IMF warns Tanzania of downside economic growth risks!

IMF warns Tanzania of downside economic growth risks!

Utaifa kwanza ni juzi tu rais wa benki ya dunia alikuwepo hapa na mapesa ya maendeleo kila siku yana miminika hizo ni propaganda zao safari hii kila wakiingia bwana mkubwa amenuna!
 
Wadaia maamuzi ya haraka ya mh. yanatia hofu wawekezaji na huenda ukuaji wa uchumi wa asilimia 7 ukaporomoka.

Hilo ni onyo la IMF.

 
Niliona list ya IMF ya nchi za kiafrica,mwaka jana tulikua nafasi ya pili kwa ukuaji wa kiuchumi ila kwa sasa tuko nafasi ya 5 tukiwa tumeganda palepale kwenye 7.2.
 
Ulidanganywa!!

0414dd4be98ee43669ae954c9024292b.jpg
 
Hata kusoma tu na kuelewa unashindwa? Soma tena habari inasema uchumi wa TZ yetu unakuwa kwa 7.2 (2016) ktk 7.0 (2015), sasa hapo kipi kigumu kuelewa? Ni kwamba yametolewa mapendekezo lkn uchumi unakuwa kwa kasi!
Acha kudanganya uma, uchumi ulikua 7.2 Mwaka 2016 lakini Mwaka 2017 umerudi 7.0 soma tena makala ya IMF
 
The International Monetary Fund has warned Tanzania that the country's economic policies threaten its forecast for growth in fiscal year 2016/17 (July-June) of around 7 percent.

President John Magufuli promised when he was elected last year to reform an economy hobbled by red tape and corruption and begin a programme to develop public infrastructure. But the IMF said progress has been slow and lack of public spending is curtailing liquidity.

"There are risks that could adversely affect economic growth going forward, arising from the currently tight stance of macroeconomic policies, the slow pace of credit growth that may become protracted, slow implementation of public investment, and private sector uncertainty about the government’s new economic strategies," the IMF said late on Monday in its latest review.

Tanzania projects growth of 7.2 percent for 2016, up from 7.0 percent in 2015, led by mining, telecoms, construction and financial services.

"Monetary policy should be eased to address the tight liquidity situation and support credit to the private sector," said the IMF.

Tanzania's economy grew 6.2 percent in the third quarter of 2016, compared with 6.3 percent in the same quarter of 2015.

Source: IMF warns Tanzania of downside economic growth risks
Wengine mbona tulishaona hili kabla ya IMF!
 
The International Monetary Fund has warned Tanzania that the country's economic policies threaten its forecast for growth in fiscal year 2016/17 (July-June) of around 7 percent.

President John Magufuli promised when he was elected last year to reform an economy hobbled by red tape and corruption and begin a programme to develop public infrastructure.

But the IMF said progress has been slow and lack of public spending is curtailing liquidity.

"There are risks that could adversely affect economic growth going forward, arising from the currently tight stance of macroeconomic policies, the slow pace of credit growth that may become protracted, slow implementation of public investment, and private sector uncertainty about the government's new economic strategies," the IMF said late on Monday in its latest review.

Tanzania projects growth of 7.2 percent for 2016, up from 7.0 percent in 2015, led by mining, telecoms, construction and financial services.

"Monetary policy should be eased to address the tight liquidity situation and support credit to the private sector," said the IMF.
Tanzania's economy grew 6.2 percent in the third quarter of 2016, compared with 6.3 percent in the same quarter of 2015.

(Reporting by Fumbuka Ng'wanakilala.
 
Ulianza vizuri ukaharibu kwa kuingiza utani. Ukuaji wa asilimia 7 ni mzuri na ni wa juu kuliko wa majirani zetu tulio na mazingira yanayolingana. Rais JPM u are on the right track. Tunaumia lkn naamini tutatoboa.
 
Sawa ngoja tusubiri mpaka ufike mwezi Juni na Julai maana sisi ndo tunaishi Tanzania wao wako huko!!
 
The majority plead Exploited,
Cheated,
Disregarded,
But, brother,
How is development to come?
 
Haya mambo si yakupuuza, mwerevu husoma between lines na kutafakari, IFM siyo chama cha siasa na wala si shirika lenye itikadi. Huu ni ushauri wa kiuchumi kutoka kwenye taasisi iliyosheheni wabobezi wa uchumi.
 
Back
Top Bottom