Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,596
- 5,584
..siku ya wajinga duniani!! 9wala hakuna anaejiuliza kwanni imepangwa tarehe hiyo NI BAHATI MBAYA?!!!!pj kwanini kuwa muongo leo siku ya bwana , vyombo vyote vya usafiri vimezuiliwa mpk april mosi
Mkuu ,Mtu ni utu ...
Justfy hii habari!
Miss Judy...............
Anyway, am confused.............imani ni kitu kigumu sana.....Nifundishe kuhusu imani Miss Judy tafazali.
aliyetangaza ni babu mwenyewe na ameomba serikali iboreshe miundo mbinu na wasimamie wawe wanafika watu 2000 tu kwa siku kijijini samungeTaarifa rasmi kutoka Ikulu na sekta husika leo kuanzia saa moja asubuhi ya tarehe 27/03/2011 imesitisha watu wote kwenda Loliondo kwa Mchungaji mstaafu ndugu Ambilikile Mwasapile kwenda kupata tiba hadi hapo tarehe 2/04/2011 kutokana na miundombinu kuwa mibovu hadi kupelekea wananchi kushindwa kufika eneo husika na wananchi wengine kukwama na hadi kuishia kukaa porini kutokana na miondombinu ya kufika kwa mchungaji huyo kuwa ni kitendawili kutokana na mvua za masika zinazoanza kunyesha katika kanda ya kaskazini. Serikali imefikia uamuzi huo baada ya kupata malalamiko na isitoshe baadhi ya watu kushindwa kufika au kurejea kutoka kule Samunge Loliondo kutokana na hali hiyo, serikali imetamka kua haitaweza kustahimili kuona wananchi wanakwama katikati ya pori nene kutokana na kukwama japokua wananchi wanahitaji huduma hiyo ya mchungaji Mwasapile. Kwahiyo serikali imewaomba wananchi kua na subira hadi hapo tamko rasmi litakapotolewa hiyo tarehe 2 ya mwezi wa nne. Lakini serikali pia imesema kua wale walioko kule Loliondo wabakie wakisubiri huduma lakini hakuna magari au Helikopta kwenda huko.
Sample size, methodology iliyotumika na imefanyiwa utafiti lini? Inatakiwa matokeo ya dawa hiyo yawe published kwenye recognised journal ili yakubalike.
Du!
Je ndani ya siku hizi kama 6 tu serikali watafanya kitu gani, hasa kwa upande wa mazingira, ambayo kwa kiasi kikubwa yamedeteriorate huko Samunge?
Au ni show tu kuonyesha kuwa wapo?
aaaah wapi!mmnh,mi nilidhani ndo utekelezaji wa yale aliyozungumza yule waziri wa kenya!
Taarifa rasmi kutoka Ikulu na sekta husika leo kuanzia saa moja asubuhi ya tarehe 27/03/2011 imesitisha watu wote kwenda Loliondo kwa Mchungaji mstaafu ndugu Ambilikile Mwasapile kwenda kupata tiba hadi hapo tarehe 2/04/2011 kutokana na miundombinu kuwa mibovu hadi kupelekea wananchi kushindwa kufika eneo husika na wananchi wengine kukwama na hadi kuishia kukaa porini kutokana na miondombinu ya kufika kwa mchungaji huyo kuwa ni kitendawili kutokana na mvua za masika zinazoanza kunyesha katika kanda ya kaskazini. Serikali imefikia uamuzi huo baada ya kupata malalamiko na isitoshe baadhi ya watu kushindwa kufika au kurejea kutoka kule Samunge Loliondo kutokana na hali hiyo, serikali imetamka kua haitaweza kustahimili kuona wananchi wanakwama katikati ya pori nene kutokana na kukwama japokua wananchi wanahitaji huduma hiyo ya mchungaji Mwasapile. Kwahiyo serikali imewaomba wananchi kua na subira hadi hapo tamko rasmi litakapotolewa hiyo tarehe 2 ya mwezi wa nne. Lakini serikali pia imesema kua wale walioko kule Loliondo wabakie wakisubiri huduma lakini hakuna magari au Helikopta kwenda huko.