Imekuwaje tena Mabeberu kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa?

J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
20,222
Points
2,000
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
20,222 2,000
Wamekuwa wakitoa maneno na semi nyingi sana za kuwakebehi wazungu kisa kumkubali Tundu Lissu ,lkn leo hii wamekuwa marafiki!kweli ccm muwekage akiba ya manenoView attachment 1010366

In God we Trust
Unaweza kumkwepa mwarabu lakini siyo mzungu........mzungu ni kama maji!
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
113,828
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
113,828 2,000
Wamekuwa wakitoa maneno na semi nyingi sana za kuwakebehi wazungu kisa kumkubali Tundu Lissu ,lkn leo hii wamekuwa marafiki!kweli ccm muwekage akiba ya manenoView attachment 1010366

In God we Trust
Kinyesi ni kilekile tuu ila akinya bata anaambiwa kaharisha....
Wakija kwa mwaliko wa serikali ni wafadhili ila wakiongea na wapinzani ni mabeberu tena mwitu

Jr
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
113,828
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
113,828 2,000
Wamekuwa wakitoa maneno na semi nyingi sana za kuwakebehi wazungu kisa kumkubali Tundu Lissu ,lkn leo hii wamekuwa marafiki!kweli ccm muwekage akiba ya manenoView attachment 1010366

In God we Trust
Mbuzi dume pia anaitwa beberu kwahiyo unaangalia tu unataka kutumia jina gani kwa wakati gani

Jr
 
blackcornshman

blackcornshman

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Messages
2,265
Points
2,000
blackcornshman

blackcornshman

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2016
2,265 2,000
Watu wako bize kufanya mipango ya maendeleo kwenye mikoa yao,mwingine yupo bize nje ya nchi akimtangaza Magufuli na maendeleo aliyofanya huku akifikiri anamuharibia.
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
113,828
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
113,828 2,000
Watu wako bize kufanya mipango ya maendeleo kwenye mikoa yao,mwingine yupo bize nje ya nchi akimtangaza Magufuli na maendeleo aliyofanya huku akifikiri anamuharibia.
Umesoma historia!? Unafahamu neo-colonialism ninini? Au kwa kibantu ukoloni mambo leo?

Jr
 
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
75,624
Points
2,000
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
75,624 2,000
Kama mnalijua hilo mbona mnatokwa na mapovu juu ya ziara za rais wetu wa 2020?
Watu wako bize kufanya mipango ya maendeleo kwenye mikoa yao,mwingine yupo bize nje ya nchi akimtangaza Magufuli na maendeleo aliyofanya huku akifikiri anamuharibia.
fb_img_1548312331903-jpeg.1010443

In God we Trust
 
L

lisolili

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2016
Messages
596
Points
500
L

lisolili

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2016
596 500
Hiv hawa wasungu wanajua tafsiri ya hil Neno Beberu? Laiti kama wangejua sizan kama Tanzania ingepata misaada labda TL awatafsirie siku moja tuone watareact VP! Jiwe nakusalimu wafanyakaz wanalia hunampango nao toka 2015#mafisadi hawa lazima tukuombee wewe msema kwel mpenz wa Mungu
 
lisu 2

lisu 2

Member
Joined
Jan 3, 2019
Messages
16
Points
45
lisu 2

lisu 2

Member
Joined Jan 3, 2019
16 45
Ccm huwa wanasahau, huwezi kula ugali bila kupita kwenye maji ya moto.
 
Forum statistics

Threads 1,315,982
Members 505,466
Posts 31,875,833
Top