Hee, hujaisoma vizuri hiyo post? Unataka wafunge mpaka halafu watoto wetu wakose Blue Band kwa mkate na KIWI(Made in Kenya) ya kung'arisha viatu vyetu angalau mara moja kwa mwezi!
Mkuu, una hisa au kamisheni gani Kenya?
Mwanzo thread yako nilitaka kuielewa. Huku mbele ulipoanza kuchanganya ma international relations ,international marketing(ambayo nayo haujaielewa vizuri),national security sijui Obama mkenya ndio haujaeleweka na umeharibu kabisa. Wewe na huyo waziri wa Kenya mkapate kikombe ili akili zitulie. Mbona wakenya ndio wamejaa pale Loliondo. Tuwaache ili tupate 'balance of trade' na hizo panadol zao unazosema wanatuuzia.
Umeiona hiyo clip ya waziri youtube?
Confirmed. Mediaman is crazy!!!
Mwanzo thread yako nilitaka kuielewa. Huku mbele ulipoanza kuchanganya ma international relations ,international marketing(ambayo nayo haujaielewa vizuri),national security sijui Obama mkenya ndio haujaeleweka na umeharibu kabisa. Wewe na huyo waziri wa Kenya mkapate kikombe ili akili zitulie. Mbona wakenya ndio wamejaa pale Loliondo. Tuwaache ili tupate 'balance of trade' na hizo panadol zao unazosema wanatuuzia.
hii list imebandikwa wapi?umesahau B.P
Clap clap mutambukamalogo yaani mediaman anaboa maana kila wakati yeye anatafuta jinsi ya kumkashifu babu. naona anatafuta umaarufu kupitia mgongo wa Babu. Tumekushutukia mara unafanya kazi mt. meru mara uko kanisani tukueleweje
Waziri wa Afya ya Jamii wa Kenya Bi. Beth Mugo amesema, Mchungaji Mwasapile "anajifanya ndiye Yesu kabisa" il hali yeye "ni muganga" anastahili kukamatwa na kufungwa kwa kuwa anauhadaa umma.
Mkuu naomba nipingane na wewe! Toka binadamu wa kwanza kuletwa duniani(Adamu) Mungu ni yule yule! Tofauti za kiimani zilizopo sasa ulimwenguni zimetokana na wale wapokeaji wa ujumbe wa Mungu! Wapo walioamua kuchakachua ujumbe huo wa Mungu kwa personal interests, otherwise tungekua wote katika itikadi na imani moja.
Vilevile wapo wakristo ambao wanampinga Babu! Mmojawapo alisikika akisema toka asikie habari za Babu hakuwahi kumsikia Babu akitaja neno YESU. Babu huwa anamtaja Mungu! Hii imemfanya mama huyu mlokole awe na mashaka na amesema katu hatuthubutu kwenda Liliondo!
Kwa waislamu kuna maajabu mengi yameshaelezwa kuja kutokea wakati ambao inaaminika ni siku za mwisho kabisa wa Dunia. Case ya Babu wa Liliondo inashabihiana kwa karibu na baadhi ya cases zilizotabiriwa. Kwa muumin mzuri wa kiislamu, hii ni miongoni mwa mitihani ya Dunia, subra na kuzidisha ibada ndio njia pekee itakayokuvusha salama katika Dunia hii.
Si ajabu hata YESU alibatizwa na YOHANA MBATIZAJI ingawaje hakuhitaji huo ubatizo