Imeniuma sana, mke wangu anatembea na baba yake mdogo

Imeniuma sana, mke wangu anatembea na baba yake mdogo

Leo siku ya wanaume! Sasa mdau kulalamikia vitu visivyo na maana sio vzur, kwan ulimsomesha ili akulipe? ngozi nyeusi bwana...
 
Wana jamvi nme kuja na simanzi kubwa sana moyoni sijawahi kuumia kiasi hiki maelezo ni marefu lkn Ngoja nifupishe ili nisiwachoshe in short nna mke wangu nme ishi nae kwa mwaka 1 kma mke na mme ingawa mazingira ya kikazi yame tu fanya tuwe mbali kidogo lkn nmekua najitahid kufika kwake mara kwa mara sababu sio mbaali sana (cc ni watu wa kanda ya ziwa ki makazi lkn cio kwetu) tatizo lime kuja kuna tetesi nlipewa na dada yake kuhusu mahusiano kati ya mke wangu na mzee m1 mwenye umri wa miaka 46 mbaya zaid ni baba yake mdogo na mke wangu ingawa walikwisha tarakina mda kidogo umepita na chanzo cha wao kuku tana ilikua mke wangu ali carry somo moja apo UDSM ikabidi arudi kufanya hio course basi uyo mzee aka mchukua aende nyumbani kwake amuangalizie wanae huku akienda chuo basi mchezo uka anzia apo mzee kamrubuni mke wangu ka anza kutoka nae kma mwanzo nlivo eleza dada wa mke wangu aliniambia hicho kitu ila nika puuzia sababu hua tabia ya uchonganishi pia hua cna mahusiano yetu hua sio mazuri nlicho amua nikafanya uchunguzi Mwenyeqw kwa njia zangu nnazo zijua nika gundua ukweli (mm ni mtu wa IT) basi nakaja gundua hata baadhi ya vitu mke wangu ana leta hua vinatoka kwa huyo mzee vitu kma simu, camera mavazi na pesa maana nlikua napatwa shaka na spendings zake kulingana na kipato chake cha ualimu basi tume enda ivo lkn ndani kukawa na visa kikitoka hiki kinakuja kile ikafikia aka anza kuninyima sex anadai simufikishi wkt namjua vzuri na hua namafkikisha kwa hilo cna shaka ata tone, nikirudi nyuma kidogo mm ndio nme msomesha chuo tangu mwaka wa kwanza Mpk kamaliza na nme gharamika mambo mengi juu yake hapa tulilpo tuna mtoto 1 wa kiume ana miaka 4 sasa . mda huu na andika post hii mke wangu yupo dar nme muuilza upo kwa nan hasemi nmeumia Sana ikabid ni ongeee na mama mkwe nikamueleza situation aka mpigia simu mwanae kilicho fuata aka nitusi na kunitamkia maneno ambayo yamenichafua saana nafsi yangu na mnukuu " unampigia simu mama akusaidie nini kma nato** c mm ww ina kuhusu nn? na nakuapia lazima nit**we uku ili utulie " ime niuma saana mpk sasa moyo wangu umefunga cwez tena tena endelea nae ingawa nampenda na bila mm asingekua hapo alipo leo" nmejizuia sana kulipa kisasi nme shindwa ukizingatia familia yao nme ibeba sana kwa mambo mengi, nikumbushe kitu ukwel ni kwamba nlikua cja toa mahari mpk ingawa tuli ishi nae kam mke na mme, lkn mpango ulikua mwezi huu na nlikua nme kwisha andaa kla kitu hata nashindwa nianze vp ku waeleza wazee
nna ni mengi nme ya ruka kuyaeleza maana mm c mwandishi mzuri natamani ningemsimulia mtu aandike, naomba ushauri wenu wadau na maswali pia kma yapo ila kma tapata mtu wa kunipa njia nzuri ya kisasi nitafurahi. Asanteni

Wewe si ulishaambiwa kuwa humrizishi??

Pia sex si huwa anakunyima??

Kakuapia lazima ato*****huko jiji la mwendokasi si ndio??

Mkuu wewe ulishapigwa kibuti siku mingi sema hujiongezi unajidai unajua kupendaa.

Kwanza ulitumia IT gani kumgundua ana kucheat? Ushauri wangu jiongeze lea mtoto tafuta anaerizika na wewe huyo sio saiz yako waachie wanaume wa darslam wafanye yao.

Pia ukipata buda na wewe jisomeshe zaidi kwa Hasira.
Dah mkuu umenichekesha sana eti jisomeshe mwenyewe kwa hasira dah sikutaka hata kuchangia kitu umu maana imenibidi ....

pole naYalio kusibu mkuu ila mwanamke ni mfano wa mchezaji wa mpira huwa hatakiwi kushirikishwa kamati ya ufundi maana siku akihama atatoa siri zote za timu mpaka na mganga wa timu ...

Nilichokiona kwako japo umezungumza kwa ufupi sana ila ulijiachia sana kwa huyu mwanamke na kujiaminisha kwake kwa kila kitu na ikiwemo kuweka wazi madhaifu yako ila uliona kama ni mapenzi na kama waswahili wanavyosema kuwa ni mwandani wako..
lakini nachoelewa mimi ishi mkuu kwa kujiwekea akiba yaani usijimalize kila kitu kwa mwanamke au ukainvest kwa mtoto wakike maana mwisho wa siku hutokea kama yalivyotokea na wengi yamewatokea tu sio ww tu.

maana mwanamke anatakiwa umpe 50 Na 50nyingine ubaki nazo mwenyewe hata siku akizungua rahisi ww kumove on ...Yangu ni hayo mkuu kubwa pole sana mungu akupe subra katika kipindi hiki kigumu na akupe ujasiri wa kusonga mbele bila kutizama nyuma....

Mola wa Adam na hawa akutangulie.......
 
Kijana pole. Mwanamke hasomeshwi,usirudie tena upumbavu huo....
 
Leo siku ya wanaume! Sasa mdau kulalamikia vitu visivyo na maana sio vzur, kwan ulimsomesha ili akulipe? ngozi nyeusi bwana...
Kheri ww mweupe
 
Hajamuoa huyo! Kazaa nae tu. Ndo maana anamsumbua. Keshapata mwingine. C unajua walimu walivyo na bahati.
 
Kuhusu swala la kumsomesha lipo hivi , baada ya kuhitimu kidato cha sita alichaguliwa chuo lkn nyumbani hakukua na uwezo na mm wkt huo nme maliza chuo nikawa nme ajiliwa kampuni ya uchimbaji madini so ckuona tabu kumsomesha wkt uwezo nnao sababu kabla ya uhusiano cc ni family friends tume fahamiana tangu wadogo .
 
Tatizo LA kuokotezana huko na kuaanza kuitania mume na mke, unategemea Nini ameondoka kama alivyokuja, miaka minne yote mnaishi bila utaratibu unaeleweka!
 
Kuhusu swala la kumsomesha lipo hivi , baada ya kuhitimu kidato cha sita alichaguliwa chuo lkn nyumbani hakukua na uwezo na mm wkt huo nme maliza chuo nikawa nme ajiliwa kampuni ya uchimbaji madini so ckuona tabu kumsomesha wkt uwezo nnao sababu kabla ya uhusiano cc ni family friends tume fahamiana tangu wadogo .
Mkuu apo ulimwezesha tu...alifauru, akachaguliwa chuo, kwani hakupata boom? Unamlilia kwan mwanao? Maana nahisi alipata boom huyo,...hakupendi ila ulichukulia kukosa hela kwake ndo ukajipendekeza nae akakubari....SIO KWAMBA SIKUHURUMII, ILA NAKUTIA UJASIRI...MAANA MWANAMUME KULALAMIKA SOO...
 
pole ndugu yangu! tulia kwanza huku ukimuomba Mungu. kwanza omba rehema mbele za Mungu. baada ya rehema mwambie Mungu tatizo lako! watu wengine hawajawahi kuachwa ndio maana wanakujibu hovyo! lakini siku na wao yakiwakuta. wewe utakuwa msaada kwao, wasamehe bure!
 
Binafsi ningeshukuru kama angefanya hivyo kwangu...be strong and Just move on, hiyo hela ya mahari dunduliza kanunue kiwanja au kajenge au fanya kitu kikubwa kama kumbukumbu. Acha kusikitika mwenyezi Mungu bado anakupenda kaona utapata shida wakati bado ndoto zako hazijatimia. Endelea na mipango yako mingine ya maisha. For now kapumzike kwanza kabla hujaanza hiyo mipango, nauhakika atarudi mwenyewe but this time hutakiwi kufanya makosa, usiruhusu hisia zako za mapenzi zikazidi uwezo wako wa kufikiria. Kutokana na maelezo yako, we endelea kulea mwanao... Baada ya miaka 2 tafuta binti mwingine mzuri toto lenye adabu na linalojua nini maana ya maisha oa na utaona baraka tele ndani ya familia yako. Huyo ndo dawa yake... Kinyume na hapo, tegemea kufanyiwa vituko zaidi ya hivyo hata kama si leo au kesho au mwakani. Na umesema lizee la miaka 46, means mko kwenye twenties, which means bado una nafasi nzuri ya kujipanga ukaoa mke mwenye kuendana na maisha yako. Samehe hayo yote ya nyuma na mshukuru Mungu kwa wema wote... Hamna kujutia kitu achana na vitu vya nyuma. Ni hayo tu!!
 
Mkuu apo ulimwezesha tu...alifauru, akachaguliwa chuo, kwani hakupata boom? Unamlilia kwan mwanao? Maana nahisi alipata boom huyo,...hakupendi ila ulichukulia kukosa hela kwake ndo ukajipendekeza nae akakubari....SIO KWAMBA SIKUHURUMII, ILA NAKUTIA UJASIRI...MAANA MWANAMUME KULALAMIKA SOO...
Mkopo alipata lkn kuna tatizo lilitokea semester ya pili mwaka wa kwanza akakosa mkopo tangu hapo nli beba mzigo nje ya tuition fees nililipa pia nyumba, chakula na vitu vingine zaid
 
Amna Mwanamke Hapo Mkuu.
Kwanza Ana Laana Ya Incest.
Achana Nae Asije Akaambukiza Watoto Hiyo Laana.
Ishi Maisha Yako Kama Hukutoa Mahari Hamna Haja Ya Talaka.
To Hell With That Bitch.
 
Duuuhh pole sana.

Kwenye vitabu vya mapokeo kumeandikwa "Mwenye Hekima huona hatari akajificha bali mpumbavu hutokea akichekelea"

Umeshaiona hatariiii, chagua cha kufanya.
 
Kila siku mnaambiwa usimsomeshe mwanamke asiye ndugu yako hamsikii
Bwana wee sijui wanadanganywaga nini mpaka wanaingia huo mkenge...wanawake wamewekwa hapa duniani kwa ajili ya kugegedwa na kuzalisha basi...mswala ya kusomesha unayato wapi
 
Inawezekana hata mtoto akawa sio wako. Nakupa pole sana. Achana na huyo mwanamke. Mpka amefikia kukunyima unyumba inamaana hakutaki tena. Mwanamke akisema haumfikishi kitandani mpka anakunyima unyumba huyo hakufai kabisa. Take your time. Mlee mwanao tu (kama ni mwanao kweli). Muombe mungu akubariki na mke mwema atakaekupenda wewe na mwanao
 
Hayo mambo ya kusomesha wachumba yatawacost sana mwaka huu

Me nilikua nishaanza kusomesha nikagutuka... Masomo yakaishia kwenye certificate!!
 
Kuna usemi mmoja unasema " ukitaka kulipiza kisasi chimba makaburi mawili, moja la kwako". Akili ya binadamu yoyote inakuwa haiposawa (haijatimia) anapokuwa na hasira au huzuni kwani anaweza kufanya maamuzi mabaya baadae yakamuathiri ktk maisha yake yote.

Usilipize kisasi, tunatambua kwamba umeumia sana hasa swala la gharama na muda uliopoteza. Nikupongeze kwa kutoa taarifa kwa mama mkwe kwani alichokifanya mwanae ni aibu kwa familia yao na sio wewe, Baba yake mdogo ni sawa sawa na baba yake.

Piga moyo konde, ww ni mtoto wa kiume acha mambo ya kulia kulia na kuhuzunika, si unajua wanaume tumeumbwa mateso mateso kuhangaika.

Katika dunia hii usishindane na vitu vitatu (serikali, mtu mwenye pesa na mwanamke)
 
Back
Top Bottom