Imekuwa Rasmi sasa.. Nimempata wa Moyoni!!...

Imekuwa Rasmi sasa.. Nimempata wa Moyoni!!...

we! We! We! Nitakeradhi tafadhali.... Mimi ni jike la shoka! Hebu muulize figganigga analijua hilo!

Nimekutana na wanawake, wanawake rijali, na sasa wewe jike la shoka! Kweli ndio maana Asprin anachoka sana kuwakagua!
 
Last edited by a moderator:
we! We! We! Nitakeradhi tafadhali.... Mimi ni jike la shoka! Hebu muulize figganigga analijua hilo!
hahahaaa...!!! Filipo kashaanza makeke yake nini!?..inaonekana hamuogopi hata mkewe marejesho. Nimeshamwambia wewe mwanamke! kazi ni kwake. mia
 
Last edited by a moderator:
ngoja nikupe haya maneno usome nadhani utanielewa vyema ndo maana hukuja parokiani na j5 nataka tuonane ofisini nina ujumbe wako toka juu soma hapa sasa 'Irere lya Isembo ni ndeu - Benki ya mjinga ni tumbo lake.
Mndu Kangikunda naware rero Lyako'
hivi unajua ndoa yangu ina record nzuri hapa jukwaani kuliko yako???
nadhani kwa nyanja hii njoo tukufundisheni namna ya kuishi bila kuwa na kasfa
:lol::car:
 
anakagua lugha, tabia, mwenendo, ujasiri, kinywa chako kama ni kisafi (umepiga mswaki), anakagua ufahamu/uelewa wako hapa cc, na kama una ndugu/rafiki/mtoto, na ndoa, na anakagua body (muonekano wako ulivyo) kama uko sahihi na anakuruhusu ujumuike mjengoni hapa. Je uko tayari kukaguliwa tumwambie babu Asprin akukague?
hahahaa.... nini? Kukagua? Anakagua nini kwa mfano!!
 
Last edited by a moderator:
Mtoto bado kidogo Kiwatengo.. Tunamalizia kumuwekea akiba kwenye akaunti yake.. Si unakumbuka msemo wa Mwalimu.. Kupanga ni kuchagua..

cc Paloma..

Nakupenda mpenzi wangu mai ozzbend sosoliso. Mkoloni leo kanivalisha kaptura.........msalimie kiwatengu mwambie nitakuja rasmi kumpa hongera zake za kupata "jiko". anidadavulie ni jiko la aina gani hilo la mkaa, kuni, mafiga matatu, la maranda kama la kwenye chipsi pale fesibuku, gesi, umeme, stovu, mchina etc.
 
Last edited by a moderator:
hellow Chocs mambo vipi? unampenda kweli mumeo Erickb52?. kama unampenda mwambie aache kuniingilia kwenye 18 zangu kwa Kipipi la sivyo atapoteza kucha na meno pia. mi hua nang'oa bila ganzi. so kwa kua unampenda mshauri. mia

mpe mpe vyake.. mia
 
Last edited by a moderator:
ngoja nikupe haya maneno usome nadhani utanielewa vyema ndo maana hukuja parokiani na j5 nataka tuonane ofisini nina ujumbe wako toka juu soma hapa sasa 'Irere lya Isembo ni ndeu - Benki ya mjinga ni tumbo lake.
Mndu Kangikunda naware rero Lyako'

aisee..hii aione Mamndenyi..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom