Imekuwa Rasmi sasa.. Nimempata wa Moyoni!!...

Imekuwa Rasmi sasa.. Nimempata wa Moyoni!!...

kwanini ukawanunulie wenzio chipsi kavu?

nafanya hivyo ilinipate njia ya kuachika..... Nimechoka ukewenza kilasiku kelele bi mkubwa ananifanya mimi kama beki3 wake... Acha niwakomeshe, na jioni nitawanunulia mahindi yakuchoma wanywe na chai walale
 
nipe sifa za kidumu upendae kua nae then nichague anaekufaa....ila uthmwmbie mume wetu thawa?

sifa ni zile zile za kipedeshee, lakini mahela arushie kwangu tu.... Na sitamwambia atashangaa tu akiitwa shemeji na kidum changu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom