Tetesi: Imevuja Freeman Mbowe kuhamia CHAUMMA mwezi August

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,122
Reaction score
9,593
Tetesi hizi zilikuwepo toka kipindi cha nyuma, Sasa ni dhahiri Freeman Mbowe atahamia CHAUMMA mwezi August.

CCM walikuwa wanaumiza sana kichwa kumpata mgombea mwenye ushawishi atakaegombea na Samia, Ili kuizuga jamii ya kimataifa kuwa Kuna uchaguzi wa ushindani mwaka huu.

Mbowe amefikia makubaliano na CCM kama ifuatavyo.

1. Atajiunga na CHAUMA na ndo atakuwa mgombea urais.

2. Atapewa Hela ya kampeini ya kuzunguka na helicopter, pamoja na wasanii Ili kuvuta nyomi la watu, Ili jamii ya kimataifa ijue Kuna ushindani

3. Atapewa majimbo 10 ya ubunge na 25 ya viti maalumu.

4. Katika hayo majimbo kumi baadhi watakuwa Wana CCM ambao watakatwa, na kuhama chama Kama zuga lakini watashinda ubunge kupitia CHAUMA.

5. Mbowe atateuliwa kuwa mbunge na Samia, na kuwa KUB, kiongozi wa upinzani bungeni.

6. Mahakama iwafungie viongozi wote wa Chadema, mpaka ngazi ya kata Ili Wasimpige spana Mbowe, kupitia press conference.

Maoni Yangu.

Mbowe Hana ushawishi Tena, alishindwa vibaya sana na Mkunja Ngumi Tundu Lissu.

Mbowe kuwa kwenye ballot haitawafanya watu waende -kupiga kura.

CCM mnajidanganya saaaana, huwezi kutafuta legitimacy ya uchaguzi kupitia CHAUMA.
 
Jukwaa la uzushi ni Muhimu sana
 
Igizo like like la toka enzi, isipokuwa wanabadirisha WAHUSIKA.
 
Kwisha chadema
 
Itapendeza sana.Akaongeze nguvu.Chaumma kinakuwa kwa kasi ya ajabu
 
Unaposema Imevuja, kwani aliwahi kusema hatahama.
Kila Mtu ana Haki ya kwenda atakako.
 
Mwamba anaona aibu, lakini kwa kuwa pesa alishazitafuna hana ujanja, alipaswa awe amefanya hivyo tangu mwanzoni mwa June lakini akasita baada ya upepo wa Chauma kuyeyuka kwa 99%. Sasa ameambiwa kati ya 23/July mpaka 4/August awe amefanya hivyo, la sivyo arudishe fedha za watu. Kwa sasa anatengeneza upepo, ukivuma anajitosa.
 
Tetesi hizi zilikuwepo toka kipindi cha nyuma, Sasa ni dhahiri Freeman Mbowe atahamia CHAUMMA mwezi August.

CCM walikuwa wanaumiza sana kichwa kumpata mgombea mwenye ushawishi atakaegombea na Samia, Ili kuizuga jamii ya kimataifa kuwa Kuna uchaguzi wa ushindani mwaka huu.

Mbowe amefikia makubaliano na CCM kama ifuatavyo.

1. Atajiunga na CHAUMA na ndo atakuwa mgombea urais.

2. Atapewa Hela ya kampeini ya kuzunguka na helicopter, pamoja na wasanii Ili kuvuta nyomi la watu, Ili jamii ya kimataifa ijue Kuna ushindani

3. Atapewa majimbo 10 ya ubunge na 25 ya viti maalumu.

4. Katika hayo majimbo kumi baadhi watakuwa Wana CCM ambao watakatwa, na kuhama chama Kama zuga lakini watashinda ubunge kupitia CHAUMA.

5. Mbowe atateuliwa kuwa mbunge na Samia, na kuwa KUB, kiongozi wa upinzani bungeni.

6. Mahakama iwafungie viongozi wote wa Chadema, mpaka ngazi ya kata Ili Wasimpige spana Mbowe, kupitia press conference.

Maoni Yangu.

Mbowe Hana ushawishi Tena, alishindwa vibaya sana na Mkunja Ngumi Tundu Lissu.

Mbowe kuwa kwenye ballot haitawafanya watu waende -kupiga kura.

CCM mnajidanganya saaaana, huwezi kutafuta legitimacy ya uchaguzi kupitia CHAUMA.
Tukisema chadema imekufa mnakomaa eti haijafa. Sasa chaumma inawatisha nini nyie chadema wakati mnenda kuzuia uchaguzi?
 
Tetesi hizi zilikuwepo toka kipindi cha nyuma, Sasa ni dhahiri Freeman Mbowe atahamia CHAUMMA mwezi August.

CCM walikuwa wanaumiza sana kichwa kumpata mgombea mwenye ushawishi atakaegombea na Samia, Ili kuizuga jamii ya kimataifa kuwa Kuna uchaguzi wa ushindani mwaka huu.

Mbowe amefikia makubaliano na CCM kama ifuatavyo.

1. Atajiunga na CHAUMA na ndo atakuwa mgombea urais.

2. Atapewa Hela ya kampeini ya kuzunguka na helicopter, pamoja na wasanii Ili kuvuta nyomi la watu, Ili jamii ya kimataifa ijue Kuna ushindani

3. Atapewa majimbo 10 ya ubunge na 25 ya viti maalumu.

4. Katika hayo majimbo kumi baadhi watakuwa Wana CCM ambao watakatwa, na kuhama chama Kama zuga lakini watashinda ubunge kupitia CHAUMA.

5. Mbowe atateuliwa kuwa mbunge na Samia, na kuwa KUB, kiongozi wa upinzani bungeni.

6. Mahakama iwafungie viongozi wote wa Chadema, mpaka ngazi ya kata Ili Wasimpige spana Mbowe, kupitia press conference.

Maoni Yangu.

Mbowe Hana ushawishi Tena, alishindwa vibaya sana na Mkunja Ngumi Tundu Lissu.

Mbowe kuwa kwenye ballot haitawafanya watu waende -kupiga kura.

CCM mnajidanganya saaaana, huwezi kutafuta legitimacy ya uchaguzi kupitia CHAUMA.
Hahahaa. ......yaani mpaka nacheka
 
Back
Top Bottom