GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,006
Nimeshangazwa kuona viongozi wa ccm inapofika siku ya uhuru wa tanganyika hujidai kuwa ni uhuru wa tanzania,kwa kweli nashindwa kuelewa,tanzania imejipatia uhuru siku gani ? Sasa hivi kuna mzozo wa muungano wazanzibari tunadai muungano uvunjwe au tuje na mfumo ule ume wa serikali tatu,mbona kikwete sijamsikia kuikumbuka tanganyika .
Hii tanganyika watanganyika imewafanya nini ? Na kama tanganyika ndio hii tanzania tuwambieni ili tuweze kuunda serikali mpya ya muungano kwani hii tanzania kwa kuona kwangu ni tanganyika.
Nembo hii sasa tunatumia kuwa ya muungano tanzania jee hapa kuna kiini macho kuwa tanzania ni hii tanganyika ?
Nembo hii sasa tunatumia ndio ya tanzania,si ndo ile ile ya tanganyika ?
Watanzania na wazanzabri naomba mulichambue hili suala,munawafiki kama serikali ya muungano wa tanzania ni ile ile tanganyika au ni tanzania mpya ?