unaloo
limekugandaa
best majanga yako mengi sana hapa cc ila siwezi yataja sana siwezi mwaga mchele kwenye kuku wengi bestito umzima wewe mwandani?
Hiyo red ungeiandika kwa rangi nyeupe maana marejesho anasumbuliwa sana na hiyo rangi! Mie sijambo!!!!
mdirect kwa Lady doctor
hivi unajua ndoa yangu ina record nzuri hapa jukwaani kuliko yako???limekuganda wewe hapo mm ni mtaalamu wa mitishamba na mtafiti/mdadisi na ninayejua mambo mengi siwezi achika kirahisirahisi kwani nina mbinu za kutosha hata wewe kondoo wangu uikitaka njoo pale parish nitakufundisha njia za kutokuachwa na mwenzio si unaona somo langu la jpili iiliyopita niliwafundisha namna ya kujitambua na sasa wengi wameshajitambua na wanafanyia kazi yale mafundisho umebaki wewe tu usiyetaka kuthubutu utagandaaaa na utakuwa barafu mpaka unione mm mama paroko nikuinue hapo ulipo
siungi hoja..ila we na mwenzio wala hampatani!! fanya mpango ubaki peke yako ili ukifaidi vizuri..ila usiue
kuna watakaokuja kwa ajili ya ukaguzi..waanzie kwanza kwangu..coz mi najua wapo kibao humu hawajakagulia..mf. Passion Lady na Mrembo by Nature! take care
Kadi ya benk ilikuwa inasoma sifuri, so kaka yangu watu8 alimtimulia mbali. Eti hataki kukaribisha matatizo nyumbani kwani yetu yanatutoshahivi ulizidiwa kete kwa Mrembo by Nature na yule mzee wa mia? figganigga...