Imetimia wiki sijapiga punyeto

Imetimia wiki sijapiga punyeto

Ni kama mzaha ila baada ya miaka zaidi ya kumi jana nimetimiza wiki moja bila ya kupiga punyeto ila ni kwa sababu nimeamua kwa dhati kabisa ili nipate heshima katika mapenzi
Na kusema kweli kuacha ni kama mvutaji wa sigara maana mara nyingi unasema mwisho leo lakini unaendelea japo hupendi
Niwaambie wenzangu wanaendelea mpaka sasa wafanye maamuzi ya dhati ya kuacha
Nikitimiza mwezi mmoja nitaleta mrejesho kama nimeweza au bado nataka mpaka mwezi mmoja upite bila ya kugegeda wala kupiga punyeto
Maswali yangu je nguvu zangu za kiume zitarudi
Inategemea tatizo lako la upungufu wa nguvu za kiume umetokana na PUNYETO?
 
Hujaacha wewe
Upo likizo fupi tu, utakaporudi kwa kishindo uje kutupa mrejesho
 
Watu wazima hua wanapiga punyeto kwa hiari, kama unajisifia wiki maana yake bado hujawa mtu mzima. Ukiwa mtu mzima itakuacha yenyewe.
 
Hivi lile group la WhatsApp la CHAPUTA liliishia wapi ?
maana mie nilileft baada ya kupishana kauli na moja kati ya maadmin wa group
Ila kipindi hicho chama kilikuwa na member wengi na tulijuana kupitia group
 
katika kifungu cha tatu sheria ya taarifa
;
(1)Endapo utaamua kutoka katika chama chetu hakikisha unatoa taarifa kwa mwenyekiti wa upande wa uhamiaji.
 
Mimi nimeacha nina masaa mawili toka nilipopiga mara ya mwisho.

Maombi yenu wadau.
 
Wiki moja unatangaza kabisa kujivua uanachama, tena mwanachama mkongwe kama wewe, hakika hii haikubaliki ni kinyume kabsa na sheria ya CHAPUTA, naomba ufute maamuzi yako.
 
Hii ni ngumu sana kuacha mkuu, mimi nin miaka 20 katika game.. Kiasi kwamba mpaka nikipita mtaani visabuni vinaniita shemeji.. shemeji...
 
Mbona wadada wa chaputa hawaleti shuhuda
 
Back
Top Bottom