[FONT="]Mganga Mkuu wa Mkoa wa Hospitali ya Mount Meru alisema, kuwa tangu tiba ya ' Babu' ianze, hajapata hata mgonjwa mmoja wa UKIMWI aliyepata kikombe cha ' Babu' na kurudi hospitalini hapo kupimwa tena. Hivyo, mpaka hii leo hatuna ushuhuda wa kimaabara kwa maana ya hospitalini. Ushuhuda tunaousikia ni wa mitaani. Ndio maana tiba ya ' Babu' itabaki kuwa ' Abrakadabra' mpaka hapo itakapothibitishwa vinginevyo
Je viongozi wetu wajuu wamekwenda wawe mfano wasema wazi kama wamepona.
Au hapa ni mtu kuonekana mbaya ukisema haiponyeshi.
Mzee na nchiii hiii toa ushuuda.