Mindi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2008
- 3,523
- 4,991
Sasa Beberu Mwitu wewe uko nchi gani hasa? maana mabeberu tunawajua wanatoka nchi ganiTaratibuuu
"ᵀʰᵉ ᶠⁱʳˢᵗ ʳᵘˡᵉ ᵒᶠ ʷᵃʳ ᵃⁿᵈ ᵇᵘˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱˢ ᵗᵒ ᵏⁿᵒʷ ʸᵒᵘʳ ᵉⁿᵉᵐʸ"
Sasa Beberu Mwitu wewe uko nchi gani hasa? maana mabeberu tunawajua wanatoka nchi ganiTaratibuuu
"ᵀʰᵉ ᶠⁱʳˢᵗ ʳᵘˡᵉ ᵒᶠ ʷᵃʳ ᵃⁿᵈ ᵇᵘˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱˢ ᵗᵒ ᵏⁿᵒʷ ʸᵒᵘʳ ᵉⁿᵉᵐʸ"
Wamekuwa wakitoa maneno na semi nyingi sana za kuwakebehi wazungu kisa kumkubali Tundu Lissu ,lkn leo hii wamekuwa marafiki!kweli ccm muwekage akiba ya manenoView attachment 1010366
In God we Trust
Mzungu akikushika pabaya huwa anakushika pale pabaya kweli na ni lazima tu utamlamba miguu yake na ikiwezekana hata akikuambia umfulie na Chupi yake utafanya hivyo bila wasiwasi.
atakuwa Rais wa mioyo ya watzKama mnalijua hilo mbona mnatokwa na mapovu juu ya ziara za rais wetu wa 2020?View attachment 1010443
In God we Trust
Your argument is just too simplistic. Start attending debating clubs if you didn't do so during your secondary school days assuming that you managed to be there.Wamekuwa wakitoa maneno na semi nyingi sana za kuwakebehi wazungu kisa kumkubali Tundu Lissu ,lkn leo hii wamekuwa marafiki!kweli ccm muwekage akiba ya manenoView attachment 1010366
In God we Trust
Sasa hebu niambie lisu atashinda kwa sera ipi bora hata ya lowasa ilikuwa elimuHilo mnalijua fika ndiyo maana mliamua kumuondoa duniani lkn mungu akawakatalia maovu yenu washenzi nyinyi
In God we Trust
Kweli atakuwa rais lakini wa mioyo yenuBasi huyo ndiyo rais wetu 2020 hutaki kanywe panadol upunguze maumivu
In God we Trust
Hakuna mtanzania timamu atakayemcha Rais eti anataka uhuru wa kuongea aache kiongozi mwenye sera zinazoangalia maslai yake.Basi huyo ndiyo rais wetu 2020 hutaki kanywe panadol upunguze maumivu
In God we Trust
Kwaiyo hiyo ndo sera yenu bavicha bhana kweli chadema sijui vijana wanawatoa kwenye magenge ya gongoNdiyo anza kununua panadol maana maumivu yatakusumbua
In God we Trust