Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,142
- 162,536
Kutokana na uchaguzi usiokidhi vigezo vya kimataifa plus mauji ya raia wengi wasio na hatia waliojitokeza kupinga huu uchaguzi wa tarehe 29 October 2025, IMF, Benki ya Dunia na nchi wahisani, wataendelea kutoa mikopo na misaada kwa hiii serikali?
Tukumbuke hata ripoti za waangalizi karibu zote zimepinga huu uchaguzi huku zikieleza mapungufu kadhaa, mapungufu ambayo hata clip zilizochukuliwa kwenye baadhi ya vituo vya kura, zinathibisha madudu yaliyofanyika kwenye vituo vya kupiga kura.
Binafsi, naona tujiandae kwa mbinyo wa kimataifa na kama ni kukopa, basi labda tutakopa China.
Time will tell.