Imekuwa Rasmi sasa.. Nimempata wa Moyoni!!...

Imekuwa Rasmi sasa.. Nimempata wa Moyoni!!...

sifa ni zile zile za kipedeshee, lakini mahela arushie kwangu tu.... Na sitamwambia atashangaa tu akiitwa shemeji na kidum changu.

bas umempata! Shaka ondoa! Mradi umefata nyuki bathi subiri ujilie asali!
 
Naomba kujua huyu shansarie ni nani? Ngojq nione kama alibisha hodi?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom