Imetimia wiki sijapiga punyeto

Imetimia wiki sijapiga punyeto

Wakuu,

Natambua kabisa uwepo wa madhara makubwa sana ya kufanya punyeto, ila kiuhalisia, kama ulishawahi kuwa mhanga wa punyeto, hali halisi unaijua, punyeto ni tamu sana zaidi ya papuch..

Punyeto inanoga sana wakuu,

Ila nikushauri kama hujawahi jaribu usijaribu kufanya.. Na kama unafanya, basi acha haraka maana madhara yake ni makubwa zaid ya faida zake
 
Ni kweli na kama umezoea hii kitu ukikutana na demu hufeel venye huwa unafeel ukifika climax
 
Back
Top Bottom