Imetokea loliondo

Imetokea loliondo

Toa ushauri hao wagonjwa wakatibiwe wapi?maana hospital imeshindikana sindano ya insulin asubuhi na jioni maisha yote si mateso hayo?

Nimekueleza maiti zimezagaa Loliondo, watu wanakufa wakiacha insulin wanakimbilia kwa babu. Akili mkichwa.
 
Viongozi wengi wa serikali wameenda huko na serikali ipo. Kwa nini tamko rasmi la serikali lisitolewe hata kwa jambo kama hili?? Nchi Hii inakwenda wapi?
Hata swala la babu linahitaji kikao cha baraza la mawaziri (ambalo mwenyekiti wake ni rais)?

Watu wanakufa with no dignity, porini, serikali kimya...tuna viongozi hapa kweli?
 
unajua mlevi hata ukimuonesha sura katika bible inayokataza pome hawezi elewa, au teja umpe maneno ya kusaidia asitumie midawa ya kulevya hatokuelewa, sasa ndio wewe. Ivi unadhani mungu siangemwambia pia kuwa watu watakuwa wengi kwahiyo mazingira yalekebishwe?

mungu wa babu is so disorganized, hakujua kuwa watu watakuwa wengi ili ampe strategies za kudeal nao. Babu's god is fast asleep now, he is probably busy with other issues...hahaha
 
Inabid watu wapunguze kwanza kwenda kwa babu mpaka hapo miundombinu itakapokua safi.vingnevyo!
 
Nchi yetu nilishasema haina viongozi wenye dignity na wanaojali maisha ya watu wake! wenyewe ndo wa kwanza kwenda kwa babu! Usipojiongoza na kufanya maamuzi kwa makuni mwenyewe usifikiri kuna serikali ya watu hapo. Utajiju
 
Taarifa ya saa mbili usiku TBC 1 wameonesha picha za watu wakiwa wamekufa kwa babu Loliondo.

This is very serious, tuamke tuachane na imani potofu, nna amini Mungu ameanza kudhihirisha kuwa he is not involved in that business because otherwise angewaponya hata kabla hawajafika kwa babu.

Nashauri serikali iingilie kati because soon wananchi wataigeukia na kuilaumu na hata kuanzisha maandamano kwa kutowajali wananchi wake ambao wanakufa hovyo porini.

mbona muhimbili kwenye madokta mochuary inajaa kila siku au nako unatoa ushauri gani?
 
Shida iliyopo hawa wote wanachukuliwa kama Waganga wa Jadi na so far hakuna sheria yoyote inayowabana. As long as hawawalazimishi watu kwenda huko bali wanaenda wenyewe, Serikali ni vigumu kufanya kitu.

Wapo pia wanaodai wanaponya magonjwa kiimani kama Vipofu, Viziwi nk na makanisa yao yamejaa tu watu wakiamini hivyo. lakini hadi leo hakuna aliyewauliza ushahidi wa kisayansi au Serikali kuingilia kati.


nisaidieni kuelewa tofauti kati ya WAGANGA WA JADI, WAGANGA WA KIENYEJI NA FAITH HEALERS

Babu siyo mganga wa jadi ....
 
Nafikiri ukiongeza sample itakua vizuri zaidi. mimi namjua mtu alikua na HIV na alikua anavalishwa nepi na kuanikwa nje, baada ya kikombe tupo naye B. Bar Daily

Kapima serostatus?
Ya kabla ilikuwa inajulikana?
Adrenaline does wonders.
 
2. Saratani - 100% ACTIVE
4. Ukimwi - 99% ACTIVE[/B][/COLOR][/SIZE]

Kuna mitishamba mingi yenye Antiviral (vvu) na anti-saratani activity, lakini baadaye virusi na saratani huibuka tena baada ya muda, kuprove kuwa kikombe cha babu kina clear VVU na Saratani si tafiti ya wiki moja au mwezi, na kuna uwezekano hicho kikombe cha babu kina-interfere HIV tests. kupima angaza na kuambiwa ni VVU negative si ushahidi wa kushangilia, wale wanaopata ARV waendelee na dawa mpaka kieleweke.
 
Inaelezwa kuwa wastani wa watu 7 wanakufa daily ktk harakati za kutafuta kikombe. Maiti zimetapakaa! Alaumiwe nani? Source TBC
 
nisaidieni kuelewa tofauti kati ya WAGANGA WA JADI, WAGANGA WA KIENYEJI NA FAITH HEALERS

Babu siyo mganga wa jadi ....

Kwa sheria ile ya mwaka 2002 (kama nakumbuka vema - I stand to be corrected), huyu atakuwa ana fall kwenye category ya 'mganga wa jadi' (Traditional Health Practitoner). Kwa sheria ile kuna makundi mawili, hilo la tiba za jadi na lile la tiba mbadala (Alternative Health Practitioner) ambalo kimsingi ni taaluma ya kwenda darasani kabisa.
 
mbona muhimbili kwenye madokta mochuary inajaa kila siku au nako unatoa ushauri gani?

Fair enough, wanakufa porini na wanaachwa (TBC 1 news). Mortuary watu wanahifadhiwa na ndio standard all over the world...but what is happening in Loliondo is just not acceptable. Kwanza hao wanaokufa wanaweza kuanza kuozea porini na mvua zinazonyesha zikaleta health issues.

Again hatujui wanakufa na magonjwa waliyokuja nayo au wamecontract huko huko. This is not a small thing watz wenzangu, something needs to happen to sort this mess out.
 
Maggid, anasema ukweli. kanisa la kkkt linajua nini maana ya mtu kudai ameoteshwa na mungu.kitheolojia, ina maana gani mtu anaposema amemuona mungu? nimewahi kuanzisha mada hapa ambayo ilishambuliwa pia kuwa jambo hili litaaibisha kkkt.tusubiri tuone. kuna interrogation yoyote imefanyika kuhakiki madai ya babu kuonana na mungu? hakuna. hivyo jambo analodai halina misingi yoyota ya kibiblia, kitheologia, wala kiimani.ni lazima kuchunguza izo roho, maana si zote hutoka kwa mungu.na kuna objective criteria kujudge kama madai ya mtu kuwasiliana na divine beings ni sahihi. hakuna hata mija ambalo limefanywa kwa babu wa loliondo. kuna watakaosema mara moja, hakuna vitu hivyo kupima jielimisheni kwanza kisha mpinge.kuna elimu ya biblia, na hata masuala ya imani zipo elimu zinazoyahusu na mamlaka za kaya regulate. hongera maggid kuwa kati ya watanzania wachache wanaojiuliza kabla ya kutembea gizani
Musa alipozungumza na mwenyezi Mungu na kupewa maagizo ya kuwakabili wana Israeli kuna mtu alimhoji(interrogation)kuhusu vipi alivyozungumza na mwenyezi Mungu? Haya ni mambo ya imani na hayawezi kuhakikiwa kama unavyotarajia. Kama kasisi ni mwongo basi hukumu yake iko mbele ya mwenyezi Mungu lakini sisi binadamu ni nani kuhukumu? Madai ya kasisi Mwakipesile yana misingi kamili katika biblia isipokuwa kama wewe hujaisoma na kuielewa.
 
kwa nini watu wanataka tusikilize wanachoamini? can for once close this subject for better discussions, be carefule the likes za wakina Maggid ni destructive akishaone mme focus kwenye issue analeta hizi ku destruct our attention. Tumuache mwandishi uchwala ambaye badala y akufuatilia kutuhabarisha waliopata dawa walikua na tatizo gani na baada ya hapo imekuaje ikiwemo kufuatilia vipimo vya wenye ukimwi na kuona kana kumekua na kubadilika kwa sero status zao na yeye anapiga domo kama sisis wa mtaani wa habari ya eti eti
 
Back
Top Bottom