shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,373
hizo siri za chumbani dea,r wewe tena u know me better siwezi bana
Kwako, shansarie....
Kupitia Kwa,
Mwenyekiti rasmi wa jukwaa
Baba V..
K. K.
Mwenyekiti wakujitakia,
manoah..
K.K
Ofisi ya ukaguzi..
ya mzee Aspirin..
K.K
Wanasheria wote
wa Chit Chat..
K.K
Kwa ndugu zangu wote..
Mamndenyi, Arushaone, watu8 and u MMAHE..
K.K
Ndugu Erickb52 na Wakeze Chocs & Kipipi..
Napenda kuweka mambo hadharani sasa.. nimempata wakunitoa ugwadu,
naomba tutambulike sasa kuwa humu ndani mimi Kiwatengu na shansarie ni wapenzi rasmi..
Nashukuru sana kwa kukubali kuwa nami.. I love u sana my shansarie!!
Nipo kwenye process za kumwamishia huku niliko..
Hii ndiyo itakuwa couple bora for all times..
May God bless us..
copy kwa;
[MENTION=11167]B
hongera shansarie kwa kumtoa ugwadukuna watakaokuja kwa ajili ya ukaguzi..waanzie kwanza kwangu..coz mi najua wapo kibao humu hawajakagulia..mf. Passion Lady na Mrembo by Nature! take care
ntafanya maombi usijali
Siku mkipigana chini mje mtujuze.kuna watakaokuja kwa ajili ya ukaguzi..waanzie kwanza kwangu..coz mi najua wapo kibao humu hawajakagulia..mf. Passion Lady na Mrembo by Nature! take care
safi sana babe watanunaje ?love youuuuuuuuu
Kumbe ni wa kumtoa ugwadu tu?hongera shansarie kwa kumtoa ugwadu
maana huyo mfugwa alitoka jela na ukame duuh!!
hongera sana shansarie kwa kulamba dume... Nawatakia kila lakheri kwenye mapenzi yenu
bado yupo hai? Mpe salamu sana...
nimekuelewa sweetyheart..penzi letu liende mbele! lisifike mwisho..
haya nasubiri.. bana iwe ivyo nimechoka...