Nikapime DNA au nikubali tu yaishe?

Jentelomeni

Member
Aug 21, 2023
5
52
Habari za maisha wakuu

Tulitengana akaondoka na mtoto akaenda kukaa kwa dada yake baadae alipata mtu mwingine akamuoa siku ya ndoa yake aliambiwa na dada yake mkubwa pamoja na mume wake huyo kua anipigie simu kwamba anaolewa na kama nikitaka kumsalimia mtoto nimpigie dada yake na sio yeye nikasema sawa hilo limeisha lakini jambo la kusikitisha ni kwamba hiyo ndoa yao ilidumu kwa muda wa miezi mitatu mke akaachwa tena kwa tabia zake hizo za kutoka nje ya ndoa na hata vitu vya ndani alivyoondoka navyo kutoka hapa kwangu kwa ajili akatumie yeye na mtoto kaviacha kwa huyo mwanaume mpaka leo.

Alirudi tena kwa dada yake round hii life lili mgonga sababu alikua hana shughuli yoyote ya kumuingizia kipato zaidi ya sehemu zake za siri kuna siku nilimipigia simu dada yake ili nijue maendeleo ya mtoto dada yake nae asivyo kua na haya mzaramo yule ananiambia eti mrudie mwenzio mlee mtoto nilikataa katakata siwezi rudia matapishi baada ya siku kadhaa dada yake akanipigia simu shemeji njoo umchukue mwanao anaumwa maana mama yake simuelewi hajali kuhusu mwanae.

Bila kinyongo nikaenda kumchukua mtoto lakini siku hiyohoyo mida ya saa tano usiku nasikia mtu ananiita dirishani nauliza nani anajitambulisha anasema amesikia mtoto alikua anaumwa hivyo kaja kumuona nikashangaa ndio uje usiku nikamkatalia asiingie ndani na wala sikufungua mlango alisubiri hatimae akaondoka baada ya wiki moja dada yake anapiga simu anadai sasa hivi mama yake na huyu mtoto katulia hivyo nimrudishie mtoto nikagoma napia nikagundua kumbe lengo la kunipa mtoto lilikua ni mtego ili turudiane.

Huyo mwanamke kapambana kapata bwana mwingine tena kamuoa baada ya kuolewa kaanza kunitumia ujumbe kua nimrudishie mtoto kwa sababu sio damu yangu kwamba nakaaje na mtoto asie wangu na wakati baba yake yupo nikapotezea nikasema hili chizi nini nilipokuja kugundua kua hili jambo liko serious kaenda kawaambia mpaka ndugu zangu kua yule mtoto sio wake ana baba yake mzani sio yeye mwambieni asikae na mali za wenyewe basi bwana bila kinyongo nikamwambia njoo umchukue mwanao bwana nitazaa mwingine kwani mimi bado ni kijana.

Jana ndio kaniacha mdomo wazi kanipigia simu ananiambia eti mtoto kafika umri wa kuanza shule tuma hela nimuandae mapema kabla hajachelewa nimemuuliza baba yake mzazi yuko wapi kaanza kujichekesha kama jinga vile.
 
Habari za maisha wakuu

Tulitengana akaondoka na mtoto akaenda kukaa kwa dada yake baadae alipata mtu mwingine akamuoa siku ya ndoa yake aliambiwa na dada yake mkubwa pamoja na mume wake huyo kua anipigie simu kwamba anaolewa na kama mzazi yuko wapi kaanza kujichekesha kama jinga vile
Pole mkuuu, aiseee mnapitia mengi!
 
Habari za maisha wakuu

Tulitengana akaondoka na mtoto akaenda kukaa kwa dada yake baadae alipata mtu mwingine akamuoa siku ya ndoa yake aliambiwa na dada yake mkubwa pamoja na mume wake huyo kua anipigie simu kwamba anaolewa na kama nikitaka kumsalimia mtoto nimpigie dada yake na sio yeye nikasema sawa hilo limeisha lakini jambo la kusikitisha ni kwamba hiyo ndoa yao ilidumu kwa muda wa miezi mitatu mke akaachwa tena kwa tabia zake hizo za kutoka nje ya ndoa na hata vitu vya ndani alivyoondoka navyo kutoka hapa kwangu kwa ajili akatumie yeye na mtoto kaviacha kwa huyo mwanaume mpaka leo.

Alirudi tena kwa dada yake round hii life lili mgonga sababu alikua hana shughuli yoyote ya kumuingizia kipato zaidi ya sehemu zake za siri kuna siku nilimipigia simu dada yake ili nijue maendeleo ya mtoto dada yake nae asivyo kua na haya mzaramo yule ananiambia eti mrudie mwenzio mlee mtoto nilikataa katakata siwezi rudia matapishi baada ya siku kadhaa dada yake akanipigia simu shemeji njoo umchukue mwanao anaumwa maana mama yake simuelewi hajali kuhusu mwanae.

Bila kinyongo nikaenda kumchukua mtoto lakini siku hiyohoyo mida ya saa tano usiku nasikia mtu ananiita dirishani nauliza nani anajitambulisha anasema amesikia mtoto alikua anaumwa hivyo kaja kumuona nikashangaa ndio uje usiku nikamkatalia asiingie ndani na wala sikufungua mlango alisubiri hatimae akaondoka baada ya wiki moja dada yake anapiga simu anadai sasa hivi mama yake na huyu mtoto katulia hivyo nimrudishie mtoto nikagoma napia nikagundua kumbe lengo la kunipa mtoto lilikua ni mtego ili turudiane.

Huyo mwanamke kapambana kapata bwana mwingine tena kamuoa baada ya kuolewa kaanza kunitumia ujumbe kua nimrudishie mtoto kwa sababu sio damu yangu kwamba nakaaje na mtoto asie wangu na wakati baba yake yupo nikapotezea nikasema hili chizi nini nilipokuja kugundua kua hili jambo liko serious kaenda kawaambia mpaka ndugu zangu kua yule mtoto sio wake ana baba yake mzani sio yeye mwambieni asikae na mali za wenyewe basi bwana bila kinyongo nikamwambia njoo umchukue mwanao bwana nitazaa mwingine kwani mimi bado ni kijana.

Jana ndio kaniacha mdomo wazi kanipigia simu ananiambia eti mtoto kafika umri wa kuanza shule tuma hela nimuandae mapema kabla hajachelewa nimemuuliza baba yake mzazi yuko wapi kaanza kujichekesha kama jinga vile.
Aisee, kuna watu mnaishi maisha ya vituko aisee.
mtu akisoma mnavyosimulia hayo maisha, ni ukurasa tosha kabisa wa katuni za vituko. Utadhani ni Bongo Movies kabisa.
 
Kuna mambo mengi sana huwakabili wanaume katika mahusiano na Ndoa, lakini wengi wa wanaume huwa hawasemi.

Binti kama huyu utakuta anatangaza baba mtoto haudumii mtoto, nahangaika mwenyewe. Na jamii inapokea hiyo kahawa! Yapo mengi yenye kukera ndo sababu wanaoshindwa kuhimili maumivu na mateso wanafanya ukatili wa kutisha.

Binti zetu, badilikeni acheni mikumbo ya makungwi na vikao vyenu vya salon. Over.
 
Mwanamke anaweza mpa watoto mtu yeyeto aliyemshibana nae mda huo
 
Back
Top Bottom