Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,333
Lil Kim alifanya nini kizuri?
Nyerere, nae watu si walimlilia sana aliwafanyia nini watu wake?
Uzalendo nao ulichangia sana watu kumlilia Kifimbo, shida ya viongozi wetu wa siku hizi siyo kabisa wamekuwa wabinafsi.
According to the BBC correspondent, soldiers were forcing people to cry,and the North Koreans knew what their dictactors wanted and provided it in liters( tears )
Nyerere, nae watu si walimlilia sana aliwafanyia nini watu wake?
ila wengine furaha hutoa machozi ukute pale wanatoa machozi ya furahaduh..kumbe watu mmeamini kuwa analiliwa kweli?