Imevuja: Jokate anaishi na Hasheem Thabeet

yule demu ni mwepesi sana just like to push a drunkerd from a steep slope whose gradient is at infinity

yuko siti no. G3 katika basi langu........
 
yule demu ni mwepesi sana just like to push a drunkerd from a steep slope whose gradient is at infinity

yuko siti no. G3 katika basi langu........

mmh, isijekuwa ni zile story za sizitaki mbichi hizi...
 
mmh, isijekuwa ni zile story za sizitaki mbichi hizi...
sii hivyo, anachokiseama jamaa chaweza kuwa kweli kabisa si kama unavyosema kuwa hazitaki mbichi hizo,ninachomuasa hashimu ni kuwa demu wa kweli ni yule aliyekuwa akimpenda wakati yuko makongo so kwa hawa mademu wa kibongo watakaojipendekeza sasa ni kwa kuwa wewe ni another level kuwa mwangalifu afadhali ukaowe huko huko hawa wanataka njia ya kwenda kufanya mambo yao kupitia wewe na ilivyo mamiss wengi siyo wanawake wa kuowa micharuko mitupu tafuta mwanamke from no where watakuliza naomba mwenyekuweza ammpelekee salamu hizi hashimu namuhurumia na kama kweli kesha mbeba analo hilo.
 
Kama wamependana ALL THE BEST.
Alafu upande mwingine why ndoa za mastaa huwa hazidumu?
 
kuna rafiki yangu ANAMKANDAMIZA huyo jokate.
na jokate amekuwa msumbufu sana kwa huyo jamaa na hawaachani, jamaa kaoa ila dem hata akiwa na bf wake huwa anajiiba na kwenda kuchezea kichapo na jamaa kwenye majiji maarufu.
namhurumia Hasheem endapo hatogundua hilo na kama asipolifanyia kazi walah ngoma itakuwa ngumu kweli kweli. wataishia kugawana mali za hashimu nusu kwa nusu
 
Mtoto mzuri sana yule


jokatebc.jpg




jokate11.jpg
 
Kumchagua dr slaa kuwa rais ndio mpango mzima kwa sasa, maisha ya mtu na mtu wake sio ishu, kama kuna umama huruma na upenda noti si hatujui, tugange ya tarehe 31 kuchagua chadema nasi tupate mkwanja wa kumega mademu wapenda mkwaja na kula bata la kufa mtu maana sisiemu ndio wametufikisha hapa pa mtu akiwa na vogue tunamuona mungu mtu tunampa mapaka utu wetu.pipoooooooooooooooooooos pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Aaaah, pls am busy with Election. Its time for change a New hope we can believe. Vote for Dr Slaa (PhD). Haya mengine baada ya uchaguzi jamani.
 
Kama una mafanikio yako ughaibuni,wale dizaini 'mademu zimikia aka macho juu' wa kibongo wanaojali 'jina' na fweza,wanaokutolea macho ya mahaba ghafla na kujipendekeza ukidondoka zako bongo ni wa kugonga na kuacha tu.Kumtafutia safari aje uishi naye kiwanja ni kujitafutia matatizo na utakuja kujuta.Nakubaliana na wazo la wabongo wenye mafanikio kiwanja kuoa wabongo wenzao ili mgawo mkubwa urudi bongo,lakini ni mara 100 utafute mbongo mwenzio hukohuko kiwanja mwenye uzoefu tayari na maisha ya nje kuliko kumvuta demu kutoka bongo.
nway ni mawazo yangu tu
 
Back
Top Bottom