kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,489
- 18,379
Kwako, shansarie....
Kupitia Kwa,
Mwenyekiti rasmi wa jukwaa
Baba V..
K. K.
Mwenyekiti wakujitakia,
manoah..
K.K
Ofisi ya ukaguzi..
ya mzee Aspirin..
K.K
Wanasheria wote
wa Chit Chat..
K.K
Kwa ndugu zangu wote..
Mamndenyi, Arushaone, watu8 and u MMAHE..
K.K
Ndugu Erickb52 na Wakeze Chocs & Kipipi..
Napenda kuweka mambo hadharani sasa.. nimempata wakunitoa ugwadu,
naomba tutambulike sasa kuwa humu ndani mimi Kiwatengu na shansarie ni wapenzi rasmi..
Nashukuru sana kwa kukubali kuwa nami.. I love u sana my shansarie!!
Nipo kwenye process za kumwamishia huku niliko..
Hii ndiyo itakuwa couple bora for all times..
May God bless us..
copy kwa;
[MENTION=11167]B

Last edited by a moderator: