figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,008
- 64,028
hahahaaaaa.....!!!. haya binamu. miakaka binamu na wewe unataka?Btw, me niko poa mithi u sana
hahahaaaaa.....!!!. haya binamu. miakaka binamu na wewe unataka?Btw, me niko poa mithi u sana
ah ah! akili.... daddy ananichanganya sana... kaniachia mali nyingi sana, so kuzi simamia hadi inachanganya
Copy: Bishanga
Kwako, shansarie....
Kupitia Kwa,
Mwenyekiti rasmi wa jukwaa
Baba V..
K. K.
Mwenyekiti wakujitakia,
manoah..
K.K
Ofisi ya ukaguzi..
ya mzee Aspirin..
K.K
Wanasheria wote
wa Chit Chat..
K.K
Kwa ndugu zangu wote..
Mamndenyi, Arushaone, watu8 and u MMAHE..
K.K
Ndugu Erickb52 na Wakeze Chocs & Kipipi..
Napenda kuweka mambo hadharani sasa.. nimempata wakunitoa ugwadu,
naomba tutambulike sasa kuwa humu ndani mimi Kiwatengu na shansarie ni wapenzi rasmi..
Nashukuru sana kwa kukubali kuwa nami.. I love u sana my shansarie!!
Nipo kwenye process za kumwamishia huku niliko..
Hii ndiyo itakuwa couple bora for all times..
May God bless us..
copy kwa;
[MENTION=11167]B
hongera sana kwa huyo uliyempata ila chunga sana usijekwaliwa na wengine maana humu cc kuna majanga sana
There are currently 7 users browsing this thread. (3 members and 4 guests)
Nakusikilizia Mkuu Baba V
Umepata majanga gani tena bibie!
kweli hakuna ambaye amedumu kwenye ndoa kwa muda mrefu hapa hususani wewe na mama V, kwani hata mie ndoa yangu inalegalega sasa sijui kwanini na wewe ni mfungaji wa ndoa za humu ndoa yangu ikipungua nitaandika statement kwako
ndiyo kinawadatisha wote? hata siamini..