Imetimia mwisho wangu!

TOka hapo ulipo tembe tembea nje au beach utakuja nishukuru ukishindwa nenda hospital kaone wagonjwa
 
Siwezi kumshauri mtu kufa au kuwa hai
ila uhai ni kama bahati na kifo ni lazima!
 
Nimechoka na maisha ya mateso ya ulimwenguni.

Kila kitu kwangu kichungu kabisa.

Leo lazima nijiue na nitatumia jiko ya mkaa na ninajua ikifika kesho itapatikana nimefia kwa nyumba na hakuna atakayejua nilijiua.

Mazishi yangu R.I.P
Kuwa makini hii kitu itakudai hata kama unatania kama una tatizo kuwa muwazi mambo yanatatulika na kuzungumzika.
Hope utatubu baada ya hapo nakutakia maisha mazuri yenye wingi wa rehema za Mungu ndani yako na ukatangaze neno la Mungu aliye hai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…