Imekuwaje tena Mabeberu kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa?

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,918
95,201
Wamekuwa wakitoa maneno na semi nyingi sana za kuwakebehi wazungu kisa kumkubali Tundu Lissu ,lkn leo hii wamekuwa marafiki!kweli ccm muwekage akiba ya maneno
FB_IMG_1549016815595.jpeg


In God we Trust
 
Wamekuwa wakitoa maneno na semi nyingi sana za kuwakebehi wazungu kisa kumkubali Tundu Lissu ,lkn leo hii wamekuwa marafiki!kweli ccm muwekage akiba ya manenoView attachment 1010366

In God we Trust
Kinyesi ni kilekile tuu ila akinya bata anaambiwa kaharisha....
Wakija kwa mwaliko wa serikali ni wafadhili ila wakiongea na wapinzani ni mabeberu tena mwitu

Jr
 
Watu wako bize kufanya mipango ya maendeleo kwenye mikoa yao,mwingine yupo bize nje ya nchi akimtangaza Magufuli na maendeleo aliyofanya huku akifikiri anamuharibia.
 
Kama mnalijua hilo mbona mnatokwa na mapovu juu ya ziara za rais wetu wa 2020?
Watu wako bize kufanya mipango ya maendeleo kwenye mikoa yao,mwingine yupo bize nje ya nchi akimtangaza Magufuli na maendeleo aliyofanya huku akifikiri anamuharibia.
FB_IMG_1548312331903.jpeg


In God we Trust
 
Hiv hawa wasungu wanajua tafsiri ya hil Neno Beberu? Laiti kama wangejua sizan kama Tanzania ingepata misaada labda TL awatafsirie siku moja tuone watareact VP! Jiwe nakusalimu wafanyakaz wanalia hunampango nao toka 2015#mafisadi hawa lazima tukuombee wewe msema kwel mpenz wa Mungu
 
Back
Top Bottom