Imekuwaje tena Mabeberu kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa?

Wanajionyesha kuwa wanacho kisema na kutenda ni tofauti kabisa
Kunya anye bata tu wengine hapana!!

Mabeberu wabaya wakiongea na Lissu, ila wazuri mno wakiongea na CCM.

In God we Trust
 
Hakuna mipango ya maendeleo chini ya udikteta, wizi, dhuluma, ufisadi, ubadhirifu na kukiuka taratibu mbali mbali nchini ikiwemo kuheshimu katiba na mihimili mingine muhimu.

Umesikia tayari wameshakwapua 2.4 trillions kutoka hazina.
IMG_20181226_145918.jpeg


Jr
 
Katika kazi ambao ccm na viongozi wake wanaweza kuzifanya kwa usahihi kabisa ni wizi ,ufisadi na kutembeza bakuri kwa mabeberu .
 
Hii lugha ya mabeberu siioendi kabisa kwani inatudhalilisha sana watanzania. Alipo beberu lazima awepo mbuzi wa jinsia nyingine; je ina maana sisi wabongo ndio mbuzi wa jinsia tofauti na hawa mabeberu huja kutafuta ile huduma wanayohitaji mabeberu wa kawaida? Let us stop using this degrading terminology.
 
Back
Top Bottom