Mkuu tafuta demuMkuu ukifanikiwa naomba unipe tips za kuacha na mm, maana siwezi toboa week bila kupiga, na nikifikisha week ndoto nyevu zitanisumbua sana.
haifiki wiki lazima ugonge la sivyoNataka kukusanya nguvu
Ni kama mzaha ila baada ya miaka zaidi ya kumi jana nimetimiza wiki moja bila ya kupiga punyeto ila ni kwa sababu nimeamua kwa dhati kabisa ili nipate heshima katika mapenzi
Na kusema kweli kuacha ni kama mvutaji wa sigara maana mara nyingi unasema mwisho leo lakini unaendelea japo hupendi
Niwaambie wenzangu wanaendelea mpaka sasa wafanye maamuzi ya dhati ya kuacha
Nikitimiza mwezi mmoja nitaleta mrejesho kama nimeweza au bado nataka mpaka mwezi mmoja upite bila ya kugegeda wala kupiga punyeto
Maswali yangu je nguvu zangu za kiume zitarudi
I still can't figure it how Dar es salaam Stock Exchange (DSE) has anything to do with this

Sio Mademu tu, hata akijiweka busy na kazi, michezo atakosa muda wa kufanya hayo mambo.Dawa ni kuwa na mwanamke ambae kwa wiki lazima upige game mbili Za maana, unaweza kujikuta umesahau kabisa inapigwaje, ila bila hiyo ikisimama tu, unaingia mzigoni.
vipi naona imepita miezi huja piga nyetoNi kama mzaha ila baada ya miaka zaidi ya kumi jana nimetimiza wiki moja bila ya kupiga punyeto ila ni kwa sababu nimeamua kwa dhati kabisa ili nipate heshima katika mapenzi
Na kusema kweli kuacha ni kama mvutaji wa sigara maana mara nyingi unasema mwisho leo lakini unaendelea japo hupendi
Niwaambie wenzangu wanaendelea mpaka sasa wafanye maamuzi ya dhati ya kuacha
Nikitimiza mwezi mmoja nitaleta mrejesho kama nimeweza au bado nataka mpaka mwezi mmoja upite bila ya kugegeda wala kupiga punyeto
Maswali yangu je nguvu zangu za kiume zitarudi
nguvu zinarudi mara tatu ya ambaye si mpigaji wa puchu...maana mwili alikuwa umezoea ku export mbegu nyingi na kutoa kila siku...saiz itazalisha kwa kasi mbegu halafu utoaji hafifu kwaio utakua ukilala na demu umimwaga bao ujazo mwingi...
ila nyege ziki kupanda akili huwa haitulii kabisa..mpaka ugonge kama hauna kademu 911 ka fasta lazima utapiga tena
Katiba please..Ndugu mjumbe,taarifa bado zinaonyesha kuwa ww bado ni mwanachama halali wa CHAPUTA kwa sababu hakuna taarifa zako za maandishi kwa mwenyekiti wala kwa katibu wa tawi
Kwa hiyo nakuomba urejee tena katiba yetu tukufu ya CHAPUTA na uisome vizr na uielewe kama kuna mahali utashindwa kupaelewa tafadhali wasiliana na mwanasheria wa chama ndugu GuDume,otherwise utaendelea kuyasimamia majukumu yako yote ikiwa ni pamaoja na usambazaji wa sabuni na lotion kwa wanachama wote mpaka hapo kitakapo kaa kikao cha nusu ya pili ya mwaka ambacho kitakaa Trh 20/12/2018
Nakutakia utekelezaji mwema wa majukumu yako ya kukijenga chama chetu cha CHAPUTA (CHAMA CHA WAPIGA PUNYETO TANZANIA)
Ni mm mweka hazina wa Chama,
M.arabe
Monde arabe
Mwekahazina