Imetimia wiki sijapiga punyeto

Imetimia wiki sijapiga punyeto

Ni kama mzaha ila baada ya miaka zaidi ya kumi jana nimetimiza wiki moja bila ya kupiga punyeto ila ni kwa sababu nimeamua kwa dhati kabisa ili nipate heshima katika mapenzi
Na kusema kweli kuacha ni kama mvutaji wa sigara maana mara nyingi unasema mwisho leo lakini unaendelea japo hupendi
Niwaambie wenzangu wanaendelea mpaka sasa wafanye maamuzi ya dhati ya kuacha
Nikitimiza mwezi mmoja nitaleta mrejesho kama nimeweza au bado nataka mpaka mwezi mmoja upite bila ya kugegeda wala kupiga punyeto
Maswali yangu je nguvu zangu za kiume zitarudi
Haiztarudi mpk upelekwe soba.
 
Mzee vp mrejesho hamna au bado upo chaman

Wewe ndio kwanza weak, mimi inafika miezi miwili sijafanya iko kitu. Mungu aniepushe nayo.
 
Ukiingia kwenye chama chetu hiki haturuhusu member atoke mpaka kifo.. sasa bado hujapata baraka zetu..
 
CHAPUTA itisheni maandamano mwanachama anataka potea
 
Back
Top Bottom