Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,637
Hongera
fanya mapema kabla ya saa mbili asubuhiNitaandika barua
hahahahahhhahaaaa ngoja nipige cha mwisho
haahaaaa ,kwa style hii hawez kuacha puliHapo ndipo pabaya kabisa
Asije akarudi baadae kama yule mwenyekiti wa chama flani cja siasa???Katibu ana taarifa zako?
Au umeacha wajibu wako wa msingi wa kikatiba kwa chama bila taarifa ya kimaandishi kwa katibu muenezi?
TAFADHALI FUATA UTARATIBU.
-Imetolewa na Ofisi ya Maadili, CHAPUTA.
Haha hatari sana,Yani wiki tuu unajihisi kwamba Unaweza kuhama au kusaliti chama.. Lazima urudi kwa speed ya light kwa jina la chaputa
Umeona eh...Asije akarudi baadae kama yule mwenyekiti wa chama flani cja siasa???