI KAMA MALAIKA NATAKA NIWASHUSHE WAISHI KAMA MASHETANI
 
Hii thread unaweza fika page ya kumi ni vilio tu, na unaweza usikute ushauri unaolenga kuleta suluhu toka kwa MTU yoyote, hivi ndivyo tulivyo!
 
Ukitaka jiwe liende mbali sharti urudishe mukono nyuma ndio utupe mbele. Hata kwa manati ni hivyo hivyo.

Uchumi hauko hivyo. Uwezi kutengeneza hasafa ili uje kuanzisha biashara upya. Ni lazima ushikilie pale mwenzako alipoacha na kuendeleza.
 
Hata kusoma tu na kuelewa unashindwa? Soma tena habari inasema uchumi wa TZ yetu unakuwa kwa 7.2 (2016) ktk 7.0 (2015), sasa hapo kipi kigumu kuelewa? Ni kwamba yametolewa mapendekezo lkn uchumi unakuwa kwa kasi, hivyo ni kweli hakuna mdororo wa Uchumi TZ yetu kwa maana tumekuwa ktk 7.00 mpaka 7.2 kila kitu kimeandikwa humo ni kusoma tu!!
Mbona huyu hatofautian na ww?
Kamnukuu Wazir Mpango, sasa ww sijui unamkosoa au?
 
Back
Top Bottom