Imetokea loliondo

Imetokea loliondo

..Natambua kwamba wasomaji wengi wamekuwa wakitoa maneno ya kejeli, matusi dhidi ya wale wote wanaojaribu kuonyesha kuwa Babu wa Loliondo hana uwezo wa kutibu maradhi sugu. zimeandikwa thread zikinakili mafunisho ya vitabu vya dini nk lakini bado suala hili limekuwa lenye mabishano makali.

Mimi natakata tujiulize/tutafakari kwanini taarifa kama hizi hatuzisikii sana kwenye vyombo vya habari na mijadala inayoendelea?
  1. Kwamba halmashauri ya wilaya ya ngorongoro imekuwa ikikusanya zaidi ya Sh. Milioni mia moja kila mwezi kama ushuru wa magari, pikipiki zinazoingia kijijini Samunge
  2. Kwamba zinapokelewa maiti kati ya 10 hadi 15 kwa wiki zinapokelewa katika vituo vya afya jirani na kijiji cha Samunge (Wasso, digodigo)
  3. Kwamba hali ya usafi ni ya kusikitisha kukiwa hakuna hata choo kimoja kilichojengwa na halmashauri AU BABU MWENYEWE, licha ya mamilioni yanayokusanywa kila siku
  4. Kwamba hospitali mbalimbali za mkoa wa Arusha zimekuwa zikipokea wgonjwa mahututi amabao waliacha matubabu yao na kueleza kuwa wamekunywa kikombe na wamepona
  5. Kwamba safari moja ya kwenda kijijini humuingizia mmiliki wa gari shs 850,000 hadi 1,000,000 kwa safari ya kwenda na kurudi
.......Kwasasa tujadili na kutafakari hayo machache nitarudi tena.

Loliondo ni mradi wa watu wewe. Utasababisha JF ifungwe.
 
Mh itakuwa balaa kama mnyororo wa magari sasa ni 20km na babu kaanza since August!! Eh Mwenyezi Mungu aepushe balaa hilo.
Katavi wacha kuwaza negatively bana!!!!!!:teeth:
 
Hi all.
I have done some quick study to ascertain myself if kikombe cha babu works or
not. Kinemo and Mercy sent us some literature to go through and by doing that,
it came to my understanding that this plant contains for ingredients namely
carissol, lupeol, amyrin and oleuropein.........................

This fit more more in Afya than in Technology
 
6. Kwamba Mh. Lukuvi alipanda ndege binafsi na kutua Loliondo 'kugonga kikombe' kipindi kifupi tu baada ya kuwa ameipindua Amri ya Waziri wa Afya ya kumzuia babu kutoa dawa
 
Babu is there to prove his critics wrong . This is a miracle from God, which was reveled to the old man who knows nothing about carissol, lupeol, amyrin and oleuropein.

Nashauri babu aendelee kutoa dawa , nanyi wanasayansi mmsauport maana mkitengenza ninyi haitafaa . mtachakachua. Lazima mjiuluze kwa nini Mungu hakuwafunulia MGT wote ulimwenguni akamfungulia mzee mchungaji mstaafu ambaye hadi kumfikia lazima uwe umetubu dhambi zako zote?
 
kosa lako labda kwa sababu huumwi laiti ungekuawa unaumwa ungeamini tu, au umvivu wakufanya utafiti..........usiwe mtu wakusikiliza sanaaaahebu jitose mwenye ukaone THE LOLIONDO WONDER......Matibabu yapo kiimani zaidi
====Kwataarifa yako ule mti anaotumia babu kama dawa ni moja ya miti yenye sumu kali sana duniani...according to german doctors Reseach...ile dawa ya babu ilipopelekwa maabara iligundulika it takes five to ten ten min mtu kuaga dunia pindi anywapo...sasa jiulize kwa nn wanasavaive
 
Mjengwablog imeelezea kuwa NTV ilioji madaktar wa arusha na wakasema wagonjwa wamerud hoi ospitalini.
Lakin hukutaja kuwa kuna madaktari wengine waliojiwa wakasema wao wamepona..
Mi kuna mama ambae namfam alikua na serious matatizo amepona..
Na kuna wengine nawajua hawajapona. Hivyo hapo ni kujijengea imani tu.. Na sio kama mjengwa kuelezea kwa kuihusisha serikali
 
Uponyaji wa imani (placebo effect) una mipaka yake. You can cure a head cold by that, but try that on something like HIV and it becomes a cruel joke.

Huyu babu anashikia watu akili kwa sababu ya desperation tu, ndiyo maana unasikia sasa watu wenye ngwengwe wameacha dawa za hospitali kwa kumsikiliza babu, wakafikiri wamepona, na sasa ngwengwe inawarudia tena.

Atoe mtu anayeenda pale na HIV, apimwe, ampe dawa, halafu watu wapime HIV na levels za CD4 kwa miezi miwili baada ya dawa. Mbona tutajua mambo kwa uhakika tu?
 
Kwamba pamoja na ushuru wa magari unaotozwa na halmashauri mpaka sasa hakuna vyoo vyoo vilivyojengwa.
 
Mjengwablog imeelezea kuwa NTV ilioji madaktar wa arusha na wakasema wagonjwa wamerud hoi ospitalini.
Lakin hukutaja kuwa kuna madaktari wengine waliojiwa wakasema wao wamepona..
Mi kuna mama ambae namfam alikua na serious matatizo amepona..
Na kuna wengine nawajua hawajapona. Hivyo hapo ni kujijengea imani tu.. Na sio kama mjengwa kuelezea kwa kuihusisha serikali
Hebu jiulize, Wewe na Mjengwa ni nani yupo sahihi?
Wewe umeshuhudia mtu kwa macho na kutuambia kuwa amepona au Mjengwa aliyepata uthibitisho wa madaktari kuwa wapo wagonjwa ambao walikuwa Loliondo na hawajapona?
 
kwani huko hospitali wagonjwa wa ukimwi kisukari bp kansa wanapona?kimfaacho mtu ni dawa
 
There is nothing to discuss. Ukitaka watu wajadili hii mada basi itabidi uweke data za kueleweka. Kwa mfano ainisha kiasi ambacho halmashauri ya wilaya ya Ngorongoro imekuwa ikipata kila mwezi na source yake, taja majina ya ya vituo vya afya na idadi kamili ya maiti waliopokelewa na source ya takwimu zako. Ukiweza kufanya hivyo then watu wataweza kuchangia vizuri tu ila kwa ulivyoiweka haina tofauti na "udaku"
 
Babu is there to prove his critics wrong . This is a miracle from God, which was reveled to the old man who knows nothing about carissol, lupeol, amyrin and oleuropein.

Nashauri babu aendelee kutoa dawa , nanyi wanasayansi mmsauport maana mkitengenza ninyi haitafaa . mtachakachua. Lazima mjiuluze kwa nini Mungu hakuwafunulia MGT wote ulimwenguni akamfungulia mzee mchungaji mstaafu ambaye hadi kumfikia lazima uwe umetubu dhambi zako zote?

ila kwa mtazamo mwingine nadhani babu alisema ya kwamba ameoteshwa ili tu kushikilia copyright
 
Babu is there to prove his critics wrong . This is a miracle from God, which was reveled to the old man who knows nothing about carissol, lupeol, amyrin and oleuropein.

Nashauri babu aendelee kutoa dawa , nanyi wanasayansi mmsauport maana mkitengenza ninyi haitafaa . mtachakachua. Lazima mjiuluze kwa nini Mungu hakuwafunulia MGT wote ulimwenguni akamfungulia mzee mchungaji mstaafu ambaye hadi kumfikia lazima uwe umetubu dhambi zako zote?

Hi!!

This scientist didnt try to prove the Rev to be wrong ...

..just come to the same conclusion as with Babu through a diffrent path way!!

The substance this scientist come up with are diffinetly ..miracles of G O D!!

Babu ..go go go..!!

and scientist on you r own way ..dont sleep till when you r totaly satisfied!!
 
Back
Top Bottom